Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Yupo wapi Vincent Tendwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SwadaktaHakika ofisi inapaswa kusafishwa...
Tunataka katiba mpya na siyo marekebesho.ovaMaadam sasa tumeamua kufanya mabadiliko basi ni vema Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ikaletewa watu wapya ili kuondoa manung'uniko.
Mutungi ametumika mara kadhaa kupandikiza migogoro kwenye vyama vya siasa kwa kuyalinda makundi ya wahalifu , huku akisimamia kugawa ruzuku halali ya Cuf kwa rafiki yake Lipumba kwa kutumia akaunti binafsi ya raia , kuna uvumi kwamba Mutungi alipewa 10% ( hajawahi kukanusha ), sasa mtu kama huyu ama Msaidizi wake Sisty Nyahyoza, ambaye hajawahi kuficha mapenzi yake kwa ccm hawafai kuendelea kukalia ofisi hii nyeti ya Umma.
Iko wazi kwamba vyama vya siasa kwa kipindi cha miaka 6 chini ya Utawala wa Magufuli vilipigwa marufuku kufanya shughuli zote za kisiasa kinyume kabisa cha Katiba ya nchi na kinyume cha Sheria za vyama vya siasa , lakini Mutungi akiwa mlezi wa vyama hivyo na huku akijua kwamba sheria za nchi zinavunjwa hakuwahi kukemea , aliamua kuufyata na kunyamaza , kiongozi kama huyu muoga anasubiri nini kwenye ofisi hii?
Katiba Mpya ndio suluhishoVyama vya siasa visajiliwe mahakamani,katiba zao zipelekwe mahakamani.
Unakuwa na mlezi mchochezi halafu tena unamlipa mshahara kwa uchochezi.
Kwani alipoondolewa Sabaya mlinipa mimi cheo chake ?Sawa mkuu Kila mtu ataondolewa halafu kazi zote tutakupa ufanye wewe.
Tunaanza na hizo nafasi mbili zitakazokuwa wazi.Kwani alipoondolewa Sabaya mlinipa mimi cheo chake ?
Siyo Vincent ni John Tendwa. Alikuwa hababaishwi na Mkapa.Yupo wapi Vincent Tendwa?
unaambiwa bi mkubwa kaamua kumkiri shetani , sasa hivi hata adhana haisikiiNi kweli, Jumba letu lilikuwa chafu saana - hii ofisi nayo isafishwe haraka, Mama hakuna kupumua geukia na huku kwa mtoa hoja kumeumana.
Mkuu unataka ccm wajiondoe? watakula wapi?Maadam sasa tumeamua kufanya mabadiliko basi ni vema Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ikaletewa watu wapya ili kuondoa manung'uniko.
Mutungi ametumika mara kadhaa kupandikiza migogoro kwenye vyama vya siasa kwa kuyalinda makundi ya wahalifu , huku akisimamia kugawa ruzuku halali ya Cuf kwa rafiki yake Lipumba kwa kutumia akaunti binafsi ya raia , kuna uvumi kwamba Mutungi alipewa 10% ( hajawahi kukanusha ), sasa mtu kama huyu ama Msaidizi wake Sisty Nyahyoza, ambaye hajawahi kuficha mapenzi yake kwa ccm hawafai kuendelea kukalia ofisi hii nyeti ya Umma.
Iko wazi kwamba vyama vya siasa kwa kipindi cha miaka 6 chini ya Utawala wa Magufuli vilipigwa marufuku kufanya shughuli zote za kisiasa kinyume kabisa cha Katiba ya nchi na kinyume cha Sheria za vyama vya siasa , lakini Mutungi akiwa mlezi wa vyama hivyo na huku akijua kwamba sheria za nchi zinavunjwa hakuwahi kukemea , aliamua kuufyata na kunyamaza , kiongozi kama huyu muoga anasubiri nini kwenye ofisi hii?
Hakuna aliyepambana na chadema akabaki salamaMutungi nakuonya kabla hayajakukuta , Chadema itakuondoa madarakani , endelea kuifuatafuata
HakikaHao washenzi ni wa kupiga kiberiti kama vibaka tu
[emoji38][emoji38][emoji38]Yule ngiri Mahera?