mtongwe
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,652
- 4,468
Sio kwenye hii vita pekee hata ila ya ukrain amedhalilika vya kutoshaUSA kwenye hii vita amedhalilika saan kwakweli
Na jalamba wanalopiga wale Houth pale bahari nyekundu ndo balaa mpaka washirika wa usa wanakataana