Pendekeza maeneo ambayo yanahitaji route Mpya ya Usafiri Ili matajiri walete mabasi

Pendekeza maeneo ambayo yanahitaji route Mpya ya Usafiri Ili matajiri walete mabasi

NZURI sana, wale Jamaa wa Takbir wanatoka Kasulu wanafika Dar saa nane usiku, ngoma asubuhi inaamsha inarudi Kasulu. Kuna siku walinyoosha wakafika Kasulu saa nane usiku, hahaha the following day kufika Kaliua driver akatiwa ndani
Why akatiwa ndani?kwani hii route ina umbali gani?,nachukia mno ninaposoma comments za watu kutiana lupango ovyo ovyo tu
 
Why akatiwa ndani?kwani hii route ina umbali gani?,nachukia mno ninaposoma comments za watu kutiana lupango ovyo ovyo tu
Ile route unatakiwa ukiondoka Dar saa 12 asubuhi, Kasulu unatakiwa ufike Kesho saa nne. Kwahio unalazimika kulala Wilaya ya Kaliua Mkoa wa Tabora, wao kufika Kaliua wakaunganisha to Kasulu
 
Back
Top Bottom