Ni kweli ilipaswa wayahudi ndio waondoke. Lakini si rahisi ukizingatia mabwana wakubwa wa ulimwengu ndio wanawa back up. Palestine hapa ni mnyonge akubali tu yaishe. Kama huwezi kumshinda achana naye/mkimbie.Na kwa nini wahamishwe Wapalestina katika ardhi yao, badala ya hao Mayahudi wavamizi?