ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hakuna mtu atakuachia Ardhi yake labda awe dhaifu kama weweBasi acha wawe wabishi Kwa nadharia yako ya kijinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mtu atakuachia Ardhi yake labda awe dhaifu kama weweBasi acha wawe wabishi Kwa nadharia yako ya kijinga.
Hujui asili ya mgogoro huo...Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Basi acha waendelee kuumizana na kuuana kama wewe usivyo dhaifu.Hakuna mtu atakuachia Ardhi yake labda awe dhaifu kama wewe
Labda RussiaMapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Ndilo la msingiKwa nini wahame,kwa nini wasiachiwe sehemu ya Ardhi yao.
Wapalestine watabaki pale pale, na ipo siku ambayo Israel watalipa kwa udhalimu wanaoufanya. Kama kuhama wao ndo wahame mana wao ndo wavamizi wa ardhi ile.Kimsingi Jews ndio walipaswa kuhama.
Lakini on the ground Jews ni mchokozi na mbabe hapa. Sasa wapalestine wakiendelea kukaza fuvu wasipokubali yaishe wakahama wao wataendelea kufa kila uchwao na Jews kupora ardhi zaidi.
Nani sio kwao na nani kwao?Think deep, establishment ya wachaga kilimanjaro huwezi kuilinganisha na wapalestina abao kuna mmoja nasema siyo kwao. Kwani wachaga wana mzozo say na wapare? hapa kuna mzozo na mmoja ameshika mpini na anasema ni nchi yao ya hadi! palestina hana establishment firm kama ya wachaga uliowatolea mfano.....
Hilo linawezekana endapo wale wahindi pale posta , kariakoo na Ilala watarudishwa India.***** ile ni Ardhi Yao na Kuna urithi wao.Hao Washenzi waliotokea Ulaya Wayahudi ndio wahame au warudi walikotoka.
Palestina ndy mwenye ardhi tangu enzi ya Musa alivyoamua kuwaindoa waisrael na kuwapeleka nchi ya ahadi ambako hakuwafikisha kwenye hiyo nchi ya ahadi akafariki,Hawa wameshaji establish as a reputable nation with all superstructure and infrastructure of the highest degree ambavyo hawatakuwa tayari kuviacha..... Wapalestin bado ni kama ndiyo wanaanza /wanajaribu kujenga taifa linabomolewa, they have nothing substantial to lose! Hivyo wakienda kwenye eneo wazi wakaanzisha nchi (with overwhelming world support), they will do away na mateso haya wanayoyapata.
Establishment firm ukimaanisha Nini?Think deep, establishment ya wachaga kilimanjaro huwezi kuilinganisha na wapalestina abao kuna mmoja nasema siyo kwao. Kwani wachaga wana mzozo say na wapare? hapa kuna mzozo na mmoja ameshika mpini na anasema ni nchi yao ya hadi! palestina hana establishment firm kama ya wachaga uliowatolea mfano.....
Kwa nini uwahamishe wenye ardhi yao na uwaache wavamizi? Wahamishwe Waisrael. Mwenye makosa mpaka vita hii inatokea ni Muingereza, aliwapa Wayahudi ardhi ya Waarabu badala ya kuwatafutia mahali pengine pa kuwaweka hao wakimbizi.Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Kosa hilo walilifanya UN kunako 1948 kwa kuwapa Wayahudi ardhi ya Waarabu bila mpangilio maalum. Matokeo yake Wayahudi wamepora sehemu kubwa sana ya ardhi ya Wapalestina na kuwafanya watumwa ndani ya nchi yao. Hio sio haki. na mbaya sana, UN inapata sehemu kubwa ya bajeti yake toka USA ambao ndio wanaowapa kiburi Wayahudi, hawawezi kuamua lolote la kuwasaidia Wapalestina kwa haki.Kwa nin Israel isitafutiwe kipande cha eneo ipishe maendeo ya watu?
Na kwa nini wahamishwe Wapalestina katika ardhi yao, badala ya hao Mayahudi wavamizi?Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Kwanini Ngorongoro isiwe misitu ya Amazon?Solution ni Wayahudi wapeww Uganda kama ulivyokuwa mpango wa Zamani. Au Si vibaya Waisrael wakapewa wilaya ya Ngorongoro ili waache fujo zao za kuuaua watu huko Palestine.
Sasa kama Imani mnaisha kwa kuuawa tunafanyaje?Hujui asili ya mgogoro huo...
Kuna mambo ya asili , urithi na imani