Pendekeza maeneo ambayo yanahitaji route Mpya ya Usafiri Ili matajiri walete mabasi

Pendekeza maeneo ambayo yanahitaji route Mpya ya Usafiri Ili matajiri walete mabasi

Chalinze - Moro - Dodoma.
Chalinze - Moshi - Arusha.
Chalinze - Mwanza.
Chalinze - Mbeya.
Chalinze - Musoma.

Hivi kwanini hakuna basi zinazoanzia CHALINZE??
 
Chalinze - Moro - Dodoma.
Chalinze - Moshi - Arusha.
Chalinze - Mwanza.
Chalinze - Mbeya.
Chalinze - Musoma.

Hivi kwanini hakuna basi zinazoanzia CHALINZE??
Hapo Chalinze si ndio karibu kila basi linapita sasa ni ngumu kuwa na route ya kuishia hapo hapo.
 
Kuna route Moja ya zamani sana Aisee hii ni Route ya Tanga-Mbeya- Sumbawanga. Hahahaah sijui wale Jamaa miaka ile waliwaza kitu Gani why Tanga to Sumbawanga? Miaka ya 1990's.... wanaenda mara moja tu kwa week
 
Back
Top Bottom