Pemba: Freeman Mbowe akipata kahawa kijiweni na wenyeji wake

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kiongozi wa watu huchangamana na watu mitaani, hivi ndivyo walivyofanya wapigania Uhuru Maarufu wa Enzi zile

IMG_20210705_221553.jpg
 
Kiongozi wa watu huchangamana na watu mitaani , hivi ndivyo walivyofanya wapigania Uhuru Maarufu wa Enzi zile
Si kawaida yako mkuu, kuandika bila kithibitisho cha usemacho!!

inakuwaje mkuu, au uko mdotoni boss
 
Kipindi kile alipoenda Mwendazake kupiga rangi viatu kwenye vijiwe, utasikia anajidai huyo.

Ila kwa Mbowe, ndivyo walivyofanya wapigania uhuru.

Utadhani Tanzania bado haijajitawala.

Duuh!.
 
Akimaliza kuzurura atoe taarifa ya mafanikio ya hizo ziara watu tuzichambue na tuangalie mafanikio then kama kuna maboresho wakubali ushauri itawasaidia Ila wakizurura halafu muanze matusi basi endeleeni tu.

Lazima kila strategy ipimwe na tuangalie kama inalipa au hailipi kisiasa? Otherwise itakuwa yaleyale tu ya kupeana empty hopes full of lies.
 
Mipango ya Chadema haijawahi kufeli , tushirikiane kudai katiba mpya tu
 
Akimaliza kuzurura atoe taarifa ya mafanikio ya hizo ziara watu tuzichambue na tuangalie mafanikio then kama kuna maboresho wakubali ushauri itawasaidia Ila wakizurura halafu muanze matusi basi endeleeni tu.

Lazima kila strategy ipimwe na tuangalie kama inalipa au hailipi kisiasa? Otherwise itakuwa yaleyale tu ya kupeana empty hopes full of lies.
Unafaham maana ya kuzurura?
 
Back
Top Bottom