digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Binafsi namkubali sana huyu mama, ndani ya mwaka wa utawala wake nimeongezewa kiasi Cha shilingi 200,000 bila kusahau daraja.
Long live mama samia
Long live mama samia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo wangapi!? Na kwa hela ipi? Wewe kula kwa urefu wa kamba yako.! Huu ni msimu wako[emoji24][emoji24]Hawa nafikiri watasaidiwa na ndugu zao ambao Ni Watumishi.
Hawa nafikiri watasaidiwa na ndugu zao ambao Ni Watumishi.
Bwawa la Nyerere sio kama unashona kiatu wewe. Kazi inaendelea kwa umakini au unataka wafanye haraka sana?Think twice vinginevyo umetoroka Milembe.
1.Miradi mikubwa haikamiliki mfano bwawa la Nyerere, daraja la Busisi, SGR
2.Gharama za maisha kupaa
3.Watu wa kawaida wanafaidikaje
4....View attachment 2293331
Umeme upi ni reliable kwa uelewa wako?Bwawa la Nyerere sio kama unashona kiatu boya wewe. Kazi inaendelea kwa umakini au unataka wafanye haraka sana?
Umewahi kwenda rufiji kujionea??
Alafu aliyekwambia umeme wa maji ni wa uhakika ni nani??
Toa solutionHii Nchi Ina wajinga wengi sana .
Hivi 23% kwenye Inflation iliyopo Sasa inamaana gan?
Nchi ilojaa wajinga na wabinafsi, wee umezungumzia Mfanyakazi ?? Umetenga Muda wako kumtizama Mtanzania wa kawaida ,Kwa Sasa anapitia hali gani???.
Ongeza uzalishaji wa Bidhaa ili upunguze presha kwenye mzunguko wa Bidhaa in turn utapunguza Inflation.Toa solution
Vipi kwa wananchi wa kawaida wasiokuwa na ajira serikalini.
[emoji122][emoji122][emoji122]Hawa nafikiri watasaidiwa na ndugu zao ambao Ni Watumishi.
GAS,Umeme upi ni reliable kwa uelewa wako?
Hahaha 200,000 ulivyo kichwa maji unadhani utafanyia chechote ongezeko la gharama za maisha hulifikirii! Na mikopo mnayochukuaga mnafanyia mambo yasiyo na kichwa wala miguu!Binafsi namkubali sana huyu mama, ndani ya mwaka wa utawala wake nimeongezewa kiasi Cha shilingi 200,000 bila kusahau daraja.
Long live mama samia