Uchaguzi 2020 Pendekezo: John Mrema agombee ubunge jimbo la Vunjo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Iko haja sasa ya Mkuu wa Itifaki wa Chadema kuchukua uwakilishi wa Wananchi wa Vunjo wanaomuamini na ambao walimtaka tangu 2015 .

John Mrema ndio chaguo la Vunjo tangu awali lakini alikaa kando kutokana na kuheshimu makubaliano ya UKAWA , kwa faida ya wadau ni kwamba kama huyu jamaa akiamua kukubaliana na pendekezo langu la kuingia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge wa Vunjo , basi bila shaka atashinda kwa kishindo na hakuna wa kumzuia

Wakati umefika sasa kwa wananchi wa Vunjo kupata Mbunge wa kisasa mwenye fikra chanya zinazoenda na wakati
 
Niwazi chadema imeishiwa watu! Mtapigwa sana mwaka huu wa uchaguzi katika kula.

John mlema hata mimi nasimama nae.
 
Iko haja sasa ya Mkuu wa Itifaki wa Chadema kuchukua uwakilishi wa Wananchi wa Vunjo wanaomuamini na ambao walimtaka tangu 2015 .

John Mrema ndio chaguo la Vunjo tangu awali lakini alikaa kando kutokana na kuheshimu makubaliano ya UKAWA , kwa faida ya wadau ni kwamba kama huyu jamaa akiamua kukubaliana na pendekezo langu la kuingia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge wa Vunjo , basi bila shaka atashinda kwa kishindo na hakuna wa kumzuia

Wakati umefika sasa kwa wananchi wa Vunjo kupata Mbunge wa kisasa mwenye fikra chanya zinazoenda na wakati
Hai wanamtaka Ole Sabaya. Arusha Jiji wao ni Mrisho Gambo tu!
 
Iko haja sasa ya Mkuu wa Itifaki wa Chadema kuchukua uwakilishi wa Wananchi wa Vunjo wanaomuamini na ambao walimtaka tangu 2015 .

John Mrema ndio chaguo la Vunjo tangu awali lakini alikaa kando kutokana na kuheshimu makubaliano ya UKAWA , kwa faida ya wadau ni kwamba kama huyu jamaa akiamua kukubaliana na pendekezo langu la kuingia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge wa Vunjo , basi bila shaka atashinda kwa kishindo na hakuna wa kumzuia

Wakati umefika sasa kwa wananchi wa Vunjo kupata Mbunge wa kisasa mwenye fikra chanya zinazoenda na wakati
Hata akigombea hatashinda!
Safari hii chadema hamtapata kitu.
muda utasema
 
Back
Top Bottom