Acha wivu utakuja uolewe kama dada zako, dogo anajuaMpira wake wa kawaida tu ila kwasababu anacheza Barcelona
Duhh sikutegemea ungefika huku halafu kuna mtu kalike kabisa hahahahahAcha wivu utakuja uolewe kama dada zako, dogo anajua
Kuhusu namba ziwachanganye haoNumber na statistics hana ila muangalie
Mzee nimeangalia Barcelona ya xavi iniesta na press resistance Sergio huyo pedri ni mchezaji wa rugbyMkuu ushawahi kumuangalia?
Tusubirie akistaafu tumsifie
Watu hawakuiona ile Barcelona ndo maana hua wanaongea pumbaMzee nimeangalia Barcelona ya xavi iniesta na press resistance Sergio huyo pedri ni mchezaji wa rugby
Hamuwezi Fdj
Thiago alcantara alikosa namba cesc fabregas alikosa nafasiWatu hawakuiona ile Barcelona ndo maana hua wanaongea pumba
Kweli umezeeka mkuu kwa jibu alilitoa wakati wa ubora wako asingebaki hivi hivi.. uzee mwema mkuu😂😂😂Duhh sikutegemea ungefika huku halafu kuna mtu kalike kabisa hahahahah
Acha utani, dogo bado sana kwa hao uliowataja.Hakika ukimpa jicho huyu kijana Kuna viungo wengi nusu nusu Bora wako ndani yake control na skills ni nusu ya ZIDANE kuamrisha mchezo ni XAVI dribling skills ni INIESTA mtupu
Huyu kijana kwakweli ni balaa tupu tumuombee kwa Mungu azidi kuwa fit na Bora
View attachment 3261628