Pendekeza Majina ya Wabunge wapya ambao ungependa waingie Bungeni Hapo Mwakani

Ndugu zangu watanzania,

Sauti ya wengi ni Sauti ya Mungu. Maneno huumba. kwa kuwa mwakani ni Mwaka wa uchaguzi ,na kwa kuwa kuna wabunge wengine walishatangaza kustaafu siasa na kwa kuwa kuna wabunge wengine kutokana na Umri wanaweza kustaafu ubunge na kwa kuwa wengine kutokana na sababu mbalimbali wanaweza wasitake kugombea tena.

Na kwa kuwa uongozi ni kupokezana vijiti na kwa kuwa ubunge ni utumishi wa watu unaohitaji mtu kujitoa na kujitolea kwa ajili ya watu na kutambua kuwa uongozi ni utumishi kwa watu na kwa kuwa CCM ndio chama kinachoaminika katika mioyo ya watanzania na kupendwa na watanzania na hivyo kuwa na imani kubwa na wagombea kupitia CCM.

Je watanzania wenzangu mlikuwa mnatamani sura zipi Ngeni ambazo hazipo kwa sasa bungeni kuona zikipata nafasi ya kuingia Bungeni kupitia majimbo kwa chama cha Mapinduzi? Mnatamani nani na nani kuwaona Bungeni?

Kwa upande wangu japo nataja wachache lakini haimaanishi ni hao hao.wapo wengine ambao nitawataja baadaye.leo nataja tu lakini sababu nitaeleza baadaye.

.Mheshimiwa Paul Makonda.RC Arusha.

. Mheshimiwa Amos Makala.Mwenezi CCM Taifa.

. Mheshimiwa Nehemiah Mchechu,msajili wa Hazina.

. Mheshimiwa Jokate Mwegelo.Katibu Mkuu UVCCM

. Mheshimiwa David Kafulila.Mkurugenzi PPP.

. Mheshimiwa Juma Homela.RC Mbeya.

. Mheshimiwa Shaka Hamidu Shaka.Dc huko Morogoro

. Mheshimiwa Gerson Msigwa.Katibu Mkuu wizara ya utamaduni,sanaa na Michezo.

Muda huu naishia hapa ila nitaendelea wakati mwingine kuwapa sababu ya kupendekeza jina la kila mmoja hapo juu na kuongeza baadhi ya majina mengine mapya. Sijataja majimbo maana mtu anaweza kugombea jimbo lolote lile.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Gen Z, hujui nchi ni yao? Majina Yale Yale Kila siku
 
Hivi kati ya Mwakipesile na Mwaitobe nani ana hela nyingi, tubeti
 
Akili za watu wa CCM za kijinga sana, kama hujasoma CUBA hapa wanataka kujua wapinzani wapi watatajwa zaidi ili wafanye maneuver yao mapema. Anyway kwa Wizi wao jipitisheni Tena tu.
 
Har
Ndugu zangu watanzania,

Sauti ya wengi ni Sauti ya Mungu. Maneno huumba. kwa kuwa mwakani ni Mwaka wa uchaguzi ,na kwa kuwa kuna wabunge wengine walishatangaza kustaafu siasa na kwa kuwa kuna wabunge wengine kutokana na Umri wanaweza kustaafu ubunge na kwa kuwa wengine kutokana na sababu mbalimbali wanaweza wasitake kugombea tena.

Na kwa kuwa uongozi ni kupokezana vijiti na kwa kuwa ubunge ni utumishi wa watu unaohitaji mtu kujitoa na kujitolea kwa ajili ya watu na kutambua kuwa uongozi ni utumishi kwa watu na kwa kuwa CCM ndio chama kinachoaminika katika mioyo ya watanzania na kupendwa na watanzania na hivyo kuwa na imani kubwa na wagombea kupitia CCM.

Je watanzania wenzangu mlikuwa mnatamani sura zipi Ngeni ambazo hazipo kwa sasa bungeni kuona zikipata nafasi ya kuingia Bungeni kupitia majimbo kwa chama cha Mapinduzi? Mnatamani nani na nani kuwaona Bungeni?

Kwa upande wangu japo nataja wachache lakini haimaanishi ni hao hao.wapo wengine ambao nitawataja baadaye.leo nataja tu lakini sababu nitaeleza baadaye.

.Mheshimiwa Paul Makonda.RC Arusha.

. Mheshimiwa Amos Makala.Mwenezi CCM Taifa.

. Mheshimiwa Nehemiah Mchechu,msajili wa Hazina.

. Mheshimiwa Jokate Mwegelo.Katibu Mkuu UVCCM

. Mheshimiwa David Kafulila.Mkurugenzi PPP.

. Mheshimiwa Juma Homela.RC Mbeya.

. Mheshimiwa Shaka Hamidu Shaka.Dc huko Morogoro

. Mheshimiwa Gerson Msigwa.Katibu Mkuu wizara ya utamaduni,sanaa na Michezo.

Muda huu naishia hapa ila nitaendelea wakati mwingine kuwapa sababu ya kupendekeza jina la kila mmoja hapo juu na kuongeza baadhi ya majina mengine mapya. Sijataja majimbo maana mtu anaweza kugombea jimbo lolote lile.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Haminaze
Weka sepetu
Mwijakuuu
Baba levooo

Hapa kuna wawili wako bungen wmwa kan kwa kugombea ama viti maalum
 
Nilikwambia yupo zake location father-xmas 🤣🤣🤣🤣Nipo morogoro,nilipanda Abood kumbe ni kama mwendokasi watu wanasimama kwenye kikorido
Wewe simu hupokei tatizo lako 😂😂

Abood na new force wana ujinga kuna siku waliweka vindoo wakakalisha abiria kwenye kikorido 🤣🤣

Ehh km uko Moro nenda Florida kuna waluguru band utaenjoy sis… had umenitamanisha ujue..
 
Back
Top Bottom