Pendekezo: Itungwe sheria ya upimaji wa DNA kwa mtoto. Sheria iwe lazima pindi tu mtoto anapozaliwa

Uyo ndugu ni mwanamke, maandiko yake yanaonesha ana conflict of interest
 
Atulie yy mwenyewe akipimwa utakuta huyo anayemjua km baba yake “si baba yake” 😹
 
Rest In Peace Binti Machelina! Binafsi nilikuwa rafiki mkubwa sana wa bibi yangu. Huyu mzee alikuwa ndo DNA tester wa Ukoo! Yaani anajifanya anakubeba na kucheza na wewe ila anatazama alama zake! Binafsi naunga Mkono kabsa suala ya kupima DNA kabla wazazi hawajatia saini kwenye cheti cha kuzaliwa. Ili baba jina lake liwe kwenye hati basi kuwepo na kiambanisho cha DNA.​
 
Wamarekani wajinga tu hata ndoa zao za mikataba

Waafrika tunaamini kitanda hakizai haramu
Huo upumbavu ubakie huko huko marekani
Utakuwa umembambika mumeo watoto wewe, siyo bure, mada hapa siyo ndoa za mikataba, usituondoe kwenye ajenda, mada ni DNA
 
Soko la kupima DNA limebuma unasaka wateja mpate pesa baada ya kuona dude lenu la kupimia DNA linaoza na kupata kutu huko maabara kwa kukosa wateja
 
Wr ukapimwe akili siyo bure
 
Soko la kupima DNA limebuma unasaka wateja mpate pesa baada ya kuona dude lenu la kupimia DNA linaoza na kupata kutu huko maabara kwa kukosa wateja
Kwani baba kutaka kujua kama kweli mtoto ni wake ni dhambi!?? Mbona unawashambulia wanaume wenye kutaka kufanya DNA!?
 
Ukitazama kwa makini ni kama vile wanaume waliopo kwenye system wameamua kutukomoa Wanaume wenzetu......
Mpango wa ferminism nyuma ya pazia unapewa backup na wanaume wenye nguvu, hawa ferminists huku mtaani ni pawns tu wanaotangulizwa mbele kama chambo. Ferminism ni mpango wa kumpa nguvu mwanamke zaidi ya mwanaume kwenye kila nyanja ili iwe rahisi kwa wakubwa kupitisha ajenda zao binafsi kwa sababu mwanamke ni rahisi kumtikisa tofauti na mwanaume
 
Kila siku nawaambia vijana haya mambo bahati mbaya sana kuna mpaka wanaume wenzangu wananishambuliaga
 
Ishi sana Mkuu!
 
Haujaelewa mada
 
Hivi blood crossing haiwezi fanya kazi...kujaua hii damu yangu au laah.

Afu kwanini kipimo cha DNA kimekuwa kigumu hv kuliko cha HIV
Kundi la damu halina maana, lakini wazazi wote wakiwa na blood group AB au mmoja ana AB, mwingine ana A au B, mtoto hawezi kuwa na blood group O, tofauti na hizo hali, blood group hazina maana ktk utambuzi wa mtoto.
 
Swali la msingi! Je hao watoto uliomkuta nao mke wako wanatumia majina yako au majina ya baba yao?! Lakini pia ikitokea ndoa imechacha na mkaamua kutengana, hiyo emotional attachment ya mwanaume kwa hao watoto ambao sio wake, inaondokaje!?
 
Andiko lako limeyazibua masikio yangu na akili Yangu
 
One man down
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…