Pendekezo kumaliza mzozo wa Israel na Palestina: UN itafute kipande cha ardhi hapa duniani, iwahamishie Wapalestina

Pendekezo kumaliza mzozo wa Israel na Palestina: UN itafute kipande cha ardhi hapa duniani, iwahamishie Wapalestina

Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Tuwape bonde la usangu
 
***** ile ni Ardhi Yao na Kuna urithi wao. Hao Washenzi waliotokea Ulaya Wayahudi ndio wahame au warudi walikotoka.
Watu wanaropoka pasi na kufanya utafiti na kusoma kujua hili jambo limeanzaje mpk kufika hapa lilipofika na maazimio yalikuwa ni nn...umeenda kwny ardhi ya mtu akakupokea ukaanza kujimilikisha...mkaanza kugombana...wakaja watu wazima wakawaambia Ili ugomvi uishe basi mgawane maeneo amani itawale...mkakubali wte...ila maazimio Yale kumbe uliyakubali kwa mdomo tu ila moyoni hukukubali...ukawa unaendeleza fitna kwa Kila namna Ili tu jirani yako anyooshe mikono juu aondoke akuachie na maeneo yaliyobaki ila mwenzako kwakuwa ameshakusoma ww unataka shari akaamua kukomaa na kuvumilia madhila yako yte....halafu leo hii atokee mtu atoe pendekezo kwakuwa bdo kuna mvutano Bora yule jirani yako ahamishwe kabisa atupwe kwngine ww uchukue maeneo yte yaliyobaki....hii inaingia akilini kwli??....
 
Solution ni Wayahudi wapewe Uganda kama ulivyokuwa mpango wa Zamani. Au Si vibaya Waisrael wakapewa wilaya ya Ngorongoro ili waache fujo zao za kuuaua watu huko Palestine.

Duuuh Bora hata huo mpango wa kuhamia Uganda kiongozi wao aliukataa. Africa mashariki ingekuwa Kama Palestine sasa hv na jinsi walivyo washenz wangemeza hadi kenya,Tanzania ndio balaa kabisa Kagera na Mwanza wangeshapita nayo.
MUNGU alitunusuru na hicho kikombe
 
Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Vipi kuhusu maeneo/miji Yao takatifu na ya kihistoria...!!?
 
Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Na msikitini wa Aqswa wakalie mayahudi?
 
WAKAAZI WA MASHARIKI YA KATIBKUHAMIA MAREKANI YA KUSINI 1880

Video hii hapa chini kuhusu Waarabu wa jamii ya Amerika ya Kusini ambayo wengi hawajui historia ya wimbi kubwa la kuhama toka Mashariki ya Kati hadi bara la Marekani ya Kusini, Swali walifikaje na kwanini watu wengi hawafahamu ? Leo tutajadili ugeni mkubwa wa Walevanti wa Waarabu wa Lebanon, Syria na Palestina katika nchi za kisasa za Amerika ya Kusini, na jinsi Mashariki ya Kati ina uhusiano wa kihistoria na nchi hizi nyingi, kutoka Chile na Brazil....
Bwana wee Waarabu wakifika sehemu wanakaa, sijui wanapoteza historia au makusudi wanasema hapo ni kwao kabisa, walikuwepo.
Hata Zanzibar tayari walishataka kukomaa na wengine wanaishi nayo moyoni kuwa hili ni eneo la Sultani flani, alionewa na watu weusi kwa mapinduzi yasiyo na haki.
 
Back
Top Bottom