Pendekeza maeneo ambayo yanahitaji route Mpya ya Usafiri Ili matajiri walete mabasi

Pendekeza maeneo ambayo yanahitaji route Mpya ya Usafiri Ili matajiri walete mabasi

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
19,582
Reaction score
14,167
Kama Heading inavyosomeka,tupendekeze route Mpya ambazo zinahitaji usafiri wa mabasi kwa kuanzishwa route Mpya au kuongeza idadi ya mabasi.

Mimi napendekeza route zifuatazo,

Mbeya-Kahama via Chunya au via Dodoma.

Sumbawanga-Dodoma via Iringa.

Mbeya-Kigoma via Mpanda.

Mbeya -Musoma via Bariadi & Maswa.

Ongezeni zingine maana abiria wapo ila hakuna usafiri wa moja kwa moja, uliopo ni wa kuunga unga tuu.👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220910-113212.png
    Screenshot_20220910-113212.png
    107.2 KB · Views: 15
Mbona hakuna route zisizo na mabus.
Route uamuliwa na uwepo wa abiria.
 
Back
Top Bottom