Pendekezo: Majina ya viongozi yaondolewe miradi ya umma

Msione wivu jengeni ofisi mziite mbowe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
letamajina yako matatu tukayaweke pale..weejamaa nikum sana magu anapaswa kuheshimiwa Mana sizani Kama Kuna mtu angefikiria kujenga stend pale ila mwamba mdamchache kajenga nakitu kimesimama. nasema kummmmmmk..
😂😂
 

Unatia kinyaa. Kama una ndugu , wana haja ya kukupeleka kutibiwa ubongo wako before it’s too late.
 
Sheria ipo ila inavunjwa makusudi , kwenye barabara ili iitwe jina lako ni lazima uwe umeihudumia
 
letamajina yako matatu tukayaweke pale..weejamaa nikum sana magu anapaswa kuheshimiwa Mana sizani Kama Kuna mtu angefikiria kujenga stend pale ila mwamba mdamchache kajenga nakitu kimesimama. nasema kummmmmmk..
unafahamu ulikoanzia mchakato wa stendi ile ?
 
Kabisa
 
Wacha hasadi,bila kiongozi aliyepo madarakani kuridhia mradi basi huo mradi haupiti na hautotekelezwa,kila kiongozi ana jema lake,aenziwe kwa hilo
Kwahiyo akiridhia ndio tuite jina lake ?
 
Nilichokigundua kwako ni chuki na roho mbaya wivu pamoja na husda.
Kama huna chembe chembe za uchawi sidhani.
Hoja zako zimemlenga hayati MAGU, Toa hoja zinazoeleweka
Mkuu unaweza kuwa na point lakini unakosea sana kumuita yule jamaa Hayati. Anyway ni maamuzi yako
 
Naunga mkono hoja,kama vipi na vyoo vya umma vipewe majina yao
 


Mimi sioni tatizo lakini majina mengine ni muhimu zaidi. Maraisi wanatakiwa kupewa majina wakitoka madarakani sio wakiwa bado madarakani. Lakini majina yanatakiwa kutolewa kwa watu walioleta tija kwenye jamii sio lazima wawe wanasiasa. washinda medali mbalimbali, waimbaji na wanasanaa mbalimbali na hata wasomi waliopata medali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…