baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Zidane Sio overrated na ukitaja wachezaji 10 bora wa enzi zetu lazima huyo mtu umtaje.Pedri ni overated na huyo zidane ni overated
Kukutafunia tafunia kama humuelewi Zidane,
Wachezaji kama Ronaldo, Messi, Mbape, Haaland etc hawa wa nahitaji Service, bila service wanakuwa wachezaji wa kawaida mfano Messi wa Psg, Ronaldo wa Man U etc.
Zidane yeye ni vice versa, akiwepo uwanjani viwango vya wenzake vinaongezeka, kuna mambo magumu anayofanya marahisi kabisa, Alikuwa ni press resistance, umbo kubwa na nguvu, anakaba, kushambulia etc. Kizazi Cha sasa hakuna mchezaji kama Zidane na ambaye angalau kwa karibu skillet zake zinafania ni Pogba ama iniesta hivi.