utakua unawashwa hapa umefika binti kiherehere ntakupiga paipu mpaka ushindwe kucheka..Sawa binti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utakua unawashwa hapa umefika binti kiherehere ntakupiga paipu mpaka ushindwe kucheka..Sawa binti
Twende kwenye hoja ugumu wa kufunga... sasa kipi ni kigumu kufunga kufunga bila kuguswa (unalindwa na refa) au kufunga huku unapigwa ndaruga na zamani ubabe ndio mpango mzima ukiguswa ukaanguka unaambiwa mtoto wa mama...Huo ulikua sio mpira Sasa tofautisha kati ya football na ngumi hao watu wazamani ni vyema wangeenda jeshini sio kucheza mpira miaka hii ukifanya huo ujinga unaikosti timu Kwa kupewa red card hivyo ulikua sio ujanja Bali ni ujinga
Wewe unachezea timu Gani ulaya mpaka unasema kufunga ni kitu rahisiTwende kwenye hoja ugumu wa kufunga... sasa kipi ni kigumu kufunga kufunga bila kuguswa (unalindwa na refa) au kufunga huku unapigwa ndaruga na zamani ubabe ndio mpango mzima ukiguswa ukaanguka unaambiwa mtoto wa mama...
Hence conclusion defender wa zamani angepata sana shida kucheza leo hii (sababu angekuwa anapewa kadi kila wakati) lakini striker wa zamani hii kwake ingekuwa ni burudani
Kwahio sababu wewe sio Kuku na haujawahi kutaga hivyo huwezi kujua yai Viza ?Wewe unachezea timu Gani ulaya mpaka unasema kufunga ni kitu rahisi
Ni kumkosea adabu kwa kumlinganisha na vijana wa soka la kisasa.Mkuu, ni kweli kabisa; zamani hakukua na hizi sheria za kumlinda mshambuliaji, ticktak zilikuwa zina pigwa hadi puani - refa anapeta tu, ilikuwa hatari tu.
Jibu swali unachezea timu Gani ulaya mpaka useme kufunga ni rahisi na unamagoli mangapi hapo ulayaKwahio sababu wewe sio Kuku na haujawahi kutaga hivyo huwezi kujua yai Viza ?
Hii logic ya wapi hii...
Nimecheka mara hiiilipigwa krosi inaelekea kwake kufunga, mtu akaona usinitanie, akaudaka mpira, ili kama ni penati iwe anaweza akakosa
Cheki video ya goli la 1000 ipo youtube.Nimecheka mara hii
Team PenaldoKwangu mimi CR7 kwanza wengine wanafuata
Official matches unazifahamu vizuri.Wewe ni wale wale watu wa hovyo hovyo ambao huamini hakuna ngozi nyeusi inayoweza fanya mambo makubwa sasa nikuambie hayo mambo ambayo unayaona kayafanya Cr7 na Messi ni marudio mwamba alishafanya zaidi ya hayo..
Pele ni mfalme wa kweli wa soka duniani,Kwasababu akili yako imekaa kutawaliwa tawaliwa yani kitumwa ndio maana unaleta taarabu za kinondoni mkwajuni..
Ulishasoma Historia ya Bican vizuri Mana naona tuzo wanazogawa wahuni bado mnazitumia Kama kielelezo Cha ukweli.Swali jepesi, rais wa fifa alipotoa diploma ya kumtambua pele kafunga goli la 1000 mwaka 1969, alikuwa punguani ama, hizo namba hakuziona ama? Na pele 69 bado wa moto, na mwaka 1970 akacheza kombe lake la dunia la 4, na kuchukua kwa mara ya 3, akaja akastaafu mwaka 74 kama sikosei, kisha akaenda marekani akakipiga mpaka 77 hivi.
ila unaamini wewe hujadanganywa kuwa Zama hizi striker ana kazi rahisi kuliko zamani ?Moja aliyekudanganya kwamba sasa hivi strikers wana kazi ngumu kuliko zamani ni nani ? zamani unapigwa kiatu refa anapeta pia zamani offside mpaka kweli uwe umemuacha mtu kabisa sio leo hii sijui marginally offside mtu akiguswa ameanguka yaani soccer sasa hivi limekuwa kama basketball wakati zamani ni kama rugby....
Vitu wanavyofanya sasa Pele alivifanya miaka 50 iliyopita, RIP Legend
We Shall Never See the likes of You Again........ RIP Angalia Tricks ambazo watu tofauti wanafanya sasa Kipindi Kile alifanya....www.jamiiforums.com
Pele was the benchmark against whom all other great players are measured
Katika pita pita zangu za kutafuta chakula ya akili... (habari, makala na upembuzi wa hapa na pale) nimekutana na hii article ya Gab Marcoti... Interesting Read. Pele. Four letters, two syllables. And a universal code word. A concept understood by everyone, regardless of proximity -- or...www.jamiiforums.com
Kudanganywa kuhusu nini mkuu ni kwamba enzi za zamani watu walikuwa wanapigwa kiatu balaa, na ilikuwa ni vigumu sana mtu kumaliza msimu kwa kucheza mechi zote lazima baadhi uwe unauguza maumivu leo hii mtu akiguswa tu anakwenda chini imekuwa kama basketila unaamini wewe hujadanganywa kuwa Zama hizi striker ana kazi rahisi kuliko zamani ?
Mkuu unajua mano amano.., kama wewe ni mkali kama Pele Kocha anakuwekea mtu anakuganda yaani hata ukitaka kwenda kunywa maji anakusubiri na hapo unapigwa viwiko vya kutosha..., Mkuu acha kabisa hawa jamaa walikuwa vitani na kipindi kile timu chache zilikuwa zinapanda kama leo kipindi kile defender anakusubiri huko umfuate ili akupige ndaruga....Na huoni kuwa walikuwa wanufaika wa offside ya mtu kuzidi mwili mzima ?
Mie kwa kufunga, bican simkatalii, ila unadhani kwanini pele yupo kwenye mada ya nani mchezaji bora wa dunja kwa muda wote na bican hayupo, unaweza ukajiuliza na ukapata jibu.Ulishasoma Historia ya Bican vizuri Mana naona tuzo wanazogawa wahuni bado mnazitumia Kama kielelezo Cha ukweli.
The great Austria and Czechoslovakia striker Josef Bican reportedly scored close to 1,500 goals between 1931 and 1957, but only 805 of those were recognised by FIFA.
Narudi kwa Pele
Unamfahamu Odir Cunha mtunza Historia wa Santos aliyezungumzia habari za ukuu na utawala wa Soka la America miaka ya 60-70's alizungumzaje khusu Magoli 1200 ya Pele.
448 yalikuwa ya mechi za kirafik toka timu mbalimbali walizokuwa wakicheza kabla ya intercontinental cross matches ukiyajumuisha ndiyo inakuja no kwenye 1200+ ila ukiyaondoa unarudi kwenye Yale Official 700+.
Kama Tuzo inaongelea Goli 1000 Cr7 asingetambulika Kama mchezaji kinara mwenye Magoli mengi zaidi.
Acha ujinga 1969 Pele alifikisha magoli 1000 kwenye career yake video zipo tafuta Youtube,utaona kuna video pia anakabidhiwa cheti cha magoli 1000 na Fifa na hata kwenye official website ya FIFA wameandika ana magoli 1000 acha kuokota maandiko ya viblog uchwara ambavyo wengi wao wana akili ndogo kama wewe..Ingia official accounf ya Fifa search Pele angalia rekodi zakeHizi Ni story watu a kumbukumbu na data center wameweka ofisho matches na Magoli yake 700+ ukirudi kwa hao wanaotaja Buku wanavurugana mwengine kwenye Mechi anaongeza sita mwingine anapunguza yaani ni kukisia.
Case ni nambaz.
Huyo Romario mwenyewe ana ugomvi na fifa kuhusu magoli yake, yeye anadai ana 1000+ wakati fifa wanasema ana 700+,Umesoma ulivyojibu
Unafikiri wewe unaweza kukosa kuwa Khadija halisi
Romaria kshikilia namba ziongee sio ubahatishaji.
Hakika vichwani washavurugwa na rangi nyeupe huamini wao ndio hufanya yaliyo bora tu..PELE angekuwa ngozi nyeupe hii kima wala usingeisikia inapinga takwimu zake, ila kwavile Pele ni mweusi kama sisi, basi hii kima nyeusi nayo haimkubali kabisa Pele.
Yaani Mkuu, mimi naamini kitendo cha Wazungu kumkubali Pele miaka ile ambayo ubaguzi dhidi ya watu weusi ulikuwa bado na nguvu, basi jamaa alikuwa mwamba kweli kweli.Hakika vichwani washavurugwa na rangi nyeupe huamini wao ndio hufanya yaliyo bora tu..
Unaandika kujinasibisha una akili kubwa kumbe bua la muhindi.Acha ujinga 1969 Pele alifikisha magoli 1000 kwenye career yake video zipo tafuta Youtube,utaona kuna video pia anakabidhiwa cheti cha magoli 1000 na Fifa na hata kwenye official website ya FIFA wameandika ana magoli 1000 acha kuokota maandiko ya viblog uchwara ambavyo wengi wao wana akili ndogo kama wewe..Ingia official accounf ya Fifa search Pele angalia rekodi zake