Tunapopishana wewe upo kwenye Physical battle Mimi nipo kwenye wajibu au roles za striker wa kisasa tofauti na wa Zama zile.
Physical battle makes its hard not easier, sasa ukiondoa physical battle ni kwamba defender wa sasa ana shida na hali ngumu sana inabidi atumie akili na vilevile striker wa zamani ana shida zaidi sio akili tu bali inabidi kuhimili physcality na hili ndio lilipelekea hadi watu kuwa na short careers, ilikuwa ngumu mtu kucheza msimu mzima bila kuwa unauguza majeraha. That is factual..., walete kina pele they could easily adapt mpira wa leo, ila huenda ma defender wa kipindi kile leo hii wangepata tabu na ingebidi wabadilisha their way of play...;
Na ukisema siku hizi mpira Hakuna mabadiliko yalianzia huko hayakuja ghafla so tutarudi kwa waasisi wa mabadiliko wakiwemo kina Austria na wenzao kwa kufanya Mambo kimbinu na kisayansi.
Naam mambo ni kuboresha na doing / dealing with what works kulingana na filosofi tofauti tofauti, na ndio maana huko nyuma nilisema sasa hivi hata world cup haina tena variaties za aina ya michezo tofauti tofauti sababu soko kuu la mpira limekuwa ni Ulaya hivyo watu / academy zinawafundisha watoto wao ili waje / waende kucheza Ulaya kwenye pesa (hence tumepoteza varieties kama ambavyo kipindi kile kulikuwa kuna aina ya uchezaji ya Brazil, Africa n.k.)
Na Leo tupo hapa unafikiri Nani alaukiwe kwa mtazamo wako ?
Kwanini kuwepo na lawama ? the game has evolved, kwa mtizamo mwingine anaweza kusema for the better na mwingine for the worse..., Ingawa sheria kuwa nyingi (kumlinda striker) kumefanya mchezo huu kuwa kama basket.., ila ndio hivyo kama Striker ana thamani ya ma bilioni ya pesa ni lazima and it makes sense kwa asset hio kuwa protected.... Mfano kuna Sheria nyingine inakuja mbioni Wenger's Law...
The Fédération Internationale De Football Association (FIFA) has decided to trial a change to the existing offside rule ahead of the new season.
Football’s world governing body has collaborated with the International Football Association Board (IFAB) - the body that determines the laws of football - to experiment with a new offside rule proposed by legendary former Arsenal manager Arsene Wenger.
The new offside rule nicknamed “the Wenger Law” will be tested first in Sweden with the men’s under-21 and women’s under-19 leagues in the country. The
Wenger Law will also be later trialled in the Netherlands and Italy.
What is the Wenger Law?
The Wenger Law refers to a new offside rule proposed by Premier League legend Arsene Wenger.
As per the Wenger Law, a player will be offside if the whole body of the opposing attacker completely overtakes the last defender at the time of the execution of a pass forward.
However, if the attacker is on the same line as the defender, the player will not be offside.
Currently, a player is deemed offside if any part of their body is ahead of the defender at the time of receiving the pass. With the advent of VAR, players have been ruled offside more frequently with absurd margins.