Pele na Magoli yake 1,000

Pele na Magoli yake 1,000

Najiuliza kwanini sio Jimmy Hogan wa Austria ya 1930 au Magyars 1950 kutambulika Kama waasisi wa kile kinachofananishwa na Total football na waamue kuwalebo Waholanzi ?
Kwanini sio Wachina ndio watambulike kama waanzilishi wa Mpira na tuwatambue Waingereza; Kwanini kuhusu simu tumtambue Alexander Graham Bell na sio wengine waliokuja kabla; Kwanini Facebook tuseme ndio baba wa Social Media wakati kuna kina Myspace walikuwepo Kabla ?

If I have seen further than others, is by standing on the shoulder of the Giants....; Binadamu na Society tunaboresha na kurekebisha kazi inafanywa na wengi hatua kwa hatua kilichofanyika huku au kule mtu anakiongezea na kuboresha..... As for the Credit depends who put the thing in the mainstream...
 
Kama Ni hivyo, Je Hungary waliboresha kilichoanza kufanywa na Austria ?
 
Hoja ilikuwa ni Majukumu kuwa mengi kwa mshambuliaji wa Sasa kuliko zama zile.
Majukumu like what ?!!!! Hivi unajua timu kuwa build around someone ? Kuna kipindi kocha anawaambia wewe ukipata mpira muangalie fulani yupo wapi mpe pasi hio ndio ilikuwa kwa Kina Pele, Maradona au hata Messi sasa swali linakuja ukipewa pasi inakuwaje..., watu hawaruhusiwi kukugusa au everything goes unapigwa paranja kila watu wanavyotaka..., Case in Point angalia hapa Cannigia Cameroun walivyomsulubu na Refa anapeta.., na hii haikuwa zamani sana (sasa imagine kilitokea nini kipindi hakuna hata red card au TV za kurudi nyuma na kuona kwamba fulani alimtemea mate mwingine)

View: https://youtu.be/KeRlJJbtdHc?si=YWqfp2yoKElsG9pS
 
Kama Ni hivyo, Je Hungary waliboresha kilichoanza kufanywa na Austria ?
..................................................................................................................​
Total Football (Dutch: totaalvoetbal) is a tactical system in association football in which any outfield player can take over the role of any other player in a team. A player who moves out of his position is replaced by another from his team, thus retaining the team's intended organisational structure. In this fluid system, no outfield player is fixed in a predetermined role; anyone can successively play as an attacker, a midfielder and a defender. The only player who must stay in a specified position is the goalkeeper.

Total Football's tactical success depends largely on the adaptability of each footballer within the team, in particular the ability to quickly switch positions depending on the on-field situation. The theory requires players to be comfortable in multiple positions; hence, it requires intelligent and technically diverse players.

Manager Rinus Michels is generally credited with introducing this system during the 1970s,[1] at Dutch club Ajax and the Netherlands national football team.[2] However, some authors credit teams such as the Austrian Wunderteam of the 1930s or the Golden Team of Hungary of the 1950s for having played in a similar style to Total Football.[3][4] Both sides were influenced by Jimmy Hogan, who was in turn influenced by the combination game.[5][6][7]
.....................................................................................................................​

Take your pick; ila common denominator by 1970s hili halikuwa jambo jipya....
 
Majukumu like what ?!!!! Hivi unajua timu kuwa build around someone ? Kuna kipindi kocha anawaambia wewe ukipata mpira muangalie fulani yupo wapi mpe pasi hio ndio ilikuwa kwa Kina Pele, Maradona au hata Messi sasa swali linakuja ukipewa pasi inakuwaje..., watu hawaruhusiwi kukugusa au everything goes unapigwa paranja kila watu wanavyotaka..., Case in Point angalia hapa Cannigia Cameroun walivyomsulubu na Refa anapeta.., na hii haikuwa zamani sana (sasa imagine kilitokea nini kipindi hakuna hata red card au TV za kurudi nyuma na kuona kwamba fulani alimtemea mate mwingine)

View: https://youtu.be/KeRlJJbtdHc?si=YWqfp2yoKElsG9pS

Tunapopishana wewe upo kwenye Physical battle Mimi nipo kwenye wajibu au roles za striker wa kisasa tofauti na wa Zama zile.

Na ukisema siku hizi mpira Hakuna mabadiliko yalianzia huko hayakuja ghafla so tutarudi kwa waasisi wa mabadiliko wakiwemo kina Austria na wenzao kwa kufanya Mambo kimbinu na kisayansi.
Na Leo tupo hapa unafikiri Nani alaukiwe kwa mtazamo wako ?
 
Tunapopishana wewe upo kwenye Physical battle Mimi nipo kwenye wajibu au roles za striker wa kisasa tofauti na wa Zama zile.
Physical battle makes its hard not easier, sasa ukiondoa physical battle ni kwamba defender wa sasa ana shida na hali ngumu sana inabidi atumie akili na vilevile striker wa zamani ana shida zaidi sio akili tu bali inabidi kuhimili physcality na hili ndio lilipelekea hadi watu kuwa na short careers, ilikuwa ngumu mtu kucheza msimu mzima bila kuwa unauguza majeraha. That is factual..., walete kina pele they could easily adapt mpira wa leo, ila huenda ma defender wa kipindi kile leo hii wangepata tabu na ingebidi wabadilisha their way of play...;
Na ukisema siku hizi mpira Hakuna mabadiliko yalianzia huko hayakuja ghafla so tutarudi kwa waasisi wa mabadiliko wakiwemo kina Austria na wenzao kwa kufanya Mambo kimbinu na kisayansi.
Naam mambo ni kuboresha na doing / dealing with what works kulingana na filosofi tofauti tofauti, na ndio maana huko nyuma nilisema sasa hivi hata world cup haina tena variaties za aina ya michezo tofauti tofauti sababu soko kuu la mpira limekuwa ni Ulaya hivyo watu / academy zinawafundisha watoto wao ili waje / waende kucheza Ulaya kwenye pesa (hence tumepoteza varieties kama ambavyo kipindi kile kulikuwa kuna aina ya uchezaji ya Brazil, Africa n.k.)
Na Leo tupo hapa unafikiri Nani alaukiwe kwa mtazamo wako ?
Kwanini kuwepo na lawama ? the game has evolved, kwa mtizamo mwingine anaweza kusema for the better na mwingine for the worse..., Ingawa sheria kuwa nyingi (kumlinda striker) kumefanya mchezo huu kuwa kama basket.., ila ndio hivyo kama Striker ana thamani ya ma bilioni ya pesa ni lazima and it makes sense kwa asset hio kuwa protected.... Mfano kuna Sheria nyingine inakuja mbioni Wenger's Law...
The Fédération Internationale De Football Association (FIFA) has decided to trial a change to the existing offside rule ahead of the new season.

Football’s world governing body has collaborated with the International Football Association Board (IFAB) - the body that determines the laws of football - to experiment with a new offside rule proposed by legendary former Arsenal manager Arsene Wenger.

The new offside rule nicknamed “the Wenger Law” will be tested first in Sweden with the men’s under-21 and women’s under-19 leagues in the country. The Wenger Law will also be later trialled in the Netherlands and Italy.

What is the Wenger Law?​

The Wenger Law refers to a new offside rule proposed by Premier League legend Arsene Wenger.

As per the Wenger Law, a player will be offside if the whole body of the opposing attacker completely overtakes the last defender at the time of the execution of a pass forward.

However, if the attacker is on the same line as the defender, the player will not be offside.

Currently, a player is deemed offside if any part of their body is ahead of the defender at the time of receiving the pass. With the advent of VAR, players have been ruled offside more frequently with absurd margins.
 
varieties kama ambavyo kipindi kile kulikuwa kuna aina ya uchezaji ya Brazil, Africa n.k.)
Unafikiri ipi Ni Sababu timu nyingi za Uoaya kucheza mchezo wa Kuvizia zinapokutana na timu za America ?

Kama wanafanan ni kipi kinawafanya kucheza kwa Uoga na kujificha kwenye kivuli Cha kudai ni nidhamu ?

Napoangalia Copa America sioni Kama watafanana na Ulaya Mana huwa naona wao bado mpira wa kujieleza upo kulinganisha na hao wanaocheza ule wa kuchonga.
 
Physical battle makes its hard not easier, sasa ukiondoa physical battle ni kwamba defender wa sasa ana shida na hali ngumu sana inabidi atumie akili
Kipi kigumu Kati ya kutumia Nguvu au akili rejea kwa
Mastriker wajanja wajanja vs maguvu ukweni .

Nafikri kutumia maguvu pia yaweza kuwa mchezo wa mtu na Sio Zama Mana hata Sasa wapo .
 
Unafikiri ipi Ni Sababu timu nyingi za Uoaya kucheza mchezo wa Kuvizia zinapokutana na timu za America ?

Kama wanafanan ni kipi kinawafanya kucheza kwa Uoga na kujificha kwenye kivuli Cha kudai ni nidhamu ?

Napoangalia Copa America sioni Kama watafanana na Ulaya Mana huwa naona wao bado mpira wa kujieleza upo kulinganisha na hao wanaocheza ule wa kuchonga.
Nadhani haujanielewa Mfano Brazil mfumo wao wa mpira ulikuwa based on individual skills and showmanship (watu kama kina Neymar, Pele n.k.) sasa sababu soko kubwa ni Ulaya academy nyingi zinafundisha watoto ili waje waende kucheza ulaya (ndio kuna pesa) hence zile theme za kufurahisha watu za kina Okocha, Neymar na watu kama hao zinakuwa zinakatazwa kwamba zinapoteza muda thus ndio maana workcup za zamani ulikuwa unapata vionjo tufauti kutokana na nani ndio nani jambo ambalo sasa hivi limepungua
 
Kipi kigumu Kati ya kutumia Nguvu au akili rejea kwa
Mastriker wajanja wajanja vs maguvu ukweni .
Kwanza kabisa kusema kwamba kuna watu hawana akili za kimpira ni kukosea mtu mpaka anaingia uwanjani sio kwamba walikuwa ni mijitu isiyo na akili na vilevile wangeweza ku adapt; na ukiongelea Brazil (watu waliokuwa wanafilosofi ya Beatiful game) ni kwamba skills zilikuwa ni jambo muhimu lazima uwape entertainment watazamaji sio kushinda mechi pekee..., ndio maana kulikuwa na wachawi wa vyenga kina Garrincha ( na tukiongelea Pele alikuwa a complete player) he could dribble, shoot, had pace n.k. kwahio angeweza ku adapt different plays... Unaweza kusema sasa hivi mpira wa timu nyingi ni High Tempo au kuhitaji kukaba hata ukiwa striker (jambo ambalo linaweza kuhitaji mtu uwe na stamina na uangalie afya yakp); lakini vilevile bright players hata slow players they can adapt mfano mtu kama Pirlo unaweza kusema hana pace lakini he is known for his vision, technique, creativity, passing, and free kick ability.

Na ndio hapo nasema makocha wengi wanatengeneza timu kulingana / around na star wao na ukishakuwa star lazima una akili au uwezo fulani..., sasa likija suala la kwamba nyote mna akili lakini mmoja wenu anaruhusiwa kupigwa buti (physicality) na mwingine analindwa nani ana raw deal hapo ?
Nafikri kutumia maguvu pia yaweza kuwa mchezo wa mtu na Sio Zama Mana hata Sasa wapo .
Sasa kama buti (nisiseme maguvu) ilikuwa ruksa tofauti na sasa huoni hapo kuna utofauti..., pia kumbuka nilisema na ninasema tena defenders wa sasa they are complete players kuliko wa zamani sababu wa sasa hivi a lot is required from defenders (not only defending) and there is less they can do at their disposal kuweza kumzuia striker...
 
Back
Top Bottom