KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
- Thread starter
- #61
Kwa presha aliyonayo inawezekana ikawa hauko mbali na ukweliUsikute kuna mtu kampa mtoto na anahisi watunga sheria watapita nayo hi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa presha aliyonayo inawezekana ikawa hauko mbali na ukweliUsikute kuna mtu kampa mtoto na anahisi watunga sheria watapita nayo hi
Sawa, ikiwa ni hivyo, ushetani uko kwa jinsia zote.Shetani sio kiumbe shetani ni matendo....
Hakika hili nalo litazamwe wabongo wengi wanapenda vitu vyepesi vyepesi, DNA ipimwe baada tu ya Mtoto kuzaliwa.Basi kwa hii comment yako unajiona una akili wakati wewe ndio kubwa jinga kabisa... Sidhani kama hata unajua madhara ya pertenity fraud....
Kuna familia Moja huko kusini baba aliwachinja wanae watatu na mama yao mara tu baada ya kubaini hao watoto wote watatu hakuna wa kwake hata mmoja, Sasa wewe unafikiri huyu mwanaume light kama angebaini tangu awali kwamba hao watoto sio wake ungefanya huo unyama???
Tatizo wabongo huwa mnatoa kauli nyepesi kwenye mambo sensitive nafikiri ni kutokana na ufahamu pamoja na akili ndogo ambazo watanzania wengi mko nazo.
Mmmmmm uongoShida sio kumuamini embu tumia huo ubongo wako bro.
Mwanamke kadri unavyomuamini ndivyo unampa nafasi ya kukufanyia ujambazi ambao hutokaa uusahau ukiugundua.
We jinsia gani ndugu!?Mmmmmm uongo
Nakubaliana na wewe katika hili lakini kwa hili lililopo mezani wahanga wanabakia kuwa wanaumeSawa, ikiwa ni hivyo, ushetani uko kwa jinsia zote.
Kama ambavyo sio wanawake wote wanabambikizia watu mimba/watoto hali kadhalika kuna wanaume matendo yao utafikiri ndio wakufunzi wa chuo cha uovu. Ni kwa sababu hiyo hua sipendi kujumuisha watu kwenye jambo moja.
😂😂😂 garbage..Ujinga wewe garbage in garbage out unapooa kuwa makini sio unaoa kienyeji au kuzaa hovyo na mi garbage in yako kisha unakuja Sumbua mtoto kupima DNA
Ujinga tu huo
Kamwambie mama yako na baba yako na wewe mwende mkapime DNA kuthibitisha kama wewe ni mtoto wao au la na kamaHakika hili nalo litazamwe wabongo wengi wanapenda vitu vyepesi vyepesi, DNA ipimwe baada tu ya Mtoto kuzaliwa.
Kumbe hata wewe unamshangaa!?😂😂😂 garbage..
Huyu mtu anatumia kiungo gani kufikiria.
Mbona maoni yake hayaingii akilini. 😂😂
Itafaa mtoto akizaliwa paternity test ifanyike pamoja na maternity test.Sawa, ikiwa ni hivyo, ushetani uko kwa jinsia zote.
Kama ambavyo sio wanawake wote wanabambikizia watu mimba/watoto hali kadhalika kuna wanaume matendo yao utafikiri ndio wakufunzi wa chuo cha uovu. Ni kwa sababu hiyo hua sipendi kujumuisha watu kwenye jambo moja.
Mbona unavuruga mada!?Kamwambie mama yako na baba yako na wewe mwende mkapime DNA kuthibitisha kama wewe ni mtoto wao au la na kama
hawakukuokota jalalani ulipotupwa na mama yako malaya original ambaye hakutaka mtoto wao wakakulea kama mtoto wao wakati sio hiyo siri walikuficha
Ili ukajue siri iliyojificha kwenye Pandora box kujua wewe sio mtoto wao sio wa baba yako wala mama yako ni mtoto wa majalalani
Waburuze wazazi wako mahakamani mkapime DNA uthibitishe kama hao ni wazazi wako sio kesi
Huyu mtu sijui anawaza kwa kutumia kiungo gani asee😂Kumbe hata wewe unamshangaa!?
😂😂😂😂😂😂😂
Ni kweli, lakini ni kama unajikita zaidi kwenye matokeo kuliko kuangalia chanzo cha tatizo kiongozi, niliuliza awali kwenye post yangu ya mwanzo kabisa, kama mwanamke anabambikia mwanaume mwingine mimba inamaana kuna mwanaume mwingine amempatia mimba kimagendo, sahihi? Sasa wakati tunataka kumlaumu na kumuona huyo mwanamke ana ushetani, huyu mwanaume inakuaje abaki salama bila kamisheni yake ya ushetani?Nakubaliana na wewe katika hili lakini kwa hili lililopo mezani wahanga wanabakia kuwa wanaume
Waafrika kwa hilo libaki hivyo hivyo tusiige wazungu kuna hekima kubwa sana kwenye hilo ambayo ni only African Tradition leaders Philisophers waweza fafanua sio wazungu na DNA test hopeless philosophy zao za kujua mtoto wa naniNadhani huu msemo wa 'Kitanda hakizai haramu' ni wa wahenga wa zama hizo, zama ambazo hata haya mambo ya DNA hayakuwepo.
Huu msemo tunaufafanua bila muktadha wa wakati ulipotokea.
Mke wa mtu anayetongozwa na kukubali kulala na mwanaume mwingine asiye mumewe huyo ni shetani........vivo hivyo kwa mume wa mtuNi kweli, lakini ni kama unajikita zaidi kwenye matokeo kuliko kuangalia chanzo cha tatizo kiongozi, niliuliza awali kwenye post yangu ya mwanzo kabisa, kama mwanamke anabambikia mwanaume mwingine mimba inamaana kuna mwanaume mwingine amempatia mimba kimagendo, sahihi? Sasa wakati tunataka kumlaumu na kumuona huyo mwanamke ana ushetani, huyu mwanaume inakuaje abaki salama bila kamisheni yake ya ushetani?
Wanaume wote wangejitambua unafikiri hao wanawake wangepata hizo mimba za kuwabambikia watu?
Ivi we una Wajina wanawake au unawaskia, mwanamke anaamua ni nani atazaa nae, anajua mwanaume aliyempatia mimba anajua kila kitu.Ni kweli, lakini ni kama unajikita zaidi kwenye matokeo kuliko kuangalia chanzo cha tatizo kiongozi, niliuliza awali kwenye post yangu ya mwanzo kabisa, kama mwanamke anabambikia mwanaume mwingine mimba inamaana kuna mwanaume mwingine amempatia mimba kimagendo, sahihi? Sasa wakati tunataka kumlaumu na kumuona huyo mwanamke ana ushetani, huyu mwanaume inakuaje abaki salama bila kamisheni yake ya ushetani?
Wanaume wote wangejitambua unafikiri hao wanawake wangepata hizo mimba za kuwabambikia watu?
HAyo ni mambo ya zamani, we unaona kwa maisha ya sasa na mambo yanayoendelea huku mjini ni sawa af unasema tunaakili we Acha kutudharaulisha hivyo hayo maswala ya kitanda hakizai haramu ilikuwa ni mambo ya zamani kuleta hali ya kuridhika kulea mtoto anayezaliwa katika nyumba husika bila migogoro.Waafrika kwa hilo libaki hivyo hivyo tusiige wazungu kuna hekima kubwa sana kwenye hilo ambayo ni only African Tradition leaders Philisopher waweza fafanua sio wazungu na DNA test hopeless philosophy zao za kujua mtoto wa nani
Eneo hilo waafrika tuko mbali kuliko wazungu tuna akili kuwashinda nobody has copyright of knowledge
Bila kusahau mwanaume anaetafuna mke wa mtu. Hapo tumemaliza kikao cha bunge salama salmini kiongozi.Mke wa mtu anayetongozwa na kukubali kulala na mwanaume mwingine asiye mumewe huyo ni shetani........vivo hivyo kwa mume wa mtu