Pele na Magoli yake 1,000

Pele na Magoli yake 1,000

CR7 anayatafuta hayo 1000. Sijui kafikisha mangapi.
 
Kila nabii na zama zake..

Binafsi pele nimemfuatilia sana, video za youtube, video zake za full game, amini nakwambia huyu mzee alikuwa fundi mnoo.

Sheria za siku hizi zimepunguza ukali wa kuvunjana, watu walikuwa wanamrukia mitama ya hatari.
Tizama game yao vs Portugal world cup ya mwaka 66 kama sikosei, alipigwa viatu vya hatari, ikabidi awe anachezea mguu wa kushoto zaidi, ila baada ya game hii akasema hawezi cheza tena world cup, ndio mwaka 1970 fifa wakaanzisha red card katika kombe la dunia.
Viwanja havikuwa rafiki sana, viatu walivyokuwa wanavaa ni mazito sio kama ya sasa na bado alifanya kitu.
Game aliyofunga goli la 1000 ilikuwa kimbembe hapo uwanjani, game ilikiwa vs vasco da gama. Alikula viatu vya hatari, ilipigwa krosi inaelekea kwake kufunga, mtu akaona usinitanie, akaudaka mpira, ili kama ni penati iwe anaweza akakosa, hiyo yote kulinda heshima wao wasiwe kwenye rekodi ya kufumgwa goli la 1000

Respect kwa huyu legend.

Kwangu mimi.
Pele kisha messi wengine watafata.
Mkuu, ni kweli kabisa; zamani hakukua na hizi sheria za kumlinda mshambuliaji, ticktak zilikuwa zina pigwa hadi puani - refa anapeta tu, ilikuwa hatari tu.
 
Messi anatisha zaidi.
Pele hata michenga yake haivutii
Mkuu, kumlinganisha Messi na Pelle kwa mtazamo wa WAKATI na SHERIA za UCHEZAJI ni vitu viwili tofauti: Messi mlinganishe na akina JJ Okoch, Gauch n.k, na Pelle na akina Bob Chaton, Osabio n.k . hapo ndipo ilipo tathimini ya watu wengi kwamba Pelle ndie mfalme wa SOKA. Kama vile kumlinganisha J.K. Nyerere na Marais wa leo; Nidhihiri utawapa big-up wa leo kwamba wapo vizuri sana, huku ukisahau kwamba hawa wa sasa TECHNOLOGIA ina wabeba sana; kama hauamini fikiria tu kwamba, hawa maraisi wa leo ndio wangekuwa wa 1960 na JK Nyerere angekuwa Rais leo: nini kingetokea katika ustawi wa Wananchiz?
 
Utumbo huo ulioongea na inawezekana Hawa maraisi wangekua kipindi hicho wangekua Bora zaidi ya Nyerere acheni kunywesha watu chai yaani kama hai watu wazamani walikua ni miungu hizi zama watu wanajielewa
 
Umesoma ulivyojibu
Unafikiri wewe unaweza kukosa kuwa Khadija halisi
Romaria kshikilia namba ziongee sio ubahatishaji.
Wewe ni wale wale watu wa hovyo hovyo ambao huamini hakuna ngozi nyeusi inayoweza fanya mambo makubwa sasa nikuambie hayo mambo ambayo unayaona kayafanya Cr7 na Messi ni marudio mwamba alishafanya zaidi ya hayo..
Pele ni mfalme wa kweli wa soka duniani,Kwasababu akili yako imekaa kutawaliwa tawaliwa yani kitumwa ndio maana unaleta taarabu za kinondoni mkwajuni..
 
Acha uongo we umemuona wapi
 
Acha uongo we umemuona wapi
Endelea kula mihogo na mahindi yako yanayowekewa ndimu mtoto legelege wewe haya maongezi ya wanamume huyawezi wewe bando lenyewe mpaka dada akutume sokoni ndio upate kununua hata nikikuambia nenda YouTube utaweza wewe mtoto pori..
 
Jibu swali we Pele uliona umwamba wake wa kuwazidi Ronaldo na Messi wapi sio unaleta matusi kanakwamba Mimi sijui kutukana
Dunia mbona rahisi wewe zuzuzu hujui sehemu ya kutazama na kuthibitisha hili sio kukimbilia kuni quote tu sumbua akili yako unataka kubishana na mim au?
 
Dunia mbona rahisi wewe zuzuzu hujui sehemu ya kutazama na kuthibitisha hili sio kukimbilia kuni quote tu sumbua akili yako unataka kubishana na mim au?
Nimegundua kumbe hata unachokiongea kuhusu Pele hukijiui ila mfuata mkumbo ndio maana unakalia kutoa matusi
 
Moja aliyekudanganya kwamba sasa hivi strikers wana kazi ngumu kuliko zamani ni nani ? zamani unapigwa kiatu refa anapeta pia zamani offside mpaka kweli uwe umemuacha mtu kabisa sio leo hii sijui marginally offside mtu akiguswa ameanguka yaani soccer sasa hivi limekuwa kama basketball wakati zamani ni kama rugby....

Huo ulikua sio mpira Sasa tofautisha kati ya football na ngumi hao watu wazamani ni vyema wangeenda jeshini sio kucheza mpira miaka hii ukifanya huo ujinga unaikosti timu Kwa kupewa red card hivyo ulikua sio ujanja Bali ni ujinga
 
Back
Top Bottom