peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Usinikumbushe Wamasai wa Ngorongoro!!Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
PoleUsinikumbushe Wamasai wa Ngorongoro!!
Wapalestine watabaki pale pale, na ipo siku ambayo Israel watalipa kwa udhalimu wanaoufanya. Kama kuhama wao ndo wahame mana wao ndo wavamizi wa ardhi ile.
Kwanza mm sio Muslimu mwenzako alafu we ushaona wapi Dunia wamefanya hivyo. Rejea waislam wa rohinja(inatwamkwa ivyo lakini haindikwi ivyo) walisha pewa sehemu gani Duniani waifanye iwe nchi yaohakuna kisichowezekana. Ndugu waislamu wenzangu inatumika sana na ndugu zetu hawa, hivyo ndio undugu wenyewe.....
Kwa nini uwahamishe wenye ardhi yao na uwaache wavamizi? Wahamishwe Waisrael. Mwenye makosa mpaka vita hii inatokea ni Muingereza, aliwapa Wayahudi ardhi ya Waarabu badala ya kuwatafutia mahali pengine pa kuwaweka hao wakimbizi.
Pitia link hii uone chanzo cha huo mgogoro.
Kila kitu kina mwanzoKwanza mm sio Muslimu mwenzako alafu we ushaona wapi Dunia wamefanya hivyo. Rejea waislam wa rohinja(inatwamkwa ivyo lakini haindikwi ivyo) walisha pewa sehemu gani Duniani waifanye iwe nchi yao
Hii issue inakoelekea sio kuzuri ukiangalia unabii ndio hawa watasababisha yaliyoandikwa yatimie yaani machafuko dunini kote na hatma ya maisha ya mwanadamu nyie subirini kama sio leo ipo siku inakuja.
kwa nini wahamishwe wao na siyo wale waliokuja baadae?Swali ni Je, watakubali kuonekana wameshindwa na kuhamishwa?
Wawarudishe Hao Wazungu Kwao UKRAINE/POLAND... Ndio mzozo utaisha. Yaani uje nyumbani kwangu unitoe nipeleke kwingine then nyumba yangu umpe mvamizi kisa story yake ya kuiba.
MGOGORO WA ENZI NA ENZI NA HAUTA ISHA DAIMA UTAENDELEA KUWEPO MPAKA MWISHO WA NYAKATI
Wewe akija mtu akutoe kwako tena kwa dharau utakubali?Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Mbona ngorongoro tumekubali?Wewe akija mtu akutoe kwako tena kwa dharau utakubali?
Wale ni waarab sio wazee wa YES BOSS..Mbona ngorongoro tumekubali?
Acha huo upuuz kabsaaAlafu we jamaa unatumia Akili Yako vizuri.
Mfano Leo wachagga waondolewe Moshi sababu eti wakenya wanasema mlima Kilimanjaro ni wao na pia wananguvu kiuchumi na mengine,
So tuwatafutie wachagga sehemu nyingine.
Waje huku kibanda maiti- Zanzibar Kuna maeneo mengi tu na wafuasi wa munyaazi kama wote.Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!