Ok sawa, haya taja mtu mmoja mwenye kujielewa ambaye alimkubali huyo shujaa wenu.Wewe na wachumia tumbo wenzio ndio naendelea kusema inchi hii ni masikini, mwenzio leo ACT amekubali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok sawa, haya taja mtu mmoja mwenye kujielewa ambaye alimkubali huyo shujaa wenu.Wewe na wachumia tumbo wenzio ndio naendelea kusema inchi hii ni masikini, mwenzio leo ACT amekubali
Kwani mawazo ya erythrocyte yakiwa ni mawazo ya Chadema kua Ubaya gani?Mawazo ya Nchi ambayo ni Katiba,sheria na Miongozo yanatokana na watu.Sasa sijui mawazo yenu yatadondoka kutoka Jehanum kuja duniani?Nchi inaendeshwa kwa Katiba na miongozo , haitaendeshwa na na mawazo ya erythrocyte , hapo ndipo mlipofeli ccm
Mkuu ujue utafanya watu wamalize siku yao vibaya kwa makasiriko, wewe umetaja mfano wa majina mengi ya viongozi lakini wao wamejikita kwa Jiwe.[emoji38][emoji38][emoji38] Una macho makali sana ! Walishakusanyika tayari , unajua ukitaka panya wakurupuke kutoka kichakani , piga kiberiti hicho kichaka .
Kama Mbowe ni mkazi wa hapo au aliwahi walau kusafiri na Basi toka hapo stendi hadi Moshi, anastahiki jina lake kutumika.Tuiite Freeman Mbowe International Bus Terminal
Tutahakikisha inatokomezwaTabia ya kuyapa majina majengo ya serikali au sehemu za umma ni tabia za viongozi wenye mirengo ya kikomunisti
Jina la John P Magufuli ni jina iconic Afrika na dunia nzima, mtu awaye yeyote mwenye uwezo wa ku analyse mambo katika ubora wake hawezi kuthubutu to belittle jina la mzee john magufuli.Viongozi wa Tanzania waliopo na waliopita wamepachika au wamepachikiwa Majina yao kwenye Mali na miradi ya Nchi, Hili jambo halina maana wala tija yoyote ile.
Kwa mfano, si sawa kwa Stendi ya mabasi ya kimataifa ya Mbezi luis , uwanja wa soka wa Taifa, Viwanja vya Ndege, madaraja, vivuko, shule, hospitali na mali nyingine za Taifa kupewa Majina ya viongozi, wawe hai au wamekufa, hii ni kwa sababu Mali za umma zimegharamiwa na kodi za wananchi, hivyo si haki kuweka Jina la kiongozi, eti kwa vile tu vitu hivyo vilijengwa wakati mhusika akiwa madarakani, wala hata hakutumia hela za mfukoni mwake, huku ni kukengeuka, halafu ni nani anayependekeza Majina hayo na kwa mchakato upi?
Kusimamia Ujenzi wa kitu chochote katika nchi haimaanishi kwamba Mhusika anayo hati miliki ya jina lake kupachikwa kwenye huo mradi, hii ni kwa vile pesa zilizotumika kujenga miradi ya nchi si zake binafsi, ni hela za Umma, Majina yanayopaswa kuitwa miradi hiyo yawe majina ya Maeneo ulipo mradi huo, mfano Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam, Daraja la Busisi, Barabara ya Mwendokasi, mradi wa umeme Kinyerezi nk.
Lakini mali za umma kama Stendi ya Mbezi luis kuiita Jina la Mtu mmoja ni sawa na Ubaguzi uliojaa ubinafsi.
Napendekeza Stendi ya Mbezi iitwe STENDI YA MABASI YA MIKOANI YA MBEZI LUIS, Jambo hili linaweza kuondoa nuksi , laana na mikosi itokanayo na kutumia Jina la Mtu mmoja tu tena ambaye hajawahi kuwa mkazi wa eneo hilo na wala hajawahi hata kupanda mabasi yenyewe, Uwanja wa Taifa wa soka urudishiwe jina lake la awali na jina la Nyerere liondolewe kwenye uwanja wa ndege, urudi kuwa Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam.
Kama tunataka kuwaenzi marehemu wetu au hata viongozi waliopo, basini rahisi sana, Majina yao yawekwe kwenye ofisi za vyama vyao, kwa mfano badala ya kuita ofisi ya chama Kisiwandui basi iitwe ofisi ya Magufuli Kisiwandui.
Naomba kuwasilisha.
Sio pesa zake zimetumika ila juhudi zake mpaka mradi ukafanikiwa anastahili mradi kupewa jina lake.
Mzee wa mapapa na mbuzi wana Corona mqisho wa siku ikapita nayeJina la John P Magufuli ni jina iconic Afrika na dunia nzima, mtu awaye yeyote mwenye uwezo wa ku analyse mambo katika ubora wake hawezi kuthubutu to belittle jina la mzee john magufuli.
Kwa nn pasingepewa jina langu kwa vile mm ni mlipaji kodi mzuri?Sio pesa zake zimetumika ila juhudi zake mpaka mradi ukafanikiwa anastahili mradi kupewa jina lake.
Huyo shujaa wako angekuwa mtu mwema at least, lakini duh mpaka kaburi lake watu wanatamani lichomwe moto, ila sorry to say that but it's the truthPunguza complications mdogo wangu tumia ubongo wako kuwaza vitu vyenye tija...STAND YA MABASI YAENDAYO MIKOANI....STAND YA MAGUFULI simple and clear and ni legacy ambayo ameiacha...unawaonea wivu hadi marehemu loh[emoji706][emoji16]
Kwani akilengwa magu kuna shida gani?Nilichokigundua kwako ni chuki na roho mbaya wivu pamoja na husda.
Kama huna chembe chembe za uchawi sidhani.
Hoja zako zimemlenga hayati MAGU, Toa hoja zinazoeleweka
Wana saccos wazandiki sana.Viongozi wa Tanzania waliopo na waliopita wamepachika au wamepachikiwa Majina yao kwenye Mali na miradi ya Nchi, Hili jambo halina maana wala tija yoyote ile.
Kwa mfano, si sawa kwa Stendi ya mabasi ya kimataifa ya Mbezi luis , uwanja wa soka wa Taifa, Viwanja vya Ndege, madaraja, vivuko, shule, hospitali na mali nyingine za Taifa kupewa Majina ya viongozi, wawe hai au wamekufa, hii ni kwa sababu Mali za umma zimegharamiwa na kodi za wananchi, hivyo si haki kuweka Jina la kiongozi, eti kwa vile tu vitu hivyo vilijengwa wakati mhusika akiwa madarakani, wala hata hakutumia hela za mfukoni mwake, huku ni kukengeuka, halafu ni nani anayependekeza Majina hayo na kwa mchakato upi?
Kusimamia Ujenzi wa kitu chochote katika nchi haimaanishi kwamba Mhusika anayo hati miliki ya jina lake kupachikwa kwenye huo mradi, hii ni kwa vile pesa zilizotumika kujenga miradi ya nchi si zake binafsi, ni hela za Umma, Majina yanayopaswa kuitwa miradi hiyo yawe majina ya Maeneo ulipo mradi huo, mfano Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam, Daraja la Busisi, Barabara ya Mwendokasi, mradi wa umeme Kinyerezi nk.
Lakini mali za umma kama Stendi ya Mbezi luis kuiita Jina la Mtu mmoja ni sawa na Ubaguzi uliojaa ubinafsi.
Napendekeza Stendi ya Mbezi iitwe STENDI YA MABASI YA MIKOANI YA MBEZI LUIS, Jambo hili linaweza kuondoa nuksi , laana na mikosi itokanayo na kutumia Jina la Mtu mmoja tu tena ambaye hajawahi kuwa mkazi wa eneo hilo na wala hajawahi hata kupanda mabasi yenyewe, Uwanja wa Taifa wa soka urudishiwe jina lake la awali na jina la Nyerere liondolewe kwenye uwanja wa ndege, urudi kuwa Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam.
Kama tunataka kuwaenzi marehemu wetu au hata viongozi waliopo, basini rahisi sana, Majina yao yawekwe kwenye ofisi za vyama vyao, kwa mfano badala ya kuita ofisi ya chama Kisiwandui basi iitwe ofisi ya Magufuli Kisiwandui.
Naomba kuwasilisha.
Ni Yesu Kriso mwana wa Munguwee kum..shujaa wako ninani Hadi sasa?ngoja nisubiri jibu...
Waambie wanaokutuma wajenge wapromote ujenzi wa miradi mikubwa ili tuyaite majina yao.Viongozi wa Tanzania waliopo na waliopita wamepachika au wamepachikiwa Majina yao kwenye Mali na miradi ya Nchi, Hili jambo halina maana wala tija yoyote ile.
Kwa mfano, si sawa kwa Stendi ya mabasi ya kimataifa ya Mbezi luis , uwanja wa soka wa Taifa, Viwanja vya Ndege, madaraja, vivuko, shule, hospitali na mali nyingine za Taifa kupewa Majina ya viongozi, wawe hai au wamekufa, hii ni kwa sababu Mali za umma zimegharamiwa na kodi za wananchi, hivyo si haki kuweka Jina la kiongozi, eti kwa vile tu vitu hivyo vilijengwa wakati mhusika akiwa madarakani, wala hata hakutumia hela za mfukoni mwake, huku ni kukengeuka, halafu ni nani anayependekeza Majina hayo na kwa mchakato upi?
Kusimamia Ujenzi wa kitu chochote katika nchi haimaanishi kwamba Mhusika anayo hati miliki ya jina lake kupachikwa kwenye huo mradi, hii ni kwa vile pesa zilizotumika kujenga miradi ya nchi si zake binafsi, ni hela za Umma, Majina yanayopaswa kuitwa miradi hiyo yawe majina ya Maeneo ulipo mradi huo, mfano Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam, Daraja la Busisi, Barabara ya Mwendokasi, mradi wa umeme Kinyerezi nk.
Lakini mali za umma kama Stendi ya Mbezi luis kuiita Jina la Mtu mmoja ni sawa na Ubaguzi uliojaa ubinafsi.
Napendekeza Stendi ya Mbezi iitwe STENDI YA MABASI YA MIKOANI YA MBEZI LUIS, Jambo hili linaweza kuondoa nuksi , laana na mikosi itokanayo na kutumia Jina la Mtu mmoja tu tena ambaye hajawahi kuwa mkazi wa eneo hilo na wala hajawahi hata kupanda mabasi yenyewe, Uwanja wa Taifa wa soka urudishiwe jina lake la awali na jina la Nyerere liondolewe kwenye uwanja wa ndege, urudi kuwa Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam.
Kama tunataka kuwaenzi marehemu wetu au hata viongozi waliopo, basini rahisi sana, Majina yao yawekwe kwenye ofisi za vyama vyao, kwa mfano badala ya kuita ofisi ya chama Kisiwandui basi iitwe ofisi ya Magufuli Kisiwandui.
Naomba kuwasilisha.
Hebu tuambie ni nani mtu huyo aliewahi kuitwa majina haya? Mbona hayapo kwenye koo zetu? Ushawahi sikia mtu anaitwa Ubungo?Kama huna hoja basi acha kutoa hoja. Ningependa kama ungesema kwamba kuwa na sheria,taratibu na kanuni za kuamua Naming rights zinakuwaje kwa public infrastrucures kama barabara, majengo etc.Ila sio kusema kwamba ETI yasiwekwe.
SIONI Ubaya Magufuli Terminal Kuitwa Magufuli Terminal kwani UBUNGO,MBEZI,KIMARA yote ni Majina ya WATU tena ambao hata wengine historia yao hatufahamu.QUIT THIS SHIT muwe mnaleta mijadala ambayo ni maslahi kwa umma
Naanza kuamini kuwa kuna watanzania wengi wenye matatizo ya Akili.Viongozi wa Tanzania waliopo na waliopita wamepachika au wamepachikiwa Majina yao kwenye Mali na miradi ya Nchi, Hili jambo halina maana wala tija yoyote ile.