Pendekezo kumaliza mzozo wa Israel na Palestina: UN itafute kipande cha ardhi hapa duniani, iwahamishie Wapalestina

Pendekezo kumaliza mzozo wa Israel na Palestina: UN itafute kipande cha ardhi hapa duniani, iwahamishie Wapalestina

Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Usinikumbushe Wamasai wa Ngorongoro!!
 
Acha upuuzi kwanini wasiwe waisrael?unajua maana na umuhmu wa historia?
 
hakuna kisichowezekana. Ndugu waislamu wenzangu inatumika sana na ndugu zetu hawa, hivyo ndio undugu wenyewe.....
Kwanza mm sio Muslimu mwenzako alafu we ushaona wapi Dunia wamefanya hivyo. Rejea waislam wa rohinja(inatwamkwa ivyo lakini haindikwi ivyo) walisha pewa sehemu gani Duniani waifanye iwe nchi yao
 
Kwa nini uwahamishe wenye ardhi yao na uwaache wavamizi? Wahamishwe Waisrael. Mwenye makosa mpaka vita hii inatokea ni Muingereza, aliwapa Wayahudi ardhi ya Waarabu badala ya kuwatafutia mahali pengine pa kuwaweka hao wakimbizi.
Pitia link hii uone chanzo cha huo mgogoro.

Wote wavamizi,wapigane tu atakayeibuka mshindi abaki na hiyo ardhi
 
Kwanza mm sio Muslimu mwenzako alafu we ushaona wapi Dunia wamefanya hivyo. Rejea waislam wa rohinja(inatwamkwa ivyo lakini haindikwi ivyo) walisha pewa sehemu gani Duniani waifanye iwe nchi yao
Kila kitu kina mwanzo
 
Mi nashauri Israel wahamie Tanzania....kama tumeweza kuwapa dp world bandari ni heri tuwape Israel Tanzania...kwanza maendeleo yataenda fsater sana maana tuna kila kitu na si wanasifiwa kuwa na akili mingi
 
Hii issue inakoelekea sio kuzuri ukiangalia unabii ndio hawa watasababisha yaliyoandikwa yatimie yaani machafuko dunini kote na hatma ya maisha ya mwanadamu nyie subirini kama sio leo ipo siku inakuja.

Labda dunia ya middle east,hizo dini zina nguvu maeneo hayo,sehemu nyingi duniani hawako influenced na huo upuuzi wa dini hizi.
 
Wawarudishe Hao Wazungu Kwao UKRAINE/POLAND... Ndio mzozo utaisha. Yaani uje nyumbani kwangu unitoe nipeleke kwingine then nyumba yangu umpe mvamizi kisa story yake ya kuiba.

Kasome historia vzr,anzia biblia kitabu cha mwanzo utajifunza kitu na kuacha ushabiki maandazi,wote wavamizi
 
Hao labda wapewe eneo lenye msitu afu linapakana na mito mikubwa kila upande iliw kuzuia ugomvi na majirani zao.

Hawa watu hawafai kbsa acha wamalizane tu wenyewe huko
 
Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Wewe akija mtu akutoe kwako tena kwa dharau utakubali?
 
Nchi nyingi duniani Zina misingi Kama ya wayahudi walioikalia palestina
Hata waarabu ambao wapo kaskazini mwa bara la Africa siyo makazi yao ya asili.
Hata wamarekani pia
Hata watu waliopo bara la Australia siyo natives.
Hata watanzania pia
Hata wahindi
Hata maasai si natives wa ea
Kwa hyo wengi wa binadamu walipata uhalali kwa njia za kuua wengine,huu Ni ukwli mchungu ambayo tunahitaji kuupokea babu zetu walifanya kitu Kama ambayo myahudi alikifanya
 
Mapendekezo yenu wa palestina wapewe au wanunue ardhi nchi nyingine ni kuwa hayawezekani maana hiyo nchi mpks israel ni yao maana ndo watu wa asili hapo , hai wa israel walikuja juu. Baada ya kutoka misri....
 
Alafu we jamaa unatumia Akili Yako vizuri.
Mfano Leo wachagga waondolewe Moshi sababu eti wakenya wanasema mlima Kilimanjaro ni wao na pia wananguvu kiuchumi na mengine,
So tuwatafutie wachagga sehemu nyingine.
Acha huo upuuz kabsaa
 
Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Waje huku kibanda maiti- Zanzibar Kuna maeneo mengi tu na wafuasi wa munyaazi kama wote.
 
Back
Top Bottom