Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Walipita halaf ikawaje? If hauko vizur huwez dumu pale. Only the best ndio wanabaki. Evn injury tu inakuchomoaHahahahaha
Kacheza umtiti mina we jamaaa
Zimepita takataka kibao hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walipita halaf ikawaje? If hauko vizur huwez dumu pale. Only the best ndio wanabaki. Evn injury tu inakuchomoaHahahahaha
Kacheza umtiti mina we jamaaa
Zimepita takataka kibao hapo
Point yako nn sasaWalipita halaf ikawaje? If hauko vizur huwez dumu pale. Only the best ndio wanabaki. Evn injury tu inakuchomoa
Barcelona kumsajili mtu kama Braithwaite ni kutokana na ugumu wa uchumi aliokuwa na anaondelea kupitia Barca.Point yako nn sasa
Hivi unajua kuna kipindi namba Tisa ya Barcelona alikuwa braithewat sijui takataka gani
Mcheki mchezaji wako hapa Yuda Bolingo anavyogeuzwa na mtoto mwenye kipaji halisi.Em waombe radhi Xavi na Iniesta. Huyo Dogo level zake ni kina Jude.
Wewe kama sio shabiki wa Arsenal basi Madrid.Declan rice partey na odegard huyo pedri atamuweka nani nje pale arsenal
Halafu niambie iniesta asingecheza timu Gani
Huyo pedri ni aina ya veratti Marco wap ni ni kuweka kichwa sehemu ya mguu
Tunawasubiri hao Liverpool wako.Ni mahitaji ya kocha ndo maana anakimbia sana
Hans Ile ya kukabia juu ndio sababu wanakimbia sana
Huo mchezo msije mkacheza na Liverpool
Mtaokota nyingi sana kwenye neti
Mimi ni shabiki wa Messi na ArsenalWewe kama sio shabiki wa Arsenal basi Madrid.
Nilijua tu.Mimi ni shabiki wa Messi na Arsenal
Mfungaji Bora Brazil mda wote anamzidi assist mbali mno gaucho Hadi skills ana mzidi mbali mno juzi tu Neymar kapiga corner ndani oya wazee wa zamani mnawajaza sana ila tukiingia field ni kina zuchu tuWe utakuwa umevuta unga unalinganisha takataka na Ronaldinho
Nani kakuambia Zidane Anasifiwa kwa Ajili ya Magoli na Assist? Huyo Pedri unaemsifia Hajawahi kufikisha Goli 7 kwenye Msimu wa La Liga, na Assist nyingi alizowahi kufikisha La liga ni 3 je naye ni kilaza?ZIDANE anazidiwa assist na goals na kila kiungo wa sasa heshima Huwa anapewa kwa kipi alichofanya?
Jibu swaliPedri akimfanyia ubatizo Jude victor William Bellingham 😁🙌
Kwa hiyo ukiwa shabiki wa arsenal hutakiwi kuongea ukweli ?Nilijua tu.
Ulivyoanza kuwataja Ordegad,Partey na Decran rice na kusema Pedri hawezi kuwaweka benchi nkajua wewe ni shabiki wa Arsenal.
Kumbe tukitofautiana mitazamo ndio tunakuwa hatuna akiliDuh! Wewe hauna akili Master
Pedri ni overated na huyo zidane ni overatedNani kakuambia Zidane Anasifiwa kwa Ajili ya Magoli na Assist? Huyo Pedri unaemsifia Hajawahi kufikisha Goli 7 kwenye Msimu wa La Liga, na Assist nyingi alizowahi kufikisha La liga ni 3 je naye ni kilaza?
Kiungo akifunga ama kutoa Assist hio ni extra tu, mtu kama Zidane ni Playmaker aka Mchezeshaji, kazi yake ni kuifanya timu yake icheze, role ambayo alifanya kwa ufanisi mkubwa, kama hujui Mpira obvious utaona Zidane hajui mpira.