Pendekezo kumaliza mzozo wa Israel na Palestina: UN itafute kipande cha ardhi hapa duniani, iwahamishie Wapalestina

Pendekezo kumaliza mzozo wa Israel na Palestina: UN itafute kipande cha ardhi hapa duniani, iwahamishie Wapalestina

Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Hujui asili ya mgogoro huo...
Kuna mambo ya asili , urithi na imani
 
Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Labda Russia
 
Kimsingi Jews ndio walipaswa kuhama.
Lakini on the ground Jews ni mchokozi na mbabe hapa. Sasa wapalestine wakiendelea kukaza fuvu wasipokubali yaishe wakahama wao wataendelea kufa kila uchwao na Jews kupora ardhi zaidi.
Wapalestine watabaki pale pale, na ipo siku ambayo Israel watalipa kwa udhalimu wanaoufanya. Kama kuhama wao ndo wahame mana wao ndo wavamizi wa ardhi ile.
 
Think deep, establishment ya wachaga kilimanjaro huwezi kuilinganisha na wapalestina abao kuna mmoja nasema siyo kwao. Kwani wachaga wana mzozo say na wapare? hapa kuna mzozo na mmoja ameshika mpini na anasema ni nchi yao ya hadi! palestina hana establishment firm kama ya wachaga uliowatolea mfano.....
Nani sio kwao na nani kwao?
Kwa unavyojua wewe.
 
Hawa wameshaji establish as a reputable nation with all superstructure and infrastructure of the highest degree ambavyo hawatakuwa tayari kuviacha..... Wapalestin bado ni kama ndiyo wanaanza /wanajaribu kujenga taifa linabomolewa, they have nothing substantial to lose! Hivyo wakienda kwenye eneo wazi wakaanzisha nchi (with overwhelming world support), they will do away na mateso haya wanayoyapata.
Palestina ndy mwenye ardhi tangu enzi ya Musa alivyoamua kuwaindoa waisrael na kuwapeleka nchi ya ahadi ambako hakuwafikisha kwenye hiyo nchi ya ahadi akafariki,

Taifa la Israel limeundwa mwaka 1948 na UN kama sehem ya kuwahifadhi waisrael ambao hawakuwa na ardhi yao ya nyumbani kama taifa Lao.

Mzozo ulianza hapo baada ya UN kuligawa sehemu ya palestina kuwapatia Israel, bila makubaliano mazuri na Palestinians.

Umaskini sio sababu ya kuliua taifa la mtu, kama ndiyo hivyo mataifa mengi ya Afrika kama South Sudan na Ethiopia pamoja na Eritrea yangeshachukuliwa na mataifa tajiri.

Hapo huo mgogoro UN anajua chanzo na yeye ndiyo sababu ya yote kwahiyo napaswa kulitatua hilo kwa kukaa chini na viongozi wa pande zote watafute njia ya kutatua mgogoro na kuwafanya watu waishi kwa Amani hapo, maana muisrael hawezi kubali kulaachia kwasababu hana pakwenda na palestina hawezi kubali kwasababu hapo ndiyo ardhi yake ya tangu enzi.
 
Think deep, establishment ya wachaga kilimanjaro huwezi kuilinganisha na wapalestina abao kuna mmoja nasema siyo kwao. Kwani wachaga wana mzozo say na wapare? hapa kuna mzozo na mmoja ameshika mpini na anasema ni nchi yao ya hadi! palestina hana establishment firm kama ya wachaga uliowatolea mfano.....
Establishment firm ukimaanisha Nini?
 
Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Kwa nini uwahamishe wenye ardhi yao na uwaache wavamizi? Wahamishwe Waisrael. Mwenye makosa mpaka vita hii inatokea ni Muingereza, aliwapa Wayahudi ardhi ya Waarabu badala ya kuwatafutia mahali pengine pa kuwaweka hao wakimbizi.
Pitia link hii uone chanzo cha huo mgogoro.
 
Kwa nin Israel isitafutiwe kipande cha eneo ipishe maendeo ya watu?
Kosa hilo walilifanya UN kunako 1948 kwa kuwapa Wayahudi ardhi ya Waarabu bila mpangilio maalum. Matokeo yake Wayahudi wamepora sehemu kubwa sana ya ardhi ya Wapalestina na kuwafanya watumwa ndani ya nchi yao. Hio sio haki. na mbaya sana, UN inapata sehemu kubwa ya bajeti yake toka USA ambao ndio wanaowapa kiburi Wayahudi, hawawezi kuamua lolote la kuwasaidia Wapalestina kwa haki.
 
Huko amerika ya kusini wakati wayahudi wanaji organise warudi kwao mashariki ya kati walipo sasa iliwahi kupendekezwa wapewe kipande cha ardhi huko amerika ya kusini. Sasa hawa wapalestina wa gaza watafutiwe kipande cha ardhi popote duniani wakaanzishe taifa lao huko. Vipi rwanda iliishia wapi na wale wakimbizi wa afghanistan iliyopewa na nchi za magharibi? Ipewe tena na hao wapalestina. Au tanzania tuwape msomera au kwingineko tuwahifadhi ila hatutaki udini na ukabila
 
Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Na kwa nini wahamishwe Wapalestina katika ardhi yao, badala ya hao Mayahudi wavamizi?
 
Hii issue inakoelekea sio kuzuri ukiangalia unabii ndio hawa watasababisha yaliyoandikwa yatimie yaani machafuko dunini kote na hatma ya maisha ya mwanadamu nyie subirini kama sio leo ipo siku inakuja.
 
Solution ni Wayahudi wapeww Uganda kama ulivyokuwa mpango wa Zamani. Au Si vibaya Waisrael wakapewa wilaya ya Ngorongoro ili waache fujo zao za kuuaua watu huko Palestine.
Kwanini Ngorongoro isiwe misitu ya Amazon?

Waache wauane sisi haituhusu wakiona imetosha wataacha wenyewe,uhuni waleteane wao makazi wakapewe kwingine kwani kuna aliyewatuma?
 
Back
Top Bottom