Nini moro, kitu kinatoka Dar Kahama mpaka Kagera, tena kuna gari nyingi sana na kuna moja mpya na ni kali sana inaitwa Travel Partner. Angalizo gari zote from Dar to Bukoba lazima zilale Kahama, ila wakati wa kutoka Bukoba to Dar hakuna kulala popote mpaka Dar labda wewe abiria binafsi ndiyo usinzie ndani ya gari lakini gari hailali popoteNimeona Moro-Kahama-Bukoba
So mkuu hata lile pori kati ya Kahama na Bukoba watu wapite pia usiku au siyo...Sioni sababu ya msingi kuzuia magari yasisafiri usiku
Sababu kuwa ni route fupi na hakuna abiria wengi so mwenye gari atapata hasaraChalinze - Moro - Dodoma.
Chalinze - Moshi - Arusha.
Chalinze - Mwanza.
Chalinze - Mbeya.
Chalinze - Musoma.
Hivi kwanini hakuna basi zinazoanzia CHALINZE??
Huwezi kosa usafiri pale, gari za mizigo ni nyingi sana,hata ufike saa ngapi au upate safari ya ghafla muda wowote unapata usafiri sema utakuwa siyo rasmiIla ingeanzia hapo ni nzuri kwa sababu ingefanya kuwe na uhakika wa usafiri muda wote, sasa hivi wakishapita jamaa wa Dar ndio basi Tena.
Ili tu uwe unashuka msewe kituoni kwakoMakumbusho - Mwenge - UDSM - Msewe - Kimara - Mbezi
Tabora - Sumbawanga usafiri wa kumwaga TATA Macopolo zinakimbiza kichizi saa kumi jioni mashine inashusha abiria Tabora au S/wangaTabora Sumbawanga
Hapo Kuna Buses Nyingi SanaNimeona Moro-Kahama-Bukoba
Zipo Ingawa Zinapitia Mara, Mwanza, Via Sengerema, Muleba, BukobaMusoma- Bariadi- shinyanga-kahama-Bukoba
Mbalamaziwa?Msije mkalipua vipando/magari yetu.Hampishani na Nyololo.Hamuaminiki ninyi.Mkishindwa kunyonya wese mtanyonya vingine.πππMbalamaziwa - Dsm
Newforce, majinjah special, kyela express, rungwe express zipo zinaenda kila siku mkuuDar_Tukuyu_kyela
Newforce, majinjah special, kyela express, rungwe
kyela Express na Rungwe usafiri wao siku hizi sio wa uhakika siku zingine hawasafiriNewforce, majinjah special, kyela express, rungwe express zipo zinaenda kila siku mkuu
Zipo Bus za kumwagaDar_Tukuyu_kyela