Weeeh tumewaheshimisha kwa kuwapa watoto halafu bado mnatusimanga! Mara paaap DNA imekosewa, ya Khamis kapewa Juma! Msitafute matatizo nyie viumbe, leeni watoto wenu.Endelea kuficha hivyo hivyo ila siku ukibainika, ukipona sana ni kuivunja familia yako, yaani hayo yatakuwa ni madhara yenye haueni kwako.
Mmeamua kumtesa shemeji yenu kisakolojia!!Kwa taarifa yako kwetu kwa upande wa kaka tuna watoto wawili wazungu.mapacha wakati sisi weusi tulikubali kama watoto wetu kuwa kitanda hakizai haramu
Tukasema hao watoto wanafanana na bibi mzaa bibi wa bibi wa bibi alikuwa mzungu tukataifisha .Tukawa tunakisubiri kitokee kidume koko kijitokeze kiseme hao ni watoto wake tukionyeshe cha mtema kuni.Tukasema hakuna cha DNA test wala nini ni watoto wetu wa ndani ya ndoa
Tunafurahi kwenye familia yetu tuna wazungu watoto wetu
Siyo kwamba mtoto hakuhusu,mtoto anakuhusu sana hata ukitaka maji ya kunywa unaweza mtuma si umemlea mwenyewe, sema DNA inakuonesha hiyo siyo damu yako yaani huyo mtoto hajatoka kiunoni mwako! Hayo sijui ya majina ya mtoto DNA hayamuhusu,DNA yeye ana deal na damu kwa damu,tena DNA huwa hataki kabisa hata kujua majina ya wahusika,maana inaweza leta conflict of interest!!Unalea mtoto kwa taaabu, Halafu baada ya miaka mitano mama mtu Tena kwa kujiamini kabisa anakwambia "huyu mtoto sio wako" na hapo unakuta umejinyima kufanya mambo Kibao... Halafu kirahisi rahisi tu unakuja kuambiwa huyo mtoto hakuhusu serious?
Hivi nyie wenzangu mnafikiri kwa kutumia kiuongo gani?? Yaani hamfikiri kabisa mental damage inayoweze kumkuta mwanaume kutokana na paternity fraud? Au ndio Yuko katika nyakati ambazo mwanaume ni kama gogo tu lolote baya likimkuta ni sawa tu?
Kila mgeni akija utasikia " Yani huyu kachukua sura ya baba yake kabisa " hapo jua kuna dalili ya utapeli😁
😁😁😁 wake tena, bado sijawa mkubwa, mimi kwangu mtoto ni mtoto tu ila iwe hivyo baba yake asije songeza pua tu😁
Tunatakiwa kuwasanua madogo sasa hiviTumeishadadia na Sasa inatumaliza... Kuna jamii Moja ya ovyoo sana inakuja kutokea miaka 15 ijayo hapo wewe tulia tumuombe Mungu stupe uzima.
Mantiki nzima ya hii comment yako ni nini hasa? maana nimesoma mara mbili mbili kujua ulichokusudia kulenga lakini nimetoka kapa..Siyo kwamba mtoto hakuhusu,mtoto anakuhusu sana hata ukitaka maji ya kunywa unaweza mtuma si umemlea mwenyewe, sema DNA inakuonesha hiyo siyo damu yako yaani huyo mtoto hajatoka kiunoni mwako! Hayo sijui ya majina ya mtoto DNA hayamuhusu,DNA yeye ana deal na damu kwa damu,tena DNA huwa hataki kabisa hata kujua majina ya wahusika,maana inaweza leta conflict of interest!!
Utakuwa tagged kama adui mkubwa wa jamii kwanzia kwa hao madogo mpaka kwa mishangazi kwamba unawaharibia vijana wao wa kiume kwa kuwafundisha "toxic masculinity"Tunatakiwa kuwasanua madogo sasa hivi
Mkuu kama ulitendwa na Mwanamke kwa kubambikiziwa mtoto, basi kaa ukijua kwa asilimia kubwa na wwe una mtoto wako wa damu sehemu kapewa mwanaume mwingine anamlea bila kujua kama wake! Ni swala la muda tu mtakutana, wwe mshukuru Mungu kwa kila jambo!!Ni vyema sana sana kukaa kimachale, kwa sisi tuliotendwa vibaya na ndoa, mioyo yetu ipo na status ya “auto pilot” yani hata usipodhamiria, inamwangalia mwanamke kwa Machame!
Yaani lazima tuhakikishe mzigo kama ni original au feki!!!Ujinga mtupu mtu kama humwamini.mia kwa mia ulimchukua wa nini ?
Eti mpime kila wakati mtoto akizaliwa ujinga mtupu
Sijui kuhusu Bongo. But that is already doable.Unaongelea Forensic DNA test au?
Bongo hapa Kuna hospital inaweza kufanya hichi kitu?
kabisa mkuu tena huduma itolewe bure ili iwe haki kwa woteHabari wakuuu..,....
Hali ilipofikia sio kuzuri.......palipofikia tena sio kwa kuoneana aibu.......watu wanalia kwa kutoa milio wengine wanalia kwa vibration na wengine wagugumia ndani ndani......
Siku hizi kitanda kinazaa haramu kwa kuwa wanandoa wameamua kuwa wana haramu......
Kwa hali ilipofikia sio tena kufumbiana macho tuambiane ukweli wa mambo.........
Hii ni dhuruma kubwa inafanyika lakini watu wanaiona ni kawaida.......
Hili pendekezo Tu......
NB;
Mzee wa miaka 62 ajitoa uhai baada ya kugundua wanae watano aliowalea sio wa kwake......imetokea huko Kenya....