Akifikiria na resilimali alizotumia na uchumia kuanzia kudorora ndo mambo yanakuwq magum walijua watatumia kam 2 weekSasa kama wamekutwa watu watano wamekufa baada ya Israel kuanza kajaza maji mahandaki means bado kuna movements nyingi zinaendelea tena sasahivi wakiwa more careful.
Issue nyingine ni lengo la Israel vita haiishi mpaka akamatwe kamanda mkuu wa Hamas lakini pia akifikiria mateka bado inakua ngumu kwake kutaka kuendelea. Bado kazi ni kubwa mbichi. Tunawaombea amani japo imeshapotea