Pendekezo jIpya kuelekea amani Gaza, mezani

Akifikiria na resilimali alizotumia na uchumia kuanzia kudorora ndo mambo yanakuwq magum walijua watatumia kam 2 week
 
Hawa ndo wanaifanya Israeli iendele kuwa mwamba hapo middle East, na sio kwamba Israel anakitu cha maana sana
 
USA kwenye hii vita amedhalilika saan kwakweli
 
Huwaelewi ni kwa sababu hizo ndio nchi za kiarabu atleast zina tumia akili sio mikurupuko kama Hamas. Ulitegemea hizo nchi zianze kuhemkwa kama makolo Hamas
 
Siku waarabu wakijipanga na kutokuwa vibaraka na kuwekeza kwenye jeshi Israeli ijipange ..kinachowangarimu waarabu ni ukibaraka wao na kumwamin USA eti atawafanyia kila kitu kwenye ulinzi
Waarabu wakiacha unafiq siku moja tu israhell inaondoka hapo
 
Hapo #4 wakaongezea, mazungumzo ni: "mateka wote kwa wafungwa wote ikiwamo kumalizika kwa vita."
Mkuu brazaj,

Athari ya kuruhusu mateka wote na wafungwa kwa pamoja inaweza kuwa nini? Naona kama US anajaribu kutengeneza muda zaidi, ila nafikiria athari ya kuacha mateka wote kwa pamoja wanaweza hata kuwachoma sindano au kitu chochote.

Hili la kupeana muda ni zuri linaridhisha ila bado US anahitaji kununua muda.

Nini maoni yako kuhusu hili mkuu?
 

1. Mkuu mambo mengine ni ya kumwachia Mungu. Beberu anaweza wachoma hata sindano yenye madhara baada ya miaka mbili.

2. All for all ilikuwa muafaka zaidi. Tatizo ni je itakuwa achieved? Kumbuka kuna karibu wafungwa wa kipalestina 10,000 huko.

3. Pia Israel anaendeleza mapigano akiamini anaweza bahatika kuwaokoa mateka hata kindondokela.
 
HAMAS pamoja n ISLAMIC JIHAD wamekataa maoendekezo ya Misri. Kwahio Mbungi inaendelea nahawa CONGO DRC yenye nuclear.
Hamas inaonekana wanajambo lao waliliplan mda sana
Hem acha tuone israhell bila nyuklia ni Kinshasa kabisaaaaa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Jf imekua ya hovyo sana picha 99%kwangu hua hazifunguki
Sasa sijajua kama kwangu tu ama kwa. wote
Mkuu, hata kwangu picha hazifunguki kabisa. Kusema ukweli, Mode anapaswa kutuangalia kwa jicho la huruma katika suala hili, maana tumeshatoa malalamiko mengi mpaka sasa.
 
Mkuu, hata kwangu picha hazifunguki kabisa. Kusema ukweli, Mode anapaswa kutuangalia kwa jicho la huruma katika suala hili, maana tumeshatoa malalamiko mengi mpaka sasa.
Ukitumia chrome google nk inafunguka ila kwenye app inagoma
Jf imekua ya hovyo sana sasa sisi tuna download ma app ya nini kama hayafanyi kazi
Si watuache tu tutumie chrome moja kwa moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…