Kwahyo mchezaji bora anatafsiriwa mechi moja tu du wewe kiboko,Akuna sku nmemdharau mess km sku wako ugenini kwa PSG skuamini dk 90 adi za nyongeza zinaisha Mess ata attempt 1 golini hakuna,alafu alafu wasioukubali ukweli bado tu wanamlinganisha na Nguli C.Ronado ifike sehemu watu basi muwe na aibu ! Mtachekwa jamani.Juzi tu kazenguliwa kodi kajifanya kususa na kuama nchi angalia sasa vilabu vinavopigana vigingi kumnyakua yani wako tayari kulipa gharama zote ilimrad wampate bila kujali umri wake ,uyu MTU ni bidhaa adimu jamani.
Nakupinga kwa 100%ronaldo anajua mipira yote,wa timu na binfsi,messi ni team player tu,mfumo ukimtenga humuoni,ndomana alinuna ibrahimovic alipopewa jukumu la kumaliza,akatishia kuondoka,ikabidi shifo ibrahimovic aondoke barca
ExtraordinaryWewe Jamaa mbona mbishi sana...maana nachokiona unaforce watu wakubali unachokiamini kitu ambacho ni kigumu maana tunatofautiana mawazo, ebu ona hadi ALBA anamwita Genius RONALDO Over MESSI.
View attachment 527522
Brother hizo stastics zako za wapi yani msimu wa 2016/2017 messi ana goals ratio ya 0.96 Ronaldo 1 duh embu fuatilia vizuri.Mkuu tatizo sio hilo ila TUANZIE KUCHUKUA TAKWIMU ZAO WALIPOANZA KUWA WOTE PALE LALIGA maana games nyingi ambazo Ronaldo amekuwa involved bila kufunga ni zile za Man-U in EPL(Ligi ambayo ata Huyo messi wenu hawezi kwenda kwa hofu ya kupotea) ambapo Ronaldo alifunga goals 118 katika mechi 256...ila kwa pale Spain akiwa Real in LaLiga messi hagusi ata chembe...yani Ronaldo ana goals nyingi(285) kuliko michezo yote aliyocheza Laliga 265...huku messi akiwa na goals chache(349) kuliko michezo yote 382 aliyocheza LaLiga ina maana zipo games 33 ambazo messi amecheza pale laliga bila ya kufunga goli ata moja huku mwenzie RONALDO AMESHINDA KATIKA MECHI ZOTE ALIZOCHEZA LALIGA NA ANA GOALS 20+ ZAIDI YA MICHEZO ALIYOCHEZA PALE SPAIN NA NDIO MAANA RATE YA UFUNGAJI KWA RONALDO NI NZURI KULIKO MCHEZAJI YOYOTE KUWAHI KUTOKEA PALE LALIGA...ALAFU MISIMU MITANO AMBAYO MESSI EMEMZIDI RONALDO IMELETA TOFAUTI YA GOALS 64 tu(349 Goals for messi - 265 Goals for Cristiano =64 goals) kwa hiyo kuna misimu kama minne pale LaLiga messi amekuwa na wastani Wa goals 13 per season....SASA KAMA RONALDO HAJAWAI FUNGA GOALS CHACHE CHINI YA 20+ TOKEA ATUE PALE LALIGA JULY-2009 NA KAMA MSIMU WA 2014/2015 ALIWEZA KUIFUNGIA MADRID GOALS 46 ZA LALIGA INA MAANA RONALDO ANGETANGULIA MSIMU MMOJA NA NUSU PALE SPAIN IN LALIGA ANGEKUWA AMESHAMZIDI MESSI GOALS KADHAA NA KAMA ANGEANZIA SOCCER LAKE PALE SPAIN MESSI ANGEPOTEZWA VIBAYA SANA...
View attachment 527554
View attachment 527555
Huna akili kichwani humo... kwako ww kigezo kupiga chenga??? Kama ndivyo messi hata okocha hamfikii.. we ni mpumbavu tena sijawahi kuona..Kuishia Darasa la tatu ni Tatizo Kubwa Mno.. Kushinda Kombe la Dunia ni Kigezo ila sio Kikubwa kama unavodhani....Think out of the Box Panua Fikra..Acha uvivu wa Kufikiri....Hii ni Karne ya 21!
Messi anauchezea Mpira na kufunga,naomba uniambie huyo okocha kwenye Carrier yake yote ana magoli mangapiHuna akili kichwani humo... kwako ww kigezo kupiga chenga??? Kama ndivyo messi hata okocha hamfikii.. we ni mpumbavu tena sijawahi kuona..
ronaldo anajua mipira yote,wa timu na binfsi,messi ni team player tu,mfumo ukimtenga humuoni,ndomana alinuna ibrahimovic alipopewa jukumu la kumaliza,akatishia kuondoka,ikabidi shifo ibrahimovic aondoke barca
Kwani mchezaji bora duniani anatakiwa awe na niniAsiyekubali Ronaldo ni zaidi ya Messi...
1.Haujui mpira
2.Mahaba/mihemuko inamuongoza.Huyu hawezi kusema tofauti na kilichomo ndani yake (mahaba)
Weka ma idadi ya mechi walizocheza pia. We umeanza kucheza miaka 2 nyuma ya mwenzako halafu unajitamba na magoli mengiSasa mkuu huyo zilatan mwenyewe na huyo Messi wako wote wameburuzwa...UNATEGEMEA ASEME NINI TENA???
View attachment 527631
wewee ni Shoga yaani vitu vidogo unashindwa kuelewaa? acha kupigwa Mashinee unapoteaa ahahahahaaa Ma Gay Bhana!Huna akili kichwani humo... kwako ww kigezo kupiga chenga??? Kama ndivyo messi hata okocha hamfikii.. we ni mpumbavu tena sijawahi kuona..
Lakini ukumbuke anasema Messi is Extraordinary...Refer Physics kaka Einstein was Genius but Newton was Extraordinary....kama Hujui Extraordinary is More than Genius ma Geniuos wapo wengi sana!
Basi Ahsantee kwa Kukubali kwamba Messi is EXTRAORDINARY na Ronaldo is Genious!Mhhh!...hiyo yako mwenyewe me sijaona hapo Mahala amesema messi ni extraOrdinary....on other hand I salute to the Geniuses more than ExtraOrdinary Ones.
Fact afu Mzee anazeeka Vibayaa yaani Hasa kwa Huu Msimu Messi amekuwa Bora sana Kuliko Ronaldo Ukiachana Na Trophies walizoshindaa!
unajificha kwenye kichaka cha performance ya timu?!..barcelona kama timu na mfumo wao inaenda chini lakini bado mfumo unambeba messiNakupinga kwa 100%
Msimu huu Barcelona ilikuwa out of form,huyo huyo messi unayesema hayupo vizuri individual,ndie mchezaji ambaye amekuwa na performance nzuri mzuri wa 2016/2017 ulaya nzima kma Si dunia
KAKA MBONA HILI LA EL CLASSICO MNAKWEPA...MESSI ALIFANYA NINI? NA ROALDO ALIFANYA NINI?