Pendekeza Majina ya Wabunge wapya ambao ungependa waingie Bungeni Hapo Mwakani

Gen Z, hujui nchi ni yao? Majina Yale Yale Kila siku
 
Hivi kati ya Mwakipesile na Mwaitobe nani ana hela nyingi, tubeti
 
Akili za watu wa CCM za kijinga sana, kama hujasoma CUBA hapa wanataka kujua wapinzani wapi watatajwa zaidi ili wafanye maneuver yao mapema. Anyway kwa Wizi wao jipitisheni Tena tu.
 
Har
Haminaze
Weka sepetu
Mwijakuuu
Baba levooo

Hapa kuna wawili wako bungen wmwa kan kwa kugombea ama viti maalum
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sasa kumbe!!
Week-end ishaanza sisy nipe location
Nilikwambia yupo zake location father-xmas 🀣🀣🀣🀣Nipo morogoro,nilipanda Abood kumbe ni kama mwendokasi watu wanasimama kwenye kikorido
 
Nilikwambia yupo zake location father-xmas 🀣🀣🀣🀣Nipo morogoro,nilipanda Abood kumbe ni kama mwendokasi watu wanasimama kwenye kikorido
Wewe simu hupokei tatizo lako πŸ˜‚πŸ˜‚

Abood na new force wana ujinga kuna siku waliweka vindoo wakakalisha abiria kwenye kikorido 🀣🀣

Ehh km uko Moro nenda Florida kuna waluguru band utaenjoy sis… had umenitamanisha ujue..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…