PEMBA: Achapwa Mikwaju Kula Mchana Mwezi mtukufu wa Ramadhan

Hili gamba linataka kuleta sintofahamu katika jamii. LUMUMBA akili zenu haziwatoshi zinapelea sana.
Upuuzi gani huu unauleta hapa na kusngizia kuwa ati mtu anapigwa ajafunga? jinga kabisa wewe.
 
Hao sio waislam ni wahuni to wamtaan usifananishe waislam na hao waun
 
Wewe Barbarosa kama huna cha kuandika ni bora kupiga kimya tu, hivi unalipwa kuanzisha thread za kinafiki kama hizi? Unatoa vipicha fesibuku unavileta JF na kuvifungulia thread!!

Sasa hiyo picha kuna ushahidi gani hapo kama huyo anayepigwa ni mwizi au mtu ambae hajafunga?

Na baadhi ya member wa JF siku hizi wamekua wavivu sana wakutafakari kabla ya kucomment, mtu akishaona thread inayoisema dini fulani basi anatiririka tu kulaumu!!

Tuwe tunatafakari vitu kwanza, hii forums inapoteza ubora wake kila kukicha, imebaki watu kukashifiana dini zao tu!!

Mods hizi thread za kinafiki mngekua mnazifutulia mbali tu hazima maana yeyote humu.
 
Labda alipokula walishiba wao. Hivyo kawaharibia mfungo. Duniani kuna mambo.
 
Ulikuwa unatafuta kiki ya kuongea ujulikane!tuamini vp kwmba huyo hajafunga anapigwa.acha kumtetea shemeji yako huyo kaiba kuku anachapwa
Mwambie huyo anaetaka kuchafua hali ya hewa humu jukwaani marabuku,huyo anaepigwa ni shoga anaeuza tigo Zanzibar,na hapo anaadhibiwa.
 
Waarabu wengi kutoka nchi za kiislam huja hapa uingereza kipindi cha ramadhani, wakikimbia adha ya kushinda na njaa kwakua wanajua mfungo sio kushinda njaa tu, kama vitendo vyako havifanani na imani yako ni bora ule,ndiyo maana wanakuja kula bata UK, mfungo ukiisha wanarudi uarabuni.
 
Sina uhakika na usahihi wa picha, ila stori za namna hiyo nimezisikia sana.
Huu ni ukosefu wa elimu na upumbavu wa levels za juu kabisa.
Siwezi kuwahukumu Waislamu wote na kuwafananisha wa wapumbavu kadhaa wanaosapoti upumbavu kama huo. Ninao marafiki kadhaa wa kiisalam tangu chuo mpaka kwa ofisi, ila hawajawahi kunizuia kunywa au kula mbele zao wakiwa wamefunga. Ninapenda kuwaita watu wa namna hii "Waislamu wanaojielewa" ila kwa nyie wapumbavu kadhaa ni vema mkatambua kwamba kila mtu ana uhuru wa kufanya apendavyo as long as havunji sheria za nchi.
 
Hao ni wahuni wa kiislam waliofunga mfungo kwa kukosa hela ya kula.., hence ni convenient kwao kufunga
Acha uzoba ww lete ushaidi kama awo waislam ndo ivi vitu vinaanzishaga ugonvi wa kidin kwa mambo ayaaya ya kipuuzi toa ushaid kama awo waislam na wanampiga kisa ajafunga na wapo zanzibar mue mnafikilia kabra ya kuandika kwanza
 

Acha usanii nyie lini mlifunga? Eti unakula asbh mchana unafunga mnajua funga nyie? Acheni utani kwenye vitu vya msingi
 
Kwani akiuza lazima mnunue, anauza kwa sababu wateja wapo na ndiyo hao wanaojifanya kufunga mwezi huu.
Wewe chunga mdomo wako,usitake kutulazimisha humu jukwaani tufanane na wewe mwenye kifafa kenge bluu,usiguse imani za watu la sivyo utatoka baruti hapa,kama wewe unafagilia ushoga sisi hatujali lakini usiseme eti wanajifanya kufunga ndio wateja kenge wewe,ngoja waje wakupasue msamba humu,nakupa 2 minutes.
 
Mae Maelezo yako hayaendani na picha
 
Weweeeee Uingereza unaijua? mtu unakaa Mwakaleli halafu eti ooh Waarabu wengi kutoka nchi za Kiithilaaamu wanakuja Uingereza(huku umebana pua),au unatamani wateja wa kiarabu wakati Mwakaleli hakuna waarabu,acha walevi wa ulanzi waendelee kukupumulia kisogoni kefule weye.
 
Mbona unapanic ndugu, hakuna biashara bila wateja, ukiona anauza ujue wanunuzi wapo.
 
Kwani hii sadicktv yawapi? Yawezekana ni kibaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…