PELE: No doubt, Best Player in the World is Cristiano Ronaldo

Halafu Lile la Messi Juzi Bernabeu Halitokaa litoke kwenye Moyo wako
 

Sio hizo tuu Ronaldo ana UNBEATEN RECORDS NYINGI DHIDI YA MESSI zikiwemo hizi...










 

Kiungo mzuri namkubali sana, anakaribishwa LaLiga aje atiwe Dawa na Luka Modric pale dimbani katika El Classicos!
 
Hahahaaa izo ni stats za mechi chache lakini aliwafanya nini Madrid El Classico...ukipata Jibu Ni tag
Hata hiyo ya Madrid nayo pia ni moja ya stats chache kwa cr 7 so hapo tupo draw
 
2014 aliambiwa ataje timu anayodhan itanyakua kombe la dunia akasema england
Ferguson msimu huu alisema Chelsea haitakuwepo top4, maajabu Chelsea akabeba kombe kabsaaa!
 
Yule aliyesusa baada ya kupahisha penaty kule marekani ni nani vile [emoji23][emoji23]
Mkuu kipindi kile ilikuwa inaitwa peñalty ya mwendo kasi, kutoka mlandizi mpaka unguja shoot Hilo!
 
ronaldo anajua mipira yote,wa timu na binfsi,messi ni team player tu,mfumo ukimtenga humuoni,ndomana alinuna ibrahimovic alipopewa jukumu la kumaliza,akatishia kuondoka,ikabidi shifo ibrahimovic aondoke barca
Ronaldo ni best in terms of energy and scoring.....

...Messi ni best player,scorer,play maker, creater..assister..team work..controlling...dribbling..intelligent,.. Etc
 
Ronaldo ni best in terms of energy and scoring.....

...Messi ni best player,scorer,play maker, creater..assister..team work..controlling...dribbling..intelligent,.. Etc
angalia mechi ya arsenal vs barce ambayo barce alipoteza 2-1,mechi ambayo wilshere alicheza mpira wa maisha yake,xavi anakiri hakuwahi kuwa outplayed kiasi kile,messi alikuwa mzururaji tu mule kama muuza ndizi
 
We jamaa kwa kupiga debe unaweza

Sasa Mkuu debe gani WAKATI NI KWELI PELE AMEYASEMA MWENYEWE???...alafu Huyo jamaa amehitaji records za Cr7 mbali ya zile nilizompostia mwanzo...nami nikampatia tatizo nini ulionalo wewe???...isitoshe nilichokipost SIO FORGERY BALI KWELI HIZO NI RECORDS ZA RONALDO AMEZIWEKA MWENYEWE, je ningekuwa ni mshabiki Wa Barca...nikapost Records za MESSI...Ungehoji???
 
Ronaldo ni best in terms of energy and scoring.....

...Messi ni best player,scorer,play maker, creater..assister..team work..controlling...dribbling..intelligent,.. Etc

Mkuu kheri wewe umehit some truth...yani in terms of scoring RONALDO NI GOALS SCORING MACHINE NA HII NDIO KAZI KUBWA YA STRIKER MAANA MAGOLI NDO YANAIPA TIMU POINTS ZA KUONGOZA KWENYE LIGI...Hayo mengine kama dribbling ni ziada tu ambazo hufanywa na striker kama kutukosha tuu mashabiki na waangaliaji soccer kwa ujumla kutokana na aina hiyo ya mpira huvutia.
 
Ronaldo is not even the best Ronaldo,atakuaje bora zaidi ya messi.!?!?
 
Na hapa wasipoelewa wakatafute mganga wao aliewaroga hamna namna.
 
MESSI is the great "team player" best dribler, runs magically with the ball and score wonderful goals anakufanya unaenjoy RONALDO anacheza miguu yote kati anaweza pembeni anaweza but he is not a "team player" he is a goal score therefore RONALDO is GOOD but MESSI is the BEST.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…