Pendekezo: Francis Mutungi na Sisty Nyahyoza waondolewe Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, wametumika kupandikiza migogoro kwenye vyama vya siasa

Tunataka katiba mpya na siyo marekebesho.ova
 
Vyama vya siasa visajiliwe mahakamani,katiba zao zipelekwe mahakamani.
Unakuwa na mlezi mchochezi halafu tena unamlipa mshahara kwa uchochezi.
 
Vyama vya siasa visajiliwe mahakamani,katiba zao zipelekwe mahakamani.
Unakuwa na mlezi mchochezi halafu tena unamlipa mshahara kwa uchochezi.
Katiba Mpya ndio suluhisho
 
Sawa mkuu Kila mtu ataondolewa halafu kazi zote tutakupa ufanye wewe.
 
Ni kweli, Jumba letu lilikuwa chafu saana - hii ofisi nayo isafishwe haraka, Mama hakuna kupumua geukia na huku kwa mtoa hoja kumeumana.
unaambiwa bi mkubwa kaamua kumkiri shetani , sasa hivi hata adhana haisikii
 
Mkuu unataka ccm wajiondoe? watakula wapi?
 
Mkiwadekeza hawa Mamluki hii nchi itaingia kwenye machafuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…