Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Ulilewa 🤣🤣Hamna, nilikua na mambo mengi tu leo😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulilewa 🤣🤣Hamna, nilikua na mambo mengi tu leo😂
😂😂😂 Akwambie vizuri alikuwa wapi?Au ulikunywa vitu vikali jana?
Mcheck sisy, mipango ianze😂Now i’m free njooni hapa tumalize jambo letu week-end inaanza leo 😂😂
We nae mzaramo una gubu,yaani leo alhamisi bado unataka tumsute mtu mambo ya weekend jamani?🤣🤣🤣🤣😂😂😂 Akwambie vizuri alikuwa wapi?
Mimi aliniaga kasafiri kikazi huku.!!
🤣🤣🤣 Basi tutamsuta shots zikianza kuchangamsha ubongo..We nae mzaramo una gubu,yaani leo alhamisi bado unataka tumsute mtu mambo ya weekend jamani?🤣🤣🤣🤣
Gen Z, hujui nchi ni yao? Majina Yale Yale Kila sikuNdugu zangu watanzania,
Sauti ya wengi ni Sauti ya Mungu. Maneno huumba. kwa kuwa mwakani ni Mwaka wa uchaguzi ,na kwa kuwa kuna wabunge wengine walishatangaza kustaafu siasa na kwa kuwa kuna wabunge wengine kutokana na Umri wanaweza kustaafu ubunge na kwa kuwa wengine kutokana na sababu mbalimbali wanaweza wasitake kugombea tena.
Na kwa kuwa uongozi ni kupokezana vijiti na kwa kuwa ubunge ni utumishi wa watu unaohitaji mtu kujitoa na kujitolea kwa ajili ya watu na kutambua kuwa uongozi ni utumishi kwa watu na kwa kuwa CCM ndio chama kinachoaminika katika mioyo ya watanzania na kupendwa na watanzania na hivyo kuwa na imani kubwa na wagombea kupitia CCM.
Je watanzania wenzangu mlikuwa mnatamani sura zipi Ngeni ambazo hazipo kwa sasa bungeni kuona zikipata nafasi ya kuingia Bungeni kupitia majimbo kwa chama cha Mapinduzi? Mnatamani nani na nani kuwaona Bungeni?
Kwa upande wangu japo nataja wachache lakini haimaanishi ni hao hao.wapo wengine ambao nitawataja baadaye.leo nataja tu lakini sababu nitaeleza baadaye.
.Mheshimiwa Paul Makonda.RC Arusha.
. Mheshimiwa Amos Makala.Mwenezi CCM Taifa.
. Mheshimiwa Nehemiah Mchechu,msajili wa Hazina.
. Mheshimiwa Jokate Mwegelo.Katibu Mkuu UVCCM
. Mheshimiwa David Kafulila.Mkurugenzi PPP.
. Mheshimiwa Juma Homela.RC Mbeya.
. Mheshimiwa Shaka Hamidu Shaka.Dc huko Morogoro
. Mheshimiwa Gerson Msigwa.Katibu Mkuu wizara ya utamaduni,sanaa na Michezo.
Muda huu naishia hapa ila nitaendelea wakati mwingine kuwapa sababu ya kupendekeza jina la kila mmoja hapo juu na kuongeza baadhi ya majina mengine mapya. Sijataja majimbo maana mtu anaweza kugombea jimbo lolote lile.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Weekend iwe ndefu bana😂Namcheck muda sio mrefu 😂😂
Joannah sisy simu iwe hewani sasa kabla boss hajaahirisha 🤣
😂😂😂 Sijui yukwapi hapokei simu we muache baadae aanze kunipa lawama..Weekend iwe ndefu bana😂
Tukiwa kwenye safari yetu ya dodoma tiketi ya pugu😁😁😁🤣🤣🤣 Basi tutamsuta shots zikianza kuchangamsha ubongo..
😂😂😂 sasa kumbe!!Tukiwa kwenye safari yetu ya dodoma tiketi ya pugu😁😁😁
HaminazeNdugu zangu watanzania,
Sauti ya wengi ni Sauti ya Mungu. Maneno huumba. kwa kuwa mwakani ni Mwaka wa uchaguzi ,na kwa kuwa kuna wabunge wengine walishatangaza kustaafu siasa na kwa kuwa kuna wabunge wengine kutokana na Umri wanaweza kustaafu ubunge na kwa kuwa wengine kutokana na sababu mbalimbali wanaweza wasitake kugombea tena.
Na kwa kuwa uongozi ni kupokezana vijiti na kwa kuwa ubunge ni utumishi wa watu unaohitaji mtu kujitoa na kujitolea kwa ajili ya watu na kutambua kuwa uongozi ni utumishi kwa watu na kwa kuwa CCM ndio chama kinachoaminika katika mioyo ya watanzania na kupendwa na watanzania na hivyo kuwa na imani kubwa na wagombea kupitia CCM.
Je watanzania wenzangu mlikuwa mnatamani sura zipi Ngeni ambazo hazipo kwa sasa bungeni kuona zikipata nafasi ya kuingia Bungeni kupitia majimbo kwa chama cha Mapinduzi? Mnatamani nani na nani kuwaona Bungeni?
Kwa upande wangu japo nataja wachache lakini haimaanishi ni hao hao.wapo wengine ambao nitawataja baadaye.leo nataja tu lakini sababu nitaeleza baadaye.
.Mheshimiwa Paul Makonda.RC Arusha.
. Mheshimiwa Amos Makala.Mwenezi CCM Taifa.
. Mheshimiwa Nehemiah Mchechu,msajili wa Hazina.
. Mheshimiwa Jokate Mwegelo.Katibu Mkuu UVCCM
. Mheshimiwa David Kafulila.Mkurugenzi PPP.
. Mheshimiwa Juma Homela.RC Mbeya.
. Mheshimiwa Shaka Hamidu Shaka.Dc huko Morogoro
. Mheshimiwa Gerson Msigwa.Katibu Mkuu wizara ya utamaduni,sanaa na Michezo.
Muda huu naishia hapa ila nitaendelea wakati mwingine kuwapa sababu ya kupendekeza jina la kila mmoja hapo juu na kuongeza baadhi ya majina mengine mapya. Sijataja majimbo maana mtu anaweza kugombea jimbo lolote lile.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Utaua michongooo kwikwi hahahaa watawapiga chk n arrv😂😂😂 sasa kumbe!!
Week-end ishaanza sisy nipe location
Sasa hayo majina ulivyoyaandika ndio balaaHar
Haminaze
Weka sepetu
Mwijakuuu
Baba levooo
Hapa kuna wawili wako bungen wmwa kan kwa kugombea ama viti maalum
Nilikwambia yupo zake location father-xmas 🤣🤣🤣🤣Nipo morogoro,nilipanda Abood kumbe ni kama mwendokasi watu wanasimama kwenye kikorido😂😂😂 sasa kumbe!!
Week-end ishaanza sisy nipe location
Wewe simu hupokei tatizo lako 😂😂Nilikwambia yupo zake location father-xmas 🤣🤣🤣🤣Nipo morogoro,nilipanda Abood kumbe ni kama mwendokasi watu wanasimama kwenye kikorido
Hii list ya hawa wabunge ukitoa mimi,Joannah na To yeye wengine wote waliobaki wakiongozwa na dogo Lamomy mtakua ni wale wakuruka sarakasi bungeni.🏃😄😜cocastic
Joannah
Manyanza
Mpaji Mungu
Pridah
BICHWA KOMWE -
Vincenzo Jr
To yeye
100 others
Nyamwi255
Narudi kumalizia wengine 😹😹😹