sabosabo
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 2,050
- 5,066
Nilishakubali hilo!Hahahhaha tatizo sisi tuna anko wetu ujue ndio tunayemjua
Nikamuomba Auntie yenu niwe tu mdaka chozi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilishakubali hilo!Hahahhaha tatizo sisi tuna anko wetu ujue ndio tunayemjua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilishakubali hilo!
Nikamuomba Auntie yenu niwe tu mdaka chozi!
Kaa kikaangoni basi jamanii.Una malwedhe eeeh?
ShkamooDaah
Kwakweli hizi dharau za hali ya juu sana!
WoyooooNilishakubali hilo!
Nikamuomba Auntie yenu niwe tu mdaka chozi!
Jamani jamanii...Najua ni yeye Mkuu
Wakati nimempokea kabisa na Uzi wake wa hodii kipindi hicho..hahaha
Basi tu ananifanyia visa nisiwe na Auntie yenu
Hahaha hahahaMarhabaa!
We nitakurubuni tu
Utanikubalii
Mi nimekubali nafasi yangu ya "mdaka chozi"Jamani jamanii...
We mbishi saaaana! Unataka mdhulumu anko wangu kipenzi!
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Kaa kikaangoni basi jamanii.
Venye anko wangu anampendaaa!!! Hawezi toa chozi KabisaaaMi nimekubali nafasi yangu ya "mdaka chozi"
Haya mambo itabidi niyapeleke kimya kimya sasa,maana nakutana na upinzani mkaliiVenye anko wangu anampendaaa!!! Hawezi toa chozi Kabisaaa
Safari njema[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hilo haliwezekanii, hata mkiwa kimya lazima nilete upinzani. Kiufupi kila nitskapokukuta lazima nilianzisheHaya mambo itabidi niyapeleke kimya kimya sasa,maana nakutana na upinzani mkalii
Nyie tutawapa taarifa kwenye vikao muhimu tu kama kupokea mahari hivi
😘😘😘Haya mambo itabidi niyapeleke kimya kimya sasa,maana nakutana na upinzani mkalii
Nyie tutawapa taarifa kwenye vikao muhimu tu kama kupokea mahari hivi
🚶🚶🚶🚶Safari njema
Msalimie sana Mo
Daah siyo vizuri hivyoHilo haliwezekanii, hata mkiwa kimya lazima nilete upinzani. Kiufupi kila nitskapokukuta lazima nilianzishe
Endelee kunitia moyo bebee[emoji8][emoji8][emoji8]