Pendekezo: Majina ya viongozi yaondolewe miradi ya umma

"Miradi ya umma" ndiyo ipi?
 
Mbona uwanja kuitwa kwa Mkapa hamjataka jina liondolewe.
Mwanaspoti katika gazeti Lao ,MARA kwa MARA walipenda kulitumia jina kwa MCHINA.

Gafla serikali ikawakaa cheap! Ikapiga stop na kusisitiza kuwa hapo ni kwa MKAPA
 
Vp kama mradi wa umma ungepewa jina la mumeo Mbowe.?
 
Hakika
 
Bila kupoteza muda....ni sawa baadhi ya miradi iwaenzi walio ianzisha na kusimamia.

Ila sioni logic ya kila kitu kua na jina linalojirudia rudia. Reference Kwa awamu zote sio iliyopita tu.

Wanaoelewa wameelewa!
 
"A rose by any other name would smell as sweet". William Shakespeare, Romeo and Juliet, Act II, Scene II.

Jina ni label tu. Ukiuita moto maji haina maana utaweza kuunywa moto ukate kiu yako.

Kwa nini tunajikita sana kwenye label ya kitu badala ya kujikita kwenye actual character ya kitu?

Kama kiongozi ndiye ana nguvu ya kujenga na kubomoa, kupanga na kupangua, hiyo rasilimali itakuwa ya huyo kiongozi tu, hata kama ukiibadilisha jina.

Jikite kwenye kupunguza nguvu za viongozi, si kwenye kubadilisha majina.

Itakusaidia nini ikiwa hatutauita uwanja jina la Samia, wakati Samia anachukua hela zote zinazozalishwa na uwanja huo na hakuna mtu wa kumfanya kitu?
 
Tunakwepa laana
 
Okay
 
1. John Fitzgerald Kennedy (JFK) International Airport - USA
2. General Charles De Gaulle Airport - France
3. Hastings Kamuzu Banda Boulevard - Malawi
4.
Sijui niendelee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…