Pendekeza maeneo ambayo yanahitaji route Mpya ya Usafiri Ili matajiri walete mabasi

Pendekeza maeneo ambayo yanahitaji route Mpya ya Usafiri Ili matajiri walete mabasi

Route mpya Kwa wale wafanyabiashara wa Zambia na Dar 👇
 

Attachments

  • 20220918_075430.jpg
    20220918_075430.jpg
    59.8 KB · Views: 6
  • 20220918_074717.jpg
    20220918_074717.jpg
    63.5 KB · Views: 6
Unadhani kwanini hao matajiri hawajaleta hayo Mabasi ?!! Kwamba Pua zao zimepoteza uwezo wa kunusa fursa ?!!

Utagundua kwamba huenda hakuna return on investment ya kutosha au waliopo wanaridhika na kilichopo, Anyway ndio hapo linakuja suala la service na ndio maana hata nchi zilizoendelea kuna routes / biashara zinapewa ruzuku (yaani mwisho wa siku mlipa kodi anafidia) Yaani in Capitalist Word if its a Win they Win and if its a Loss they win you (Loose)..., in short they win either way...
 
Naomba kuuliza wajuzi wa route ya dodoma to kanda ya ziwa ...gari zinazo kwenda kahama huwa zinanpita shinyanga mjini ?
 
Naomba kuuliza wajuzi wa route ya dodoma to kanda ya ziwa ...gari zinazo kwenda kahama huwa zinanpita shinyanga mjini ?
Hapana zinaenda moja kwa moja kahama zikifika tinde zinakata kwenda kahama hazinyoishi au haziendi Shinyanya ndio zirudi kahama
Ukipanda hiyo ya hivyo shukia Tinde ndio uende Shinyanya

Au panda bus ya Dodoma to Shinyanga to Mwanza
 
Kuna route Moja ya zamani sana Aisee hii ni Route ya Tanga-Mbeya- Sumbawanga. Hahahaah sijui wale Jamaa miaka ile waliwaza kitu Gani why Tanga to Sumbawanga? Miaka ya 1990's.... wanaenda mara moja tu kwa week
Dah kulikuwa na basi linaitwa KATIBA,leyland clydesdale(CD)![emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom