4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Wakuu wana jf amani ya Bwana ikawe juu yenu ,kila mmoja kwa imani yake.
Husika na mada tajwa hapo juu.
Kwa maslai mapana ya chama na kwa kuzingatia kwamba chama bado kinawaitaji mh Lissu pamoja na mhMbowe katika kuendeleza mapambano ya kuiodoa ccm madarakani, lakini pia mapambano aya bado yanamuitaji mwanachama mmoja mmoja kufanikisha hili.
Kuna uchaguzi wa Mwenyekiti taifa ndani ya chadema ambao unatarajiwa kufanyika sio mda mrefu na tiyari wanachama wameanza kutia nia kwa mjibu wa katiba ya chama, ila bado mwenyekiti wa sasa (mh Mbowe)hajatia nia ila dalili zote zinaonesha atatia nia kutetea nafasi yake.
Ikumbukwe kati ya waliotia nia ni M/mwenyekiti Mh lissu.
Sasa kutokana na kukubalika kwa hawa viongozi ndani ya chama na nje ya chama tiyari yameanza kuibuka makundi ,namanisha ya upande wa mh lissu na ya upande ya mh Mbowe jambo ambalo kwangu sioni kama ni afya kwa chama ambacho kinajiandaa kwa mapambano makali kuelekea uchaguzi mkuu 2025.
SULUHU
Kwa mara MOJA napendekeza Mh JOHN HECHE kulazimishwa ikiwa ni pamoja na wanachama kumchangia kuchukua form ya kugombea Uenyekiti taifa ( Chadema) na wanachama tumuunge mkono kwa kumpigia kura ya Ndio hasa nyie viongozi mnaopiga kura .
AIDHA : Napendekeza mh Lissu , Mh Mbowe wote kupigwa chini kwa kura ya hapana ya wajumbe wa mkutano mkuu siku ya uchaguzi , hatutaki makundi katika chama katika kipindi ichi.
Mwisho
Mh John Heche naomba chukua ujumbe huu utafakari na ufanyie kazi , wanachadema naomba muunge mkono hoja hii .
Mungu ibariki Chadema