Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uyo ndugu ni mwanamke, maandiko yake yanaonesha ana conflict of interestWe jinsia gani ndugu!?
😂😂😂😂😂😂😂😂
Ninaongea kwa experience sio kwa kuropoka.
Kadri mwanamke unavyozidi kumpa uaminifu ndivyo kadri anavyofanya mambo chini ya kapeti.
Na kadri mwanamke unavyompa uhuru ndivyo kadri anavyovuka mipaka.
Utakuwa umembambika mumeo watoto wewe, siyo bure, mada hapa siyo ndoa za mikataba, usituondoe kwenye ajenda, mada ni DNAWamarekani wajinga tu hata ndoa zao za mikataba
Waafrika tunaamini kitanda hakizai haramu
Huo upumbavu ubakie huko huko marekani
Soko la kupima DNA limebuma unasaka wateja mpate pesa baada ya kuona dude lenu la kupimia DNA linaoza na kupata kutu huko maabara kwa kukosa watejaRest In Peace Binti Machelina! Binafsi nilikuwa rafiki mkubwa sana wa bibi yangu. Huyu mzee alikuwa ndo DNA tester wa Ukoo! Yaani anajifanya anakubeba na kucheza na wewe ila anatazama alama zake! Binafsi naunga Mkono kabsa suala ya kupima DNA kabla wazazi hawajatia saini kwenye cheti cha kuzaliwa. Ili baba jina lake liwe kwenye hati basi kuwepo na kiambanisho cha DNA.
Wr ukapimwe akili siyo bureKwa taarifa yako kwetu kwa upande wa kaka tuna watoto wawili wazungu.mapacha wakati sisi weusi tulikubali kama watoto wetu kuwa kitanda hakizai haramu
Tukasema hao watoto wanafanana na bibi mzaa bibi wa bibi wa bibi alikuwa mzungu tukataifisha .Tukawa tunakisubiri kitokee kidume koko kijitokeze kiseme hao ni watoto wake tukionyeshe cha mtema kuni.Tukasema hakuna cha DNA test wala nini ni watoto wetu wa ndani ya ndoa
Tunafurahi kwenye familia yetu tuna wazungu watoto wetu
Kwani baba kutaka kujua kama kweli mtoto ni wake ni dhambi!?? Mbona unawashambulia wanaume wenye kutaka kufanya DNA!?Soko la kupima DNA limebuma unasaka wateja mpate pesa baada ya kuona dude lenu la kupimia DNA linaoza na kupata kutu huko maabara kwa kukosa wateja
Mpango wa ferminism nyuma ya pazia unapewa backup na wanaume wenye nguvu, hawa ferminists huku mtaani ni pawns tu wanaotangulizwa mbele kama chambo. Ferminism ni mpango wa kumpa nguvu mwanamke zaidi ya mwanaume kwenye kila nyanja ili iwe rahisi kwa wakubwa kupitisha ajenda zao binafsi kwa sababu mwanamke ni rahisi kumtikisa tofauti na mwanaumeUkitazama kwa makini ni kama vile wanaume waliopo kwenye system wameamua kutukomoa Wanaume wenzetu......
Huyo utakuta kambambika mume wake watoto si chini ya watatu.Wewe utakuwa na makamasi kichwani badala ya ubongo
Kila siku nawaambia vijana haya mambo bahati mbaya sana kuna mpaka wanaume wenzangu wananishambuliagaKupona kwako kwenye hili ni kwenda na mwanamke kwa machale machale Sana......ingawa si vyema lakini nyakati hizi ushetani umekuwa mwingi kuliko ubinadamu....hivyo basi kuzama kwenye penzi na kuziacha fahamu zako mbali na wewe ni Sawa kujitengenezea jahanam yako na iko siku utajua kulia kilio kikuu na hakutakuwa na wa kukubembeleza......
Siku zote za maisha yako mwanaume mwenzangu BEBA FAHAMU ZAKO.....USILEWESHWE NA MANENO MATAMU KWENYE SAUTI NZURI KAMA KASUKU........NI MTEGO HUO.....
Ishi sana Mkuu!Mpango wa ferminism nyuma ya pazia unapewa backup na wanaume wenye nguvu, hawa ferminists huku mtaani ni pawns tu wanaotangulizwa mbele kama chambo. Ferminism ni mpango wa kumpa nguvu mwanamke zaidi ya mwanaume kwenye kila nyanja ili iwe rahisi kwa wakubwa kupitisha ajenda zao binafsi kwa sababu mwanamke ni rahisi kumtikisa tofauti na mwanaume
KitaalamuHuyo utakuta kambambika mume wake watoto si chini ya watatu.
Haujaelewa madaKikubwa nafikri tusifanye generalization kwamba wanaume wote wanabambikiwa, wengine wamekubali kuishi na huyo mtoto kwa mapenzi makubwa tu waliyonayo kwa mama. Hii inatokea kama umemkuta my wife mke wangu yuko na mtoto! Wala haina sababu ya kumbagua maana ulijua kabisa tangu mwanzo kwamba huyo siyo wa kwako. Mama mdogo alijichanganya kwangu eti nagharamika kusomesha mtoto ambaye siyo wa kwangu akasahau na yeye kama alienda kwenye ndoa akiwa na mtoto wa mwanaume mwingine, nikamlipua ikabidi awe mdogo kama Piriton. Sijui alidhani tulivyokuwa wadogo tulikuwa hatujui.
Kundi la damu halina maana, lakini wazazi wote wakiwa na blood group AB au mmoja ana AB, mwingine ana A au B, mtoto hawezi kuwa na blood group O, tofauti na hizo hali, blood group hazina maana ktk utambuzi wa mtoto.Hivi blood crossing haiwezi fanya kazi...kujaua hii damu yangu au laah.
Afu kwanini kipimo cha DNA kimekuwa kigumu hv kuliko cha HIV
Swali la msingi! Je hao watoto uliomkuta nao mke wako wanatumia majina yako au majina ya baba yao?! Lakini pia ikitokea ndoa imechacha na mkaamua kutengana, hiyo emotional attachment ya mwanaume kwa hao watoto ambao sio wake, inaondokaje!?Kikubwa nafikri tusifanye generalization kwamba wanaume wote wanabambikiwa, wengine wamekubali kuishi na huyo mtoto kwa mapenzi makubwa tu waliyonayo kwa mama. Hii inatokea kama umemkuta my wife mke wangu yuko na mtoto! Wala haina sababu ya kumbagua maana ulijua kabisa tangu mwanzo kwamba huyo siyo wa kwako. Mama mdogo alijichanganya kwangu eti nagharamika kusomesha mtoto ambaye siyo wa kwangu akasahau na yeye kama alienda kwenye ndoa akiwa na mtoto wa mwanaume mwingine, nikamlipua ikabidi awe mdogo kama Piriton. Sijui alidhani tulivyokuwa wadogo tulikuwa hatujui.
Haya mambo kupona ni ngumu Sana ndugu yangu maana hawa wenzetu kwenye hili wamedhamiria ubaya.....Kila siku nawaambia vijana haya mambo bahati mbaya sana kuna mpaka wanaume wenzangu wananishambuliaga
Andiko lako limeyazibua masikio yangu na akili YanguMpango wa ferminism nyuma ya pazia unapewa backup na wanaume wenye nguvu, hawa ferminists huku mtaani ni pawns tu wanaotangulizwa mbele kama chambo. Ferminism ni mpango wa kumpa nguvu mwanamke zaidi ya mwanaume kwenye kila nyanja ili iwe rahisi kwa wakubwa kupitisha ajenda zao binafsi kwa sababu mwanamke ni rahisi kumtikisa tofauti na mwanaume
One man downHabari wakuuu..,....
Hali ilipofikia sio kuzuri.......palipofikia tena sio kwa kuoneana aibu.......watu wanalia kwa kutoa milio wengine wanalia kwa vibration na wengine wagugumia ndani ndani......
Siku hizi kitanda kinazaa haramu kwa kuwa wanandoa wameamua kuwa wana haramu......
Kwa hali ilipofikia sio tena kufumbiana macho tuambiane ukweli wa mambo.........
Hii ni dhuruma kubwa inafanyika lakini watu wanaiona ni kawaida.......
Hili pendekezo Tu......
NB;
Mzee wa miaka 62 ajitoa uhai baada ya kugundua wanae watano aliowalea sio wa kwake......imetokea huko Kenya....