Nini moro, kitu kinatoka Dar Kahama mpaka Kagera, tena kuna gari nyingi sana na kuna moja mpya na ni kali sana inaitwa Travel Partner. Angalizo gari zote from Dar to Bukoba lazima zilale Kahama, ila wakati wa kutoka Bukoba to Dar hakuna kulala popote mpaka Dar labda wewe abiria binafsi ndiyo usinzie ndani ya gari lakini gari hailali popoteNimeona Moro-Kahama-Bukoba