Pendekezo: Majina ya viongozi yaondolewe miradi ya umma

Karibu majina ya mitaa au viwanja vya ndege huwa yanatolewa na watu waliopo kuwaenzi watu fulani kwa michango yao. Mfano uwanja wa Benjamin Mkapa ulipata jina baada yya Rais wa awamu ya pili kufariki mwaka jana. Ila ndiye aliyeazimia kuujenga.

Aidha hata uwanja wa JK Nyerere International Airport ulipata jina hilo miaka kadhaa baada ya Nyerere kufariki mwaka 1999. Yeye ni Baba wa Taifa ingawa wakati wa uhai wake alikataa sana kutukuzwa kwa namna hiyo

Kabla hawajakufa kwa nafasi zao walihakikisha wanayapa madaraja na mastendi majina yao. Mfugale flyover, Magufuli bus stand na Kijazi interchange??

Kuna kitu kuhusu utatu wa uovu (evil triangle) wa hawa tutakuja kuujua siku ikifika
Mkuu majina hawapewi watu au viongozi baada tu ya kufa. Kila jina linakuja kwa mazingira yake. Huko kijijini kuna baadhi ya visima vya maji vya kienyeji , vivuko kwenye mito, shule n.k viliitwa au vimeitwa majina ya watu walikuwa wazima au bado ni wazima kama ishara ya kuenzi na kutambua mchango wao. Hili hufanyika maeneo mengi duniai. Soma vizuri historia.
 
Hivi umesahau kuwa huyu shetani wa Chato alianza hadi kubadili historia ya Tanzania!!?? Unajuwa ni kitu gani kipya kingeingizwa kwenye historia mpya?

Watoto wetu wangeacha kufundishwa historia ya akina Mkwawa. Milambo. Nyerere au Kawawa. Instead wangeambiwa mashujaa wa Tanzania ni akina Magufuli, Kijazi, Bashiru. POLEPOLE. Makonda na akina Sabaya.

Ukisikia kazi ya Mungu haina makosa, maana yake ni kama alivyomuondoa Magufuli kwenye uso wa Tamzania
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hoja yako ni ipi ?
Uliuliza hao waliwahi kuteka kuuwa au kuchota pesa.
Nikakujibu soma vizuri majina ya hao vingozi kisha kawauolize wahanga wa hao viongozi ambao walihusika na ukatili na uhofu waliotendewa watu niliokutajia kwenye orodha.
Lakina hao viongozi bado majina yao yamewekwa kumbukumbu kwenye miundombinu kama jina la usiye mpenda wewe.
 
Hivi umesahau kuwa huyu shetani wa Chato alianza hadi kubadili historia ya Tanzania!!?? Unajuwa ni kitu gani kipya kingeingizwa kwenye historia mpya?

Watoto wetu wangeacha kufundishwa historia ya akina Mkwawa. Milambo. Nyerere au Kawawa. Instead wangeambiwa mashujaa wa Tanzania ni akina Magufuli, Kijazi, Bashiru. POLEPOLE. Makonda na akina Sabaya.

Ukisikia kazi ya Mungu haina makosa, maana yake ni kama alivyomuondoa Magufuli kwenye uso wa Tamzania
Well said
 
Mbezi Luis aliteka na kuuwa nani ?
 
Viongozi wa Tanzania waliopo na waliopita wamepachika au wamepachikiwa Majina yao kwenye Mali na miradi ya Nchi, Hili jambo halina maana wala tija yoyote ile.

Kwa mfano, si sawa kwa Stendi ya mabasi ya kimataifa ya Mbezi luis , uwanja wa soka wa Taifa, Viwanja vya Ndege, madaraja, vivuko, shule, hospitali na mali nyingine za Taifa kupewa Majina ya viongozi, wawe hai au wamekufa, hii ni kwa sababu Mali za umma zimegharamiwa na kodi za wananchi, hivyo si haki kuweka Jina la kiongozi, eti kwa vile tu vitu hivyo vilijengwa wakati mhusika akiwa madarakani, wala hata hakutumia hela za mfukoni mwake, huku ni kukengeuka, halafu ni nani anayependekeza Majina hayo na kwa mchakato upi?

Kusimamia Ujenzi wa kitu chochote katika nchi haimaanishi kwamba Mhusika anayo hati miliki ya jina lake kupachikwa kwenye huo mradi, hii ni kwa vile pesa zilizotumika kujenga miradi ya nchi si zake binafsi, ni hela za Umma, Majina yanayopaswa kuitwa miradi hiyo yawe majina ya Maeneo ulipo mradi huo, mfano Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam, Daraja la Busisi, Barabara ya Mwendokasi, mradi wa umeme Kinyerezi nk.

Lakini mali za umma kama Stendi ya Mbezi luis kuiita Jina la Mtu mmoja ni sawa na Ubaguzi uliojaa ubinafsi.

Napendekeza Stendi ya Mbezi iitwe STENDI YA MABASI YA MIKOANI YA MBEZI LUIS, Jambo hili linaweza kuondoa nuksi , laana na mikosi itokanayo na kutumia Jina la Mtu mmoja tu tena ambaye hajawahi kuwa mkazi wa eneo hilo na wala hajawahi hata kupanda mabasi yenyewe, Uwanja wa Taifa wa soka urudishiwe jina lake la awali na jina la Nyerere liondolewe kwenye uwanja wa ndege, urudi kuwa Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam.

Kama tunataka kuwaenzi marehemu wetu au hata viongozi waliopo, basini rahisi sana, Majina yao yawekwe kwenye ofisi za vyama vyao, kwa mfano badala ya kuita ofisi ya chama Kisiwandui basi iitwe ofisi ya Magufuli Kisiwandui.

Naomba kuwasilisha.
Hujui kama Mbezi Luis nae ni mtu?? Yeye alitangulia tu kuishi maeneo yale sasa aliyepa upgrade akipewa jina la kitu kimoja tu na akumuachia Mbezi Luis eneo lake lote unateseka nini?

Au Kwa Msuguri pakiwekwa hata supermarket ikaitwa jina la mtu mwingine shida iko wapi? Acheni wivu na kuteseka
 
soma post #209
 
Hivi umesahau kuwa huyu shetani wa Chato alianza hadi kubadili historia ya Tanzania!!?? Unajuwa ni kitu gani kipya kingeingizwa kwenye historia mpya?

Watoto wetu wangeacha kufundishwa historia ya akina Mkwawa. Milambo. Nyerere au Kawawa. Instead wangeambiwa mashujaa wa Tanzania ni akina Magufuli, Kijazi, Bashiru. POLEPOLE. Makonda na akina Sabaya.

Ukisikia kazi ya Mungu haina makosa, maana yake ni kama alivyomuondoa Magufuli kwenye uso wa Tamzania
Ni kweli kama Kuna mama yako ,baba yako ,mjomba wako ,Babu yako ,Ndugu yako alifariki ni bora kabisa alifariki maana kazi ya Mungu haina makosa maana ni mashetani hayo hawastahili kuishi kabisa .Yaani wanaofariki ni mashetani Mungu anatutolea mashetani wakiwemo ndugu zako ,naunga mkono akili yako kabisa.
 
Kama tathmini imefanyika vizuri ya kutoa majina hayo hasa kwa wale waliokwisha fariki, sioni shida sana. Kwa walio hai a big NO kwa kuwa ni kama kujipa ufalme na hatujui maisha hadi mwisho yatakuwaje' Mnaweza kumuenzi sasa hivi baadae mkaja kugundua ni fisadi mkubwa sijui mtafuta mangapi.
Pili miradi hiyo iwe kweli ina manufaa kwa jamii isije badala ya kuwaenzi ikawa inawakebehi. Kwa mfano mmesikia kiongozi wa mbio za mwenge juu ya shule ya vita.... Au si - mlimsikia mbunge akihoji umuhimu wa kujenga mastendi makubwa mikoa mingi wakati watu hawapati maji au hospitali ziko hoi'
Je mnaikumbuka badolite?
Hata sura kwenye fedha iwe hivyo hivyo. Ziwe za watu waliokwisha maliza maisha yao hapa duniani na maisha yao yachunguzwe kwa undani kabla. Tusije kuweka sura ya mtu ambaye baadae atakuja kuwa dikteta tukaingia gharama ya kubadili fedha. Nadhani Uganda ilishatokea
 
Kama tathmini imefanyika vizuri ya kutoa majina hayo hasa kwa wale waliokwisha fariki, sioni shida sana. Kwa walio hai a big NO kwa kuwa ni kama kujipa ufalme na hatujui maisha hadi mwisho yatakuwaje' Mnaweza kumuenzi sasa hivi baadae mkaja kugundua ni fisadi mkubwa sijuimtafuta mangapi.
Pili miradi hiyo iwe kweli ina manufaa kwa jamii isije badala ya kuwaenzi ikawa ina wakebehi. Kwa mfani mmesikia kiongozi wa mbio za mwenge juu ya shule ya vita.... Au si - mlimsikia mbunge akihoji umuhimu wa kujenga mastendi makubwa mikoa mingi wakati watu hawapati maji au hospitali ziko hoi'
Je mnaikumbuka badolite?
Hata sura kwenye fedha iwe hivyo hivyo. Ziwe za watu waliokwisha maliza maisha yao hapa duniani na maisha yao yachunguzwe kwa undani kabla. Tusije kuweka sura ya mtu ambaye baadae atakuja kuwa dikteta tukaingia gharama ya kubadili fedha. Nadhani Uganda ilishatokea
Asante sana
 
Hivi umesahau kuwa huyu shetani wa Chato alianza hadi kubadili historia ya Tanzania!!?? Unajuwa ni kitu gani kipya kingeingizwa kwenye historia mpya?

Watoto wetu wangeacha kufundishwa historia ya akina Mkwawa. Milambo. Nyerere au Kawawa. Instead wangeambiwa mashujaa wa Tanzania ni akina Magufuli, Kijazi, Bashiru. POLEPOLE. Makonda na akina Sabaya.

Ukisikia kazi ya Mungu haina makosa, maana yake ni kama alivyomuondoa Magufuli kwenye uso wa Tamzania
Ni upeo wako wa kufikuri umefikia hapo. Bahati mbaya sana hauna maarufa ya dunia na bahati mbaya zaidi hata maarifa juu ya Mungu hauijui.
Hivi umesahau kuwa huyu shetani wa Chato alianza hadi kubadili historia ya Tanzania!!?? Unajuwa ni kitu gani kipya kingeingizwa kwenye historia mpya?

Watoto wetu wangeacha kufundishwa historia ya akina Mkwawa. Milambo. Nyerere au Kawawa. Instead wangeambiwa mashujaa wa Tanzania ni akina Magufuli, Kijazi, Bashiru. POLEPOLE. Makonda na akina Sabaya.

Ukisikia kazi ya Mungu haina makosa, maana yake ni kama alivyomuondoa Magufuli kwenye uso wa Tamzania
Shida yako ni binafsi, bila shaka ni miongoni mwa wenye vyeti fake walioondolewa au mafisadi waliokatiwa mirija ya kunyonya uchumi wetu. Rais Magufuli aliwakomesha na watanzania tulimuunga mkono sana kwa hatuavalizochukua kwenye maendeleo ya nchi yetu. Tutamuenzi siyo tu kwa majina yaliyoandikwa kwenye miradi lakini kwa jina lake lililoandikwa kwenye mioyo yetu watanzania. Usijidanganye, JPM yuko kwenye mioyo ya watanzania ukiondoa nyie wachache wengi wenu mkiwa mafisadi, wenye vyeti faki, wana madawa ya kulevya n.k. Mungu amlaze mahali pema Shujaa wetu JPM. Tutaendelea kumuenzi vizazi na vizazi.
 
Duniani kote viongozi waliofanya mema kwa watu wao hukumbukwa kwa majina yao kutumika katika kumbukumbu za taifa lao. Sioni tatizo katika hili!

Hata viongozi wa CHADEMA wakishika madaraka (na wakafanya mema) majina yao yatatumika pia kama kumbukumbu.

Majengo ya BOT yanaweza kuitwa Mtei Towers

Uwanja wa ndege wa Arusha utakapojengwa unaweza kuitwa Mbowe International Airport.

Kiwanda kikubwa cha kusindika nyama ya mbwa kule Iringa kinaweza kuitwa Msigwa Dog Meat Processing Industries.

Kiwanda cha taifa cha kuchakata mafuta ya Alizeti kule Singida - Lissu Alizeti Oil

Sioni tatizo kabisa!
 
Viongozi wa Tanzania waliopo na waliopita wamepachika au wamepachikiwa majina yao kwenye mali na miradi ya nchi, hili jambo halina maana wala tija yoyote ile.

Kwa mfano, si sawa kwa stendi ya mabasi ya kimataifa ya Mbezi Luis, uwanja wa soka wa Taifa, viwanja vya ndege, madaraja, vivuko, shule, hospitali na mali nyingine za Taifa kupewa majina ya viongozi, wawe hai au wamekufa. Hii ni kwa sababu mali za umma zimegharamiwa na kodi za wananchi, hivyo si haki kuweka jina la kiongozi, eti kwa vile tu vitu hivyo vilijengwa wakati mhusika akiwa madarakani, wala hata hakutumia hela za mfukoni mwake. Huku ni kukengeuka, halafu ni nani anayependekeza majina hayo na kwa mchakato upi?

Kusimamia ujenzi wa kitu chochote katika nchi haimaanishi kwamba mhusika anayo hati miliki ya jina lake kupachikwa kwenye huo mradi. Hii ni kwa vile pesa zilizotumika kujenga miradi ya nchi si zake binafsi, ni hela za umma. Majina yanayopaswa kuitwa miradi hiyo yawe majina ya maeneo ulipo mradi huo, mfano uwanja wa ndege wa Dar es Salaam, daraja la Busisi, barabara ya Mwendokasi, mradi wa umeme Kinyerezi, nk.

Lakini mali za umma kama stendi ya Mbezi Luis kuiita jina la mtu mmoja ni sawa na ubaguzi uliojaa ubinafsi. Napendekeza stendi ya Mbezi iitwe "Stendi ya Mabasi ya Mikoa ya Mbezi Luis". Jambo hili linaweza kuondoa nuksi, laana, na mikosi itokanayo na kutumia jina la mtu mmoja tu tena ambaye hajawahi kuwa mkazi wa eneo hilo na wala hajawahi hata kupanda mabasi yenyewe. Uwanja wa Taifa wa soka urudishiwe jina lake la awali na jina la Nyerere liondolewe kwenye uwanja wa ndege, urudi kuwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam.

Kama tunataka kuwaenzi marehemu wetu au hata viongozi waliopo, basi ni rahisi sana. Majina yao yawekwe kwenye ofisi za vyama vyao, kwa mfano, badala ya kuita ofisi ya chama Kisiwandui, basi iitwe "Ofisi ya Magufuli Kisiwandui".

Naomba kuwasilisha.
Umechanganyikiwa akili na kuvugikiwa. Wewe una baba na Mama waliokuzaa kwa mates makubwa na kukulea kwz nguvu nyingi kwa msaada wa serkali yao ya TANU. Leo umeisahau TANU unaitukana hazarani. Hawa Wazazi wakobunawatukana ya nguoni unajiita eeythrorolite badala ya kujiita walivyokuita Marco Lugembe. Kuficha majina ya waliokuzaa waliyokupa inanionyesha huna adabu, sishangai kusikia Barabara ya Sokoine na Nyerere Road zinakuchukiza basi tuziite Panya Road ufurahi?
 
Kuna watu, si wachache wenye imani za dini hawaendi uwanjani kwakuwa viwanja vimepewa majina ya watu na wanaona ni ibada ya mizimu/wafu.
Kwanini unaita stebdi ya Magufuli, kwanini siyo stendi kuu Mbezi yaani hata kama mtu yupo Kamachumu Bukoba anajua hiyo stebdi ipo Mbezi.
Sasa ukimwambia mtu shukia magufuli anakuuliza ipo wapi?
Zamani tulikuwa na Kisutu Bus Stand na Mnazi mmoja na zilifahamika, kwanini haya matukuzo ?
 
Umechanganyikiwa akili na kuvugikiwa. Wewe una baba na Mama waliokuzaa kwa mates makubwa na kukulea kwz nguvu nyingi kwa msaada wa serkali yao ya TANU. Leo umeisahau TANU unaitukana hazarani. Hawa Wazazi wakobunawatukana ya nguoni unajiita eeythrorolite badala ya kujiita walivyokuita Marco Lugembe. Kuficha majina ya waliokuzaa waliyokupa inanionyesha huna adabu, sishangai kusikia Barabara ya Sokoine na Nyerere Road zinakuchukiza basi tuziite Panya Road ufurahi?
Taratibu basi , mbona unalia sasa ?
 
Back
Top Bottom