Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,012
- 2,637
5/34 failedWacha jeshi lifanye kazi yake
Kwani unapungukiwa nini upelelezi kuwa polisi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
5/34 failedWacha jeshi lifanye kazi yake
Kwani unapungukiwa nini upelelezi kuwa polisi?
Wazo zuriSio wazo baya, japo umelileta kishabiki.
Aidha napendekeza kihamishiwe kwenye ofisi ya DPP ili kesi inapokwenda mahakamani hakuna stori za upelelezi haujakamilika.
Wacha jeshi lifanye kazi yake
Kwani unapungukiwa nini upelelezi kuwa polisi?
Polisi wanachelewesha sana kesi.wanapindisha upelelezi na kero kibao. Rushwa na upendeleo. Tuwe na chombo huru ambacho hakina uhusiano na polisiWacha jeshi lifanye kazi yake
Kwani unapungukiwa nini upelelezi kuwa polisi?
Mimi na mahakama ni pete na kidole mkuu! Nafanyakazi huko huko mkuu
Hii ajenda ingewekwa kwenye mdaharo wa kitaifa. Badara ya kubaki hum jf. Harafu somo hili lifundishwe vyuoni watu waaprai kusomea uchunguzi yaani... local investigation, cantry investigation, international investigation and other!Hilo niwa zuri! Kazi ya police ibaki kuzuia kupambana na kukamata waharifu.
Hii itapunguza hata lawama kwa jeshi letu la police. Harafu kila kosa liwe na limitation time ywa kupereteza. baada ya hapo km upererezi bado mtuhumiwa apewe dhamana arudi kujenga taifa wakati uchunguzi ukienderea.
Watenda kazi walewale labda kama unataka kubadiri jina na jengo. Labda Hoja ya msingi ungesema labda sheria flani na flani ibadrishwe ili kuboresha utendaji wake. Sasa sijui ndugu yangu nini kilifanyika hiyo nchi kiasi kwamba ikatuzidi akili.Moja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya Jeshi la Polisi.
Na mara nyingine unakuta kuna tukio ambalo Polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi. Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi inayojitegemea kama zilivyo taasisi kama hizi nchi nyingine.
Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri. Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho Polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB (Rwanda Investigation Bureau).
Nadhani Magufuli na Baraza lake wanaweza, jambo hili litakuwa muarobaini wa kesi nyingi ambazo zinawatesa wananchi kwa kusubiria upelelezi.
Tanzania Bureau of Investigation.
Moja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya Jeshi la Polisi.
Na mara nyingine unakuta kuna tukio ambalo Polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi. Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi inayojitegemea kama zilivyo taasisi kama hizi nchi nyingine.
Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri. Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho Polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB (Rwanda Investigation Bureau).
Nadhani Magufuli na Baraza lake wanaweza, jambo hili litakuwa muarobaini wa kesi nyingi ambazo zinawatesa wananchi kwa kusubiria upelelezi.
Tanzania Bureau of Investigation.
rwanda ni nchi maskini sana kwa bottom ikitoka burundi inafuata rwanda hapa east africa, pato la mtu mmoja mmoja kwa mwaka bado ni dogo sana ukilinganisha na wa TZ, watumie akili zao kwanza kuondoa umaskiniYaani bora hata ungeitaja nchi nyingine hapo tofauti na Rwanda Mkuu kwani hakuna nchi ambayo inachukiwa na Watanzania kama ya Rwanda japo ni ukweli usiopingika kuwa Tanzania ina mengi ya Kujifunza kwa Rwanda hata kuliko Rwanda ambavyo inaweza Kujifunza kwa Tanzania. Na Kitu kikubwa ambacho Watanzania wanaweza Kujifunza kutoka kwa Taifa la Rwanda na hasa Wanyarwanda ni namna gani ya Kutumia ' Akili ' vizuri katika Kujieletea Maendeleo. Binadamu wote tuna Akili ila Akili za Wanyarwanda zinatumika mahala sahihi na kwa wakati sahihi na pia kwa malengo yaliyo sahihi kabisa. Chuki ya Watanzania kwa Wanyarwanda na Taifa lao la Rwanda wangeigeuza iwe ni Upendo na Imani Kwao basi leo wangekuwa mbali mno na Wanyarwanda siyo Wachoyo wa Kukupa ' Maarifa ' kama wakijua au ukijijua Wewe ni ' Popoma Mwandamizi ' kabisa. Ukiichukia Rwanda na Wanyarwanda ni lazima tu utakuwa na matatizo makubwa ya ' Akili ' na pengine unahitaji Tiba ya haraka Mirembe.
Long live Rwanda!
Hapo umenena kwani kama kipo polis na sometimes polisi wanahusika na matukio afu hao hai wanapewa kazi ya kujipeleleza hahaha uhalifu utaendelea kama kikiendelea kuwekwa kwenye jeshi la polisi Bora kitolewe na iwe taasisi ya kujitegemeaMoja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya Jeshi la Polisi.
Na mara nyingine unakuta kuna tukio ambalo Polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi. Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi inayojitegemea kama zilivyo taasisi kama hizi nchi nyingine.
Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri. Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho Polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB (Rwanda Investigation Bureau).
Nadhani Magufuli na Baraza lake wanaweza, jambo hili litakuwa muarobaini wa kesi nyingi ambazo zinawatesa wananchi kwa kusubiria upelelezi.
Tanzania Bureau of Investigation.
Soma pia: Jaji Mkuu achukizwa na wapelelezi wanaokamata mtuhumiwa kabla ya kukamilisha upelelezi
Kwa maoni yangu, suala sio kukiondoa kitengo kutoka Jeshi la Polisi, bali kutenganisha nini kiwe chini ya Jeshi la Polisi na nini kisiwe chini ya Jeshi la Polisi!Hii kitu ni very Logical mkuu, big up sana.
Wakuu Malcom Lumumba Chige Mzee Mwanakijiji JokaKuu My Son drink water hebu pitieni uzi huu
Watenda kazi walewale labda kama unataka kubadiri jina na jengo. Labda Hoja ya msingi ungesema labda sheria flani na flani ibadrishwe ili kuboresha utendaji wake. Sasa sijui ndugu yangu nini kilifanyika hiyo nchi kiasi kwamba ikatuzidi akili.