inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Hakuna chenga wanapiga hao watu wenu pele hakupiga,mimi mnazi wa gaucho,chenga za gaucho pele alishazitwangaMessi anatisha zaidi.
Pele hata michenga yake haivutii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna chenga wanapiga hao watu wenu pele hakupiga,mimi mnazi wa gaucho,chenga za gaucho pele alishazitwangaMessi anatisha zaidi.
Pele hata michenga yake haivutii
Mkuu, ni kweli kabisa; zamani hakukua na hizi sheria za kumlinda mshambuliaji, ticktak zilikuwa zina pigwa hadi puani - refa anapeta tu, ilikuwa hatari tu.Kila nabii na zama zake..
Binafsi pele nimemfuatilia sana, video za youtube, video zake za full game, amini nakwambia huyu mzee alikuwa fundi mnoo.
Sheria za siku hizi zimepunguza ukali wa kuvunjana, watu walikuwa wanamrukia mitama ya hatari.
Tizama game yao vs Portugal world cup ya mwaka 66 kama sikosei, alipigwa viatu vya hatari, ikabidi awe anachezea mguu wa kushoto zaidi, ila baada ya game hii akasema hawezi cheza tena world cup, ndio mwaka 1970 fifa wakaanzisha red card katika kombe la dunia.
Viwanja havikuwa rafiki sana, viatu walivyokuwa wanavaa ni mazito sio kama ya sasa na bado alifanya kitu.
Game aliyofunga goli la 1000 ilikuwa kimbembe hapo uwanjani, game ilikiwa vs vasco da gama. Alikula viatu vya hatari, ilipigwa krosi inaelekea kwake kufunga, mtu akaona usinitanie, akaudaka mpira, ili kama ni penati iwe anaweza akakosa, hiyo yote kulinda heshima wao wasiwe kwenye rekodi ya kufumgwa goli la 1000
Respect kwa huyu legend.
Kwangu mimi.
Pele kisha messi wengine watafata.
Mkuu, kumlinganisha Messi na Pelle kwa mtazamo wa WAKATI na SHERIA za UCHEZAJI ni vitu viwili tofauti: Messi mlinganishe na akina JJ Okoch, Gauch n.k, na Pelle na akina Bob Chaton, Osabio n.k . hapo ndipo ilipo tathimini ya watu wengi kwamba Pelle ndie mfalme wa SOKA. Kama vile kumlinganisha J.K. Nyerere na Marais wa leo; Nidhihiri utawapa big-up wa leo kwamba wapo vizuri sana, huku ukisahau kwamba hawa wa sasa TECHNOLOGIA ina wabeba sana; kama hauamini fikiria tu kwamba, hawa maraisi wa leo ndio wangekuwa wa 1960 na JK Nyerere angekuwa Rais leo: nini kingetokea katika ustawi wa Wananchiz?Messi anatisha zaidi.
Pele hata michenga yake haivutii
Utumbo huo ulioongea na inawezekana Hawa maraisi wangekua kipindi hicho wangekua Bora zaidi ya Nyerere acheni kunywesha watu chai yaani kama hai watu wazamani walikua ni miungu hizi zama watu wanajielewaMkuu, kumlinganisha Messi na Pelle kwa mtazamo wa WAKATI na SHERIA za UCHEZAJI ni vitu viwili tofauti: Messi mlinganishe na akina JJ Okoch, Gauch n.k, na Pelle na akina Bob Chaton, Osabio n.k . hapo ndipo ilipo tathimini ya watu wengi kwamba Pelle ndie mfalme wa SOKA. Kama vile kumlinganisha J.K. Nyerere na Marais wa leo; Nidhihiri utawapa big-up wa leo kwamba wapo vizuri sana, huku ukisahau kwamba hawa wa sasa TECHNOLOGIA ina wabeba sana; kama hauamini fikiria tu kwamba, hawa maraisi wa leo ndio wangekuwa wa 1960 na JK Nyerere angekuwa Rais leo: nini kingetokea katika ustawi wa Wananchiz?
Wewe ni wale wale watu wa hovyo hovyo ambao huamini hakuna ngozi nyeusi inayoweza fanya mambo makubwa sasa nikuambie hayo mambo ambayo unayaona kayafanya Cr7 na Messi ni marudio mwamba alishafanya zaidi ya hayo..Umesoma ulivyojibu
Unafikiri wewe unaweza kukosa kuwa Khadija halisi
Romaria kshikilia namba ziongee sio ubahatishaji.
Acha uongo we umemuona wapiWewe ni wale wale watu wa hovyo hovyo ambao huamini hakuna ngozi nyeusi inayoweza fanya mambo makubwa sasa nikuambie hayo mambo ambayo unayaona kayafanya Cr7 na Messi ni marudio mwamba alishafanya zaidi ya hayo..
Pele ni mfalme wa kweli wa soka duniani,Kwasababu akili yako imekaa kutawaliwa tawaliwa yani kitumwa ndio maana unaleta taarabu za kinondoni mkwajuni..
Endelea kula mihogo na mahindi yako yanayowekewa ndimu mtoto legelege wewe haya maongezi ya wanamume huyawezi wewe bando lenyewe mpaka dada akutume sokoni ndio upate kununua hata nikikuambia nenda YouTube utaweza wewe mtoto pori..Acha uongo we umemuona wapi
Jibu swali we Pele uliona umwamba wake wa kuwazidi Ronaldo na Messi wapi sio unaleta matusi kanakwamba Mimi sijui kutukanaEndelea kula mihogo na mahindi yako yanayowekewa ndimu mtoto legelege wewe..
Dunia mbona rahisi wewe zuzuzu hujui sehemu ya kutazama na kuthibitisha hili sio kukimbilia kuni quote tu sumbua akili yako unataka kubishana na mim au?Jibu swali we Pele uliona umwamba wake wa kuwazidi Ronaldo na Messi wapi sio unaleta matusi kanakwamba Mimi sijui kutukana
Nimegundua kumbe hata unachokiongea kuhusu Pele hukijiui ila mfuata mkumbo ndio maana unakalia kutoa matusiDunia mbona rahisi wewe zuzuzu hujui sehemu ya kutazama na kuthibitisha hili sio kukimbilia kuni quote tu sumbua akili yako unataka kubishana na mim au?
TakatakaNimegundua kumbe hata unachokiongea kuhusu Pele hukijiui ila mfuata mkumbo ndio maana unakalia kutoa matusi
Huo ulikua sio mpira Sasa tofautisha kati ya football na ngumi hao watu wazamani ni vyema wangeenda jeshini sio kucheza mpira miaka hii ukifanya huo ujinga unaikosti timu Kwa kupewa red card hivyo ulikua sio ujanja Bali ni ujingaMoja aliyekudanganya kwamba sasa hivi strikers wana kazi ngumu kuliko zamani ni nani ? zamani unapigwa kiatu refa anapeta pia zamani offside mpaka kweli uwe umemuacha mtu kabisa sio leo hii sijui marginally offside mtu akiguswa ameanguka yaani soccer sasa hivi limekuwa kama basketball wakati zamani ni kama rugby....
Vitu wanavyofanya sasa Pele alivifanya miaka 50 iliyopita, RIP Legend
We Shall Never See the likes of You Again........ RIP Angalia Tricks ambazo watu tofauti wanafanya sasa Kipindi Kile alifanya....www.jamiiforums.com
Pele was the benchmark against whom all other great players are measured
Katika pita pita zangu za kutafuta chakula ya akili... (habari, makala na upembuzi wa hapa na pale) nimekutana na hii article ya Gab Marcoti... Interesting Read. Pele. Four letters, two syllables. And a universal code word. A concept understood by everyone, regardless of proximity -- or...www.jamiiforums.com
Sawa bintiTakataka
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wivu tu,tena yeye alifunga mpira ukiwa kama ujambazi.Na Toka zama hizo alikuwa na madegeshee kibao.
Uzi ushaanza kunuka harufu ya nyaa sasa umevamiwa na wazee wa kudinywaa tabu tupu..Sawa binti
Sawa bintiUzi ushaanza kunuka harufu ya nyaa sasa umevamiwa na wazee wa kudinywaa tabu tupu..