Pendekezo jIpya kuelekea amani Gaza, mezani

Pendekezo jIpya kuelekea amani Gaza, mezani

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
1. Alikiri beberu mwenye vita vyake, uwepo wa mazungumzo makini kuelekea vita kusita na wafungwa kubadilishwa:

IMG_20231225_160710.jpg

2. HaIna shaka kuwa #1 ni pamoja na mbinyo kutokea nyumbani:

IMG_20231225_160518.jpg

3. Ni wajinga peke yao wenye kuiona faida ya vita ambayo matokeo yake ni vifo zaidi:

IMG_20231225_171937.jpg

4. HAMAS na mwenzake Islamic Jihad, umekuwa msimamo wao: "hakuna vita kusimama, hakuna mazungumzo."

5. Hapo #4 wakaongezea, mazungumzo ni: "mateka wote kwa wafungwa wote ikiwamo kumalizika kwa vita."

6. Inafahamika Israel haiko tayari kuacha vita kabla kumwua au kumkamata commando Yahya Sinwar:

IMG_20231225_163338.jpg

7. Askofu Ruwa'ichi anasema tuwaombee waja wake mola hawa:

Askofu Ruwa’ichi ataka maombi kwa Israel, Palestina
 
Wanaume kama Hamas na jihadul Islam tumebakia wachache sana
Yaani mpaka mtekeleze matakwa yetu tena kinguvu maana maneno matupu hamuelewi
Sin war kumkamata akiwa hai sidhanii kama inaweza tokea
Ila huenda najiuliza maswali mengi sana kama wanavyojiuliza maafisa kipenyo wa mchongo wa mossad
Mateka wa mazayuni wamefichwa wapi tuseme wapo pale pale ghaza au wapo pale tehran wanakunywa gahwa
Au wametulia pale Lebanon wanakula upepo
Israhell hii mbungi haitakaa isahau mpaka itapokuja kufutwa hapo mashariki ya kati
 
Kwa hakika:

IMG_20231225_162942.jpg
 
Sasa kama wamekutwa watu watano wamekufa baada ya Israel kuanza kajaza maji mahandaki means bado kuna movements nyingi zinaendelea tena sasahivi wakiwa more careful.

Issue nyingine ni lengo la Israel vita haiishi mpaka akamatwe kamanda mkuu wa Hamas lakini pia akifikiria mateka bado inakua ngumu kwake kutaka kuendelea. Bado kazi ni kubwa mbichi. Tunawaombea amani japo imeshapotea
 
Mpaka sasa hakuna watu siwaamini kwenye hili sakata kama Wamisri, Wasaudi, Wajordan, Waturuki na vile vi nchi vidogo vya Kiarabu kama Bahrain, UAE, Oman na Qatar.

Raia wao wapo safi sana lakini serikali zao za kidikteta, wote ni vibaraka wa Mmarekani, wao na serikali ya mazayuni hawana tofauti.
 
Taliban alifunguwa njia alipomtowa mbio Mmarekani Afghanistan. Sasa hivi yeye na vibaraka wake hawana ujanja kwenye medani, ujanja wao kwenye media za kusambaza propaganda za uongo tu.

1. Vita vya ukombozi si vya kutegemea wajomba. Twaliban alijisimamia mwenyewe kwa damu yake.

2. Hapa Hamas asipolegeza kamba Palestina huru inanukia.
 
1. Vita vya ukombozi si vya kutegemea wajomba. Twaliban alijisimamia mwenyewe kwa damu yake.

2. Hapa Hamas asipolegeza Jamba Palestina huru inanukia.
Naunga mkono hoja
Inatakiwa upambane tu mwenyewe msaada ukija unachukua ila ukiutegemea inakula kwako
Watu wenyewe wakuwategemea ndio hawa kina Qatar sijui turkey sijui Bahrain aan inakula kwako
Taleban walipambana kivyao nawakafanikiwa
Naamini hamas nao hawatatuangusha kwenye hili
Maana mpaka sasa licha ya kwamba wamepata madhara makubwa sana ila wameonesha mwelekeo mwema sana
Hamas kundi teule
 
Wanaume kama Hamas na jihadul Islam tumebakia wachache sana
Yaani mpaka mtekeleze matakwa yetu tena kinguvu maana maneno matupu hamuelewi
Sin war kumkamata akiwa hai sidhanii kama inaweza tokea
Ila huenda najiuliza maswali mengi sana kama wanavyojiuliza maafisa kipenyo wa mchongo wa mossad
Mateka wa mazayuni wamefichwa wapi tuseme wapo pale pale ghaza au wapo pale tehran wanakunywa gahwa
Au wametulia pale Lebanon wanakula upepo
Israhell hii mbungi haitakaa isahau mpaka itapokuja kufutwa hapo mashariki ya kati
Wanaume wanajichimbia mashimoni🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hata hio vita na waarabu yenyewe nna imani kuna namna walitudanganya
Walichofanya na kufanywa pale ghaza imeonesha idf mgambo wa hovyo kuwahi kutokea bora hata M23
Siku waarabu wakijipanga na kutokuwa vibaraka na kuwekeza kwenye jeshi Israeli ijipange ..kinachowangarimu waarabu ni ukibaraka wao na kumwamin USA eti atawafanyia kila kitu kwenye ulinzi
 
Back
Top Bottom