Pendekezo kumaliza mzozo wa Israel na Palestina: UN itafute kipande cha ardhi hapa duniani, iwahamishie Wapalestina

Pendekezo kumaliza mzozo wa Israel na Palestina: UN itafute kipande cha ardhi hapa duniani, iwahamishie Wapalestina

ni ngumu sana,
labda wagawanywe matita matita huko huko kwenye nchi za mashariki ya kati
Nalo hili linawezekana. Ni waislamu wenzao, kuwapokea wenzao waislamu very much possible kuliko haya mateso wanayoyapata. Kwani wako wangapi? Nchi za kiarabu ziko ngapi? Unawagawanya katika waislamu wenzao.... and the deal is done!
 
Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
***** ile ni Ardhi Yao na Kuna urithi wao. Hao Washenzi waliotokea Ulaya Wayahudi ndio wahame au warudi walikotoka.
 
***** ile ni Ardhi Yao na Kuna urithi wao.Hao Washenzi waliotokea Ulaya Wayahudi ndio wahame au warudi walikotoka.
Sasa mkuu bora wakubali tu yaishe. Hata kama wakosaji ni Israel lakini wenzao wana kila kitu cha kuwatwanga. Heri nusu shari kuliko shari kamili. Ni uungwana pia kumuepuka adui. Si dhambi kumkimbia mdhalimu. Wapalestina hawana ubavu kushindana nao hao Israel na wafadhili wake. Wakubali tu yaishe hakuna namna. La sivyo wataendelea kuteswa miaka kadiri. Wangelikua na teknolojia kama wenzao wangepambana.
 
Kwenye maisha Kuna mambo 2, kuzaliwa na kufa.

Kwa muktadha huo Kauli ambayo ita prevail ni dealth or our land hakuna kwenda mahali.
 
Back
Top Bottom