Pendekezo: Majina ya viongozi yaondolewe miradi ya umma

letamajina yako matatu tukayaweke pale..weejamaa nikum sana magu anapaswa kuheshimiwa Mana sizani Kama Kuna mtu angefikiria kujenga stend pale ila mwamba mdamchache kajenga nakitu kimesimama. nasema kummmmmmk..
Watu wasio na akili au so called wanyonge ndiyo walikuwa wafuasi wake, ambao hawawezi tumia akili zao. Ndiyo maana mpaka leo hakuna mtu mwenye akili timamu na anayejielewa anaweza kumkubali huyo shujaa wenu, kama unabisha weka mfano wa mtu hata mmoja tu
 
Viongozi wa Tanzania waliopo na waliopita wamepachika au wamepachikiwa Majina yao kwenye Mali na miradi ya Nchi, Hili jambo halina maana wala tija yoyote ile.

Kwa mfano, si sawa kwa Stendi ya mabasi ya kimataifa ya Mbezi luis , uwanja wa soka wa Taifa, Viwanja vya Ndege, madaraja, vivuko, shule, hospitali na mali nyingine za Taifa kupewa Majina ya viongozi, wawe hai au wamekufa, hii ni kwa sababu Mali za umma zimegharamiwa na kodi za wananchi, hivyo si haki kuweka Jina la kiongozi, eti kwa vile tu vitu hivyo vilijengwa wakati mhusika akiwa madarakani, wala hata hakutumia hela za mfukoni mwake, huku ni kukengeuka, halafu ni nani anayependekeza Majina hayo na kwa mchakato upi?

Kusimamia Ujenzi wa kitu chochote katika nchi haimaanishi kwamba Mhusika anayo hati miliki ya jina lake kupachikwa kwenye huo mradi, hii ni kwa vile pesa zilizotumika kujenga miradi ya nchi si zake binafsi, ni hela za Umma, Majina yanayopaswa kuitwa miradi hiyo yawe majina ya Maeneo ulipo mradi huo, mfano Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam, Daraja la Busisi, Barabara ya Mwendokasi, mradi wa umeme Kinyerezi nk.

Lakini mali za umma kama Stendi ya Mbezi luis kuiita Jina la Mtu mmoja ni sawa na Ubaguzi uliojaa ubinafsi.

Napendekeza Stendi ya Mbezi iitwe STENDI YA MABASI YA MIKOANI YA MBEZI LUIS, Jambo hili linaweza kuondoa nuksi , laana na mikosi itokanayo na kutumia Jina la Mtu mmoja tu tena ambaye hajawahi kuwa mkazi wa eneo hilo na wala hajawahi hata kupanda mabasi yenyewe, Uwanja wa Taifa wa soka urudishiwe jina lake la awali na jina la Nyerere liondolewe kwenye uwanja wa ndege, urudi kuwa Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam.

Kama tunataka kuwaenzi marehemu wetu au hata viongozi waliopo, basini rahisi sana, Majina yao yawekwe kwenye ofisi za vyama vyao, kwa mfano badala ya kuita ofisi ya chama Kisiwandui basi iitwe ofisi ya Magufuli Kisiwandui.

Naomba kuwasilisha.

Hata Hilo jina la mbezi Luis ni la mtu
 
Watu wasio na akili au so called wanyonge ndiyo walikuwa wafuasi wake, ambao hawawezi tumia akili zao. Ndiyo maana mpaka leo hakuna mtu mwenye akili timamu na anayejielewa anaweza kumkubali huyo shujaa wenu, kama unabisha weka mfano wa mtu hata mmoja tu
weeni mjinga....pita hivi👈nisije kuku mind bureee.mchumba wee
 
Mimi sioni tatizo lakini majina mengine ni muhimu zaidi. Maraisi wanatakiwa kupewa majina wakitoka madarakani sio wakiwa bado madarakani. Lakini majina yanatakiwa kutolewa kwa watu walioleta tija kwenye jamii sio lazima wawe wanasiasa. washinda medali mbalimbali, waimbaji na wanasanaa mbalimbali na hata wasomi waliopata medali.
Eti soko la jobo ndangayeye [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Viongozi wa Tanzania waliopo na waliopita wamepachika au wamepachikiwa Majina yao kwenye Mali na miradi ya Nchi, Hili jambo halina maana wala tija yoyote ile.

Kwa mfano, si sawa kwa Stendi ya mabasi ya kimataifa ya Mbezi luis , uwanja wa soka wa Taifa, Viwanja vya Ndege, madaraja, vivuko, shule, hospitali na mali nyingine za Taifa kupewa Majina ya viongozi, wawe hai au wamekufa, hii ni kwa sababu Mali za umma zimegharamiwa na kodi za wananchi, hivyo si haki kuweka Jina la kiongozi, eti kwa vile tu vitu hivyo vilijengwa wakati mhusika akiwa madarakani, wala hata hakutumia hela za mfukoni mwake, huku ni kukengeuka, halafu ni nani anayependekeza Majina hayo na kwa mchakato upi?

Kusimamia Ujenzi wa kitu chochote katika nchi haimaanishi kwamba Mhusika anayo hati miliki ya jina lake kupachikwa kwenye huo mradi, hii ni kwa vile pesa zilizotumika kujenga miradi ya nchi si zake binafsi, ni hela za Umma, Majina yanayopaswa kuitwa miradi hiyo yawe majina ya Maeneo ulipo mradi huo, mfano Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam, Daraja la Busisi, Barabara ya Mwendokasi, mradi wa umeme Kinyerezi nk.

Lakini mali za umma kama Stendi ya Mbezi luis kuiita Jina la Mtu mmoja ni sawa na Ubaguzi uliojaa ubinafsi.

Napendekeza Stendi ya Mbezi iitwe STENDI YA MABASI YA MIKOANI YA MBEZI LUIS, Jambo hili linaweza kuondoa nuksi , laana na mikosi itokanayo na kutumia Jina la Mtu mmoja tu tena ambaye hajawahi kuwa mkazi wa eneo hilo na wala hajawahi hata kupanda mabasi yenyewe, Uwanja wa Taifa wa soka urudishiwe jina lake la awali na jina la Nyerere liondolewe kwenye uwanja wa ndege, urudi kuwa Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam.

Kama tunataka kuwaenzi marehemu wetu au hata viongozi waliopo, basini rahisi sana, Majina yao yawekwe kwenye ofisi za vyama vyao, kwa mfano badala ya kuita ofisi ya chama Kisiwandui basi iitwe ofisi ya Magufuli Kisiwandui.

Naomba kuwasilisha.
Asante kwa kuwakilisha, ni haki yako kusema lakini hilo jina halitaondolewa ng'o. Sahau kabisa!!!
 
weeni mjinga....pita hivi[emoji118]nisije kuku mind bureee.mchumba wee
Nimesema weka jina la mtu mtu mmoja tu anayejielewa ambaye aliwahi mkubali huyo shujaa wenu. Wewe unaishia kujificha kwenye matusi. Hakuna hata mmoja zaidi ya watu kama wewe
 
Watu wasio na akili au so called wanyonge ndiyo walikuwa wafuasi wake, ambao hawawezi tumia akili zao. Ndiyo maana mpaka leo hakuna mtu mwenye akili timamu na anayejielewa anaweza kumkubali huyo shujaa wenu, kama unabisha weka mfano wa mtu hata mmoja tu
Wewe na wachumia tumbo wenzio ndio naendelea kusema inchi hii ni masikini, mwenzio leo ACT amekubali
 
Huu uzi unaweza kuwa mtego wa kukusanya Sukuma gang members
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38] Una macho makali sana ! Walishakusanyika tayari , unajua ukitaka panya wakurupuke kutoka kichakani , piga kiberiti hicho kichaka .
 
Back
Top Bottom