Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
Romario kapinga vikali wewe Ni nani uone utoto.Acha utoto
Kila nabii na zama zake..
Binafsi pele nimemfuatilia sana, video za youtube, video zake za full game, amini nakwambia huyu mzee alikuwa fundi mnoo.
Sheria za siku hizi zimepunguza ukali wa kuvunjana, watu walikuwa wanamrukia mitama ya hatari.
Tizama game yao vs Portugal world cup ya mwaka 66 kama sikosei, alipigwa viatu vya hatari, ikabidi awe anachezea mguu wa kushoto zaidi, ila baada ya game hii akasema hawezi cheza tena world cup, ndio mwaka 1970 fifa wakaanzisha red card katika kombe la dunia.
Viwanja havikuwa rafiki sana, viatu walivyokuwa wanavaa ni mazito sio kama ya sasa na bado alifanya kitu.
Game aliyofunga goli la 1000 ilikuwa kimbembe hapo uwanjani, game ilikiwa vs vasco da gama. Alikula viatu vya hatari, ilipigwa krosi inaelekea kwake kufunga, mtu akaona usinitanie, akaudaka mpira, ili kama ni penati iwe anaweza akakosa, hiyo yote kulinda heshima wao wasiwe kwenye rekodi ya kufumgwa goli la 1000
Respect kwa huyu legend.
Kwangu mimi.
Pele kisha messi wengine watafata.
Romario yeye ni naniRomario kapinga vikali wewe Ni nani uone utoto.
Kwan Romario yeye ni nani mpaka akisema yeye mim niamini acha utoto..Romario kapinga vikali wewe Ni nani uone utoto.
Tufanye kafunga goli 10, bado huyo mzee alikuwa na kipaji kikubwa, kacheza nyakati ngumu mnoo.
Umesoma ulivyojibuKwanza umeandika kama Khdija Kopa kimipasho mipasho tu et unaniletea habari za Romario sasa yeye hawezi kua na chuki binafsi na mwamba Pele kama wewe ulivyo nazo kwake..
Issue ni namba za MagoliTufanye kafunga goli 10, bado huyo mzee alikuwa na kipaji kikubwa, kacheza nyakati ngumu mnoo.
Kasome Football misfit utaona list ya chai zilizopo kwenye mpira zikipingwa kwa hoja ukiikosa hii ntakuwa naumwa.Romario yeye ni nani
Kwa namba zozote mtakazompa bado pele ni balaa, nikikwambia uniletee goli hizo wanazosema hazifai kuhesabiwa utaweza? Pele kacheza game 10 hivi akiwa na timu ya jeshi na alifunga goli kati ya 10 mpaka 13 hivi, zitoe hizo..Issue ni namba za Magoli
Hizi Ni story watu a kumbukumbu na data center wameweka ofisho matches na Magoli yake 700+ ukirudi kwa hao wanaotaja Buku wanavurugana mwengine kwenye Mechi anaongeza sita mwingine anapunguza yaani ni kukisia.Kwa namba zozote mtakazompa bado pele ni balaa, nikikwambia uniletee goli hizo wanazosema hazifai kuhesabiwa utaweza? Pele kacheza game 10 hivi akiwa na timu ya jeshi na alifunga goli kati ya 10 mpaka 13 hivi, zitoe hizo..
Kuna mambo ukifuatilia utaona ni chuki tu na nongwa, mwaka 1969 anafunga goli la 1000 kwenye uwanja wa maracana vs vasco da gama, video ipo YouTube, pele alipewa cheti chenye saini ya raisi wa fifa akiwa mchezaji wa kwanza kufikisha hizo goli 1000, sasa tuseme bwana stanley rous aliyekuwa rais wa fifa wakati huo aliongopea ulimwengu?
Habari ni ndefu sana siwezi andika vyoote.
Kwa nyongeza tu pele ni mfungaji bora wa freekick namba 2 ama 3 nyuma ya fundi juninho pernambucano.
Katika game 14 za world cup kafunga goli 10 na ana assist 10,nitajie wachezaji mnao warate na pele mwenye jeuri ya kufanya hivi world cup.
Kwangu mimi CR7 kwanza wengine wanafuataKila nabii na zama zake..
Binafsi pele nimemfuatilia sana, video za youtube, video zake za full game, amini nakwambia huyu mzee alikuwa fundi mnoo.
Sheria za siku hizi zimepunguza ukali wa kuvunjana, watu walikuwa wanamrukia mitama ya hatari.
Tizama game yao vs Portugal world cup ya mwaka 66 kama sikosei, alipigwa viatu vya hatari, ikabidi awe anachezea mguu wa kushoto zaidi, ila baada ya game hii akasema hawezi cheza tena world cup, ndio mwaka 1970 fifa wakaanzisha red card katika kombe la dunia.
Viwanja havikuwa rafiki sana, viatu walivyokuwa wanavaa ni mazito sio kama ya sasa na bado alifanya kitu.
Game aliyofunga goli la 1000 ilikuwa kimbembe hapo uwanjani, game ilikiwa vs vasco da gama. Alikula viatu vya hatari, ilipigwa krosi inaelekea kwake kufunga, mtu akaona usinitanie, akaudaka mpira, ili kama ni penati iwe anaweza akakosa, hiyo yote kulinda heshima wao wasiwe kwenye rekodi ya kufumgwa goli la 1000
Respect kwa huyu legend.
Kwangu mimi.
Pele kisha messi wengine watafata.
Siwezi kukupinga, ni mtizamo wako.Kwangu mimi CR7 kwanza wengine wanafuata
Swali jepesi, rais wa fifa alipotoa diploma ya kumtambua pele kafunga goli la 1000 mwaka 1969, alikuwa punguani ama, hizo namba hakuziona ama? Na pele 69 bado wa moto, na mwaka 1970 akacheza kombe lake la dunia la 4, na kuchukua kwa mara ya 3, akaja akastaafu mwaka 74 kama sikosei, kisha akaenda marekani akakipiga mpaka 77 hivi.Hizi Ni story watu a kumbukumbu na data center wameweka ofisho matches na Magoli yake 700+ ukirudi kwa hao wanaotaja Buku wanavurugana mwengine kwenye Mechi anaongeza sita mwingine anapunguza yaani ni kukisia.
Case ni nambaz.