Pele na Magoli yake 1,000

Huo ulikua sio mpira Sasa tofautisha kati ya football na ngumi hao watu wazamani ni vyema wangeenda jeshini sio kucheza mpira miaka hii ukifanya huo ujinga unaikosti timu Kwa kupewa red card hivyo ulikua sio ujanja Bali ni ujinga
Twende kwenye hoja ugumu wa kufunga... sasa kipi ni kigumu kufunga kufunga bila kuguswa (unalindwa na refa) au kufunga huku unapigwa ndaruga na zamani ubabe ndio mpango mzima ukiguswa ukaanguka unaambiwa mtoto wa mama...

Hence conclusion defender wa zamani angepata sana shida kucheza leo hii (sababu angekuwa anapewa kadi kila wakati) lakini striker wa zamani hii kwake ingekuwa ni burudani
 
Wewe unachezea timu Gani ulaya mpaka unasema kufunga ni kitu rahisi
 
Kwahio sababu wewe sio Kuku na haujawahi kutaga hivyo huwezi kujua yai Viza ?

Hii logic ya wapi hii...
Jibu swali unachezea timu Gani ulaya mpaka useme kufunga ni rahisi na unamagoli mangapi hapo ulaya
 
Official matches unazifahamu vizuri.
Na siongelei uwezo wa kuchezea mpira Wala chenga hapa naongelea Idadi.
Nachoona wengi mnakimbilia kuleta Mambo yasiyohusika
 
Ulishasoma Historia ya Bican vizuri Mana naona tuzo wanazogawa wahuni bado mnazitumia Kama kielelezo Cha ukweli.

The great Austria and Czechoslovakia striker Josef Bican reportedly scored close to 1,500 goals between 1931 and 1957, but only 805 of those were recognised by FIFA.

Narudi kwa Pele
Unamfahamu Odir Cunha mtunza Historia wa Santos aliyezungumzia habari za ukuu na utawala wa Soka la America miaka ya 60-70's alizungumzaje khusu Magoli 1200 ya Pele.
448 yalikuwa ya mechi za kirafik toka timu mbalimbali walizokuwa wakicheza kabla ya intercontinental cross matches ukiyajumuisha ndiyo inakuja no kwenye 1200+ ila ukiyaondoa unarudi kwenye Yale Official 700+.

Kama Tuzo inaongelea Goli 1000 Cr7 asingetambulika Kama mchezaji kinara mwenye Magoli mengi zaidi.
 
ila unaamini wewe hujadanganywa kuwa Zama hizi striker ana kazi rahisi kuliko zamani ?
Na huoni kuwa walikuwa wanufaika wa offside ya mtu kuzidi mwili mzima ?
 
ila unaamini wewe hujadanganywa kuwa Zama hizi striker ana kazi rahisi kuliko zamani ?
Kudanganywa kuhusu nini mkuu ni kwamba enzi za zamani watu walikuwa wanapigwa kiatu balaa, na ilikuwa ni vigumu sana mtu kumaliza msimu kwa kucheza mechi zote lazima baadhi uwe unauguza maumivu leo hii mtu akiguswa tu anakwenda chini imekuwa kama basket
Na huoni kuwa walikuwa wanufaika wa offside ya mtu kuzidi mwili mzima ?
Mkuu unajua mano amano.., kama wewe ni mkali kama Pele Kocha anakuwekea mtu anakuganda yaani hata ukitaka kwenda kunywa maji anakusubiri na hapo unapigwa viwiko vya kutosha..., Mkuu acha kabisa hawa jamaa walikuwa vitani na kipindi kile timu chache zilikuwa zinapanda kama leo kipindi kile defender anakusubiri huko umfuate ili akupige ndaruga....
 
Mie kwa kufunga, bican simkatalii, ila unadhani kwanini pele yupo kwenye mada ya nani mchezaji bora wa dunja kwa muda wote na bican hayupo, unaweza ukajiuliza na ukapata jibu.
Mzambia chitalu alifunga goli 100+ kwenye mwaka wa kalenda ya fifa, ila rekodi hii haitambuliki fifa wanaitambua ya messi,
We unaniambia muandishi wa habari, mie nakwambia rais wa fifa ndio alitoa certificate hito ya goli 1000

Katika hizo unazoita intercontinental matches, pele kawafunga kina madrid, kina inter, benfica na wengineo, pele huyo huyo katika mechi 14 za world cup ana double figures, ana goli 12 na assist 10, kina becknebuer, johan crujfy, yule superstar wa madrid aliyekipiga spain na Argentina, ewaaah, bwana alfredo di stefano, hao wote wanakwambia pele ni kiumbe kingine.
 
Hizi Ni story watu a kumbukumbu na data center wameweka ofisho matches na Magoli yake 700+ ukirudi kwa hao wanaotaja Buku wanavurugana mwengine kwenye Mechi anaongeza sita mwingine anapunguza yaani ni kukisia.

Case ni nambaz.
Acha ujinga 1969 Pele alifikisha magoli 1000 kwenye career yake video zipo tafuta Youtube,utaona kuna video pia anakabidhiwa cheti cha magoli 1000 na Fifa na hata kwenye official website ya FIFA wameandika ana magoli 1000 acha kuokota maandiko ya viblog uchwara ambavyo wengi wao wana akili ndogo kama wewe..Ingia official accounf ya Fifa search Pele angalia rekodi zake
 
Umesoma ulivyojibu
Unafikiri wewe unaweza kukosa kuwa Khadija halisi
Romaria kshikilia namba ziongee sio ubahatishaji.
Huyo Romario mwenyewe ana ugomvi na fifa kuhusu magoli yake, yeye anadai ana 1000+ wakati fifa wanasema ana 700+,
 
PELE angekuwa ngozi nyeupe hii kima wala usingeisikia inapinga takwimu zake, ila kwavile Pele ni mweusi kama sisi, basi hii kima nyeusi nayo haimkubali kabisa Pele.
Hakika vichwani washavurugwa na rangi nyeupe huamini wao ndio hufanya yaliyo bora tu..
 
Hakika vichwani washavurugwa na rangi nyeupe huamini wao ndio hufanya yaliyo bora tu..
Yaani Mkuu, mimi naamini kitendo cha Wazungu kumkubali Pele miaka ile ambayo ubaguzi dhidi ya watu weusi ulikuwa bado na nguvu, basi jamaa alikuwa mwamba kweli kweli.

We fikiria Mwanariadha Mmarekani mweusi Jesse Owens alishinda medali za dhahabu pale Berlin, enzi za Adolf Hitler. Ila cha ajabu Rais wa nchi yake, nadhani alikuwa Roosevelt, hakumpongeza badala yake akawapongeza wanariadha Wazungu walioambulia medali za fedha na shaba huko. Unaacha kumpongeza mshindi wa gold medal unaenda kumpongeza wa bronze na silver?

Kwa vyovyote, kitendo cha Pele kupigwa saluti hadi na Wazungu, jamaa alikuwa mwamba haswaaa.
 
Unaandika kujinasibisha una akili kubwa kumbe bua la muhindi.
Gerd Muller, Bican na wengine unafikir hawakufika goli 1000

Walipoamua wao kuzipa uzito Mechi zile za kirafiki bill kujali wengine watapinga au wasipinge ndio ikaletwa kwenye 1200.
Eti blog uchwara , kma humjui Odir Cunha wa pale Santos maktaba fungaga tu mdomo jombi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…